Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
daaahPascal Mayalla wa watu kamkosea nini mpaka anampiga?
Nimesoma heading tu.
Dah hapo suala lake zito sioHilo ni pepo
Hapana mimi SIJAOA badoHuyo rafiki yako ndio WEWE.
JF kila mtu hua ana leta malalamiko ya rafiki yake,Hapana mimi SIJAOA bado
Ngoja kwanza ukamuulize rafiki yake ndio aje kukujibu.Samahani mkuu....🙄
Wewe jinsia yako ni gani..🤔
Ndoa kwa mwanaume haina uhusino na sex.Wajomba jana hapa mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!!
Huyu rafiki yangu tumezunguka sehemu nyingi sana site na kila kona chafu chafu za matrafiki wa usiku anajua na ndio michezo yake tangu enzi.
Juzi hapa aliniambia ameshajaribu kuacha kupiga Mayala miaka na miaka ila kila njia imegonga mwamba, amekuwa busy sana, kanisani ndio route zake na mazoezi sana ila anaweza vusha siku 3-5 hajapiga malaya yaan yuko busy na mkewe ila 6 lazima afike SHETEMBAA kutoa povu.
Nilimshauri awe anapiga kila dk kwa mkewe pindi akihisi kwenda kununua au kila akitaka kutoka apige show ndio atoke, akajibu hilo amelifanya sana hadi mkewe akachukia.
Hili suala limekuwa shida kwake anashindwa namna ya kufanya maana mademu hataki sababu anaamini akiwa na mwanamke mwingine nje atamganda sana na mwisho ataharibu ndoa yake.
USHAURI WAKO TAFADHALI KUOKOA URAIBU HUU WA JAMAA NA RAFIKI YANGU.
Unapatikana wapi madam kuna kitu potential nimegundua naweza pata kwakoNdoa kwa mwanaume haina uhusino na sex.
Wanaume wengi hasa nyie ngozi nyeusi mnaoa ili tu upate mke wa kukuzalia, kukupikia, kukufulia na kukufanyia usafi yaani ile ukitoka kazini umechoka urudi nyumbani upate msosi fresh, uoge ulale kwa amani lakini ukitaka good sex na fantasies zako mara nyingi huwezi kupata kwa mke lazima upate kwa mtu tofauti na mke wako.
Ipo wazi kwamba sex na mtu mmoja inachosha...ni sawa unaweza kutoa upwiru lakini yale mashamsham huwezi kuyapata kila siku kwa mke/mume wako wa ndoa.
Huwezi kupata chochote mkuuUnapatikana wapi madam kuna kitu potential nimegundua naweza pata kwako
Ulianza kwamba ni tatizo la wanaume tu ila ukamalizia sex kwenye ndoa ni tatizo la wote.Ndoa kwa mwanaume haina uhusino na sex.
Wanaume wengi hasa nyie ngozi nyeusi mnaoa ili tu upate mke wa kukuzalia, kukupikia, kukufulia na kukufanyia usafi yaani ile ukitoka kazini umechoka urudi nyumbani upate msosi fresh, uoge ulale kwa amani lakini ukitaka good sex na fantasies zako mara nyingi huwezi kupata kwa mke lazima upate kwa mtu tofauti na mke wako.
Ipo wazi kwamba sex na mtu mmoja inachosha...ni sawa unaweza kutoa upwiru lakini yale mashamsham huwezi kuyapata kila siku kwa mke/mume wako wa ndoa.
Mke anaekataa kukaa d*ggy ina maana hata kabla ya ndoa hakua akikubali?Anafata maujanja mke huwezi kumwambia kaa d*ggy ila wale ukimwambia mapema tu utapewa style zote ko mwamba anamic mautunduz😁😁😁😁