Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

Juzi umekuja kwa runx, nikakushauri vijiwe vya kutembelea ona sasa!
Shetemba nyakato mecco pacha wa las vegas..

Kwa mademu yale kama huna roho wa MUNGU hata kama umetoka kutoa dozi ya round 16 kama mbwa pale lazima nanihi inanihi!
 
Ulianza kwamba ni tatizo la wanaume tu ila ukamalizia sex kwenye ndoa ni tatizo la wote.
Sex ni tatizo la wote. Ila mahitaji ya ndoa yanamnufaisha mume zaidi ya mke. Mke anaweza kunufaika pale mume anapofariki kama ataweza kurithi mali. Ila ndoa imetengenezwa kwa kumpa raha mwanaume na si mwanamke. Mwanamke anasimama kama maid na mfariji wa mume.
 
Umeongea kitu point sana mdogo wangu.

Agiza Pepsi bariiiiidi nitalipa
 
Yawezekana kwa Malaya anafuata huduma ambayo hawezi kupewa na mkewe!!

Na tayari ni addict wa huduma hiyo ambayo no doubt ni jicho.

Ebhanae miji inakua usipime,Nyasaka ya 2001 ilikuwa full miembe na ngedere wa kutosha hapo center viduka viwili hivi na kipub uchwara.
 
Ukiwa na mwanamke wa hivi ndani sijui sura yako utaficha wapi... Ni mwendo wa kupigwa na fact nzito nzito mpk unachakaa, unakuwa kidume cha kila kitu ndio madam. Sababu kila mkiweka mdahalo huru lazima uzidiwe hoja na wife😁

Akili zikiwa nyingi nalo huwa tatizo
 
Good sex huwezi kupata kwa mke? Basi huyo mke atakuwa hayajui mahaba, ukimpata mwanamke anaye yajua mahaba vizuri nakwambia huyo mwanaume mapema yupo nyumbani katulia😁
 
Demi hapo ameongelea enzi za kale Sana kipindi ambacho wanawake hakuwa na thamana yoyote Katika jamii tofauti na kuwazalia na kuwahudumia waume Zao.

Siku hizi ubao umegeuka wanawake Wana hali Sawa na wanaume.
 
Demi hapo ameongelea enzi za kale Sana kipindi ambacho wanawake hakuwa na thamana yoyote Katika jamii tofauti na kuwazalia na kuwahudumia waume Zao.

Siku hizi ubao umegeuka wanawake Wana hali Sawa na wanaume.
Ni kweli zama zimebadilika lakini bado kuna wanaume wana mentality za kizamani hawataki kubadilika
 
Kivipi mke wa mwenye mali hanufaiki mumewe akiwa hai?
 
Kuna sahani ya udongo, plastiki, kioo, bati; leo utatamani ulie chakula kwenye sahanoi ya bati, kesho nyingine n.k
Ata mahusiano ni hivyo hivyo; kuacha ni mpaka pale atakapoelemewa na majukumu ya kifedha, kama ada za watoto n.k
Kwa sasa ale maisha tu.​
 
Watoto siku zote ni mali ya mama, baba atajitesa lakini uzeeni ataishi kama simba porini.
 
Kwahiyo na wewe huwa unaenda kukipeperusha nje au sio
 
Ni kweli lakini hata wewe ukisikia mumeo ana mchepuko nje sidhani kama utafurahia hali hiyo, ndio kwanza utamnunia wiki nzima hata sherehe utamnyima.
 
🫣🫣
 
Saaaafii
 
Hao ni professional football league, Sasa usicompare na amateur league(mkeo).
 
Hakuna pepo wala jini hapo
Hiyo ni addiction kama zingine kuacha lazima uamue na moyo wako au mpaka jambo zito likukute huko kwenye matukio yako
No rocket science
Ushuhuda huyo ana pepo ngoja akutatane na mtu wa MUNGU aliyesimama haswa utaniambia
 
I beg to disagree. Hata hao wanaojiuza wengi hamna kitu. Mtu unafika mahali unajisemea "bora hata mke wangu".
 
Madam hii ni ngozi nyeusi walio Africa au wote mpaka walio America na ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…