Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

Ni rafiki yako au ni wewe?
Be specific please
 
JF kila mtu hua ana leta malalamiko ya rafiki yake,

Kwani ukisema kua ni wewe kuna shida gani?
Umepiga kwenye mshono , mtu yyte anayekuja humu kusema sjui rafki yangu , mwanangu , mdogo wangu na blah blah kama hzo ujue ni yeye huyo Huyo wala usipoteze mda
 
Huyo ni ww mkuuuu kwanza uwezo wako wa kufanya ni goli moja
 
Kununua changudoa kunahitaji moyo mgumu.
Nilijaribugu mara moja tu mwaka jana, ila nasikia kichefuchefu hadi leo kila nikikumbuka. Aisee inahitaji moyo kwelikweli sitorudia hata ninyimwe vipi na mtu wangu
 
Mwambie zinaa inachafua hekalu ( mwili) na roho
 
Pia wanawake wanavhangia asilimia zaidi ya 80 wanaume kutoka nje ya ndoa,yani wanawake awaelewi wajibu wao kwenye ndoa,katika ndoa tendo la ndoa ndio kitu muhimu sana lakini wanawake waliolewa wanaleta mazoea ya kijinga kwa waume zao,kama hakuna tendo basi hakuna ndoa
 
Sio kweli hii, kama ndoa yako iko hivyo omba divorce tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…