Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

Iran ni Waajemi, watu wenye akili sana sijui waliingiaje kwenye huu mkenge wa uislamu na kulichelewesha taifa. Uislamu ulipaswa ubaki kwa waarabu na pia baadhi ya waafrika maana ndio binadamu waliochelewa kwenye matumizi ya ubongo.
Wanakimbia nchi yao wakija ulaya wanafanya mambo makubwa sana. Wengi sana wamehamia ukristu kwa sababu wanaunganisha uislamu na uongozi wa kijinga wa Nchi yao.
 
Kwa hio unalalamika saiv wanawake hawajiachii kama mwanzo kisa uislam ..ivo vichupi ndio maaendeleo ah sio ,we ni mshamba na mawazo mgando
Hapana ninachoamini kuikumbatia dini na serikali kunaleta matatizo makubwa sana. Leo hii wangekuwa mbali sana kama wasingefungamana na Uislamu. Sina mawazo mgando nimejifunza mengi sana kwa kuishi katika nchi zilizoendelea.
 
Huyu ndiye aliyekuwa akiota kwamba ataifuta Israel kwenye uso wa dunia?
Akishinda andaeni Jeneza lingine!
 
Huyu ndiye aliyekuwa akiota kwamba ataifuta Israel kwenye uso wa dunia?
Akishinda andaeni Jeneza lingine!
Hao wenye mawazo ya kumuondoa wanaweza wakaondoka kabla ya yeye kuapishwa.
Netanyahu yuko mguu njiani mguu majanini na Trump ni kama mwehu wamarekani wenye akili hawatamsogeza tena ikulu.
 
Nyie waislam mkae mkitambua ISRAEL ni taifa la Mungu wa kweli. Na Hakuna wakuliondoa kwenye ile ardhi. Muamini hivyo na mtulie kwa amani, Vinginevyo mtajichosha bure na kupata hasara kila siku. Huyo Mahmoud Ahmadinejad hana chakufanya Israel yaani mnajilisha upepo tu
 
Kipindi Cha kuomba kura enzi hizo aliahidi kuifuta Israel,Dunia ilishangaa.Alipoingia madarakani mpaka anaondoka hakulitekeleza Hilo.
We mbona muongo alisema Israel akigusa Iiran wakati wake.
 
Iran ni Waajemi, watu wenye akili sana sijui waliingiaje kwenye huu mkenge wa uislamu na kulichelewesha taifa. Uislamu ulipaswa ubaki kwa waarabu na pia baadhi ya waafrika maana ndio binadamu waliochelewa kwenye matumizi ya ubongo.
Abraham baba wa wayahudi alikua Muarabu una maoni gani? Naye hana akili?
 
Mbona Muhammed Ali aliwatoa? Kutoka watatoka tu siku USA ikiondoa mkono wake. Israel ya biblia sio hii ya sasa na Mungu ni wa wote sio Israel acheni kupotoshana.
 
Hicho ndicho kinachohofiwa,
Kama atazinduka basi bora aliache tupate mbabe upande wa waislamu kupambana na Trump na Netanyahu kwani waarabu wote ovyo kabisa.
Iphone, Computers,Madawa,Magari,hellcopters, ndege,Nguo,sofa na bidhaa zingine nyingiii ni from hao wawili🤣🤣Zalisheni kwanza vyakwenu na technologies ziwe zenu vyinginevyo- ni WanzunguKENI hawa .Wamewazunguka kila kona.
 
Mbona Muhammed Ali aliwatoa? Kutoka watatoka tu siku USA ikiondoa mkono wake. Israel ya biblia sio hii ya sasa na Mungu ni wa wote sio Israel acheni kupotoshana.
USA ana ubavu wa kuitosa Israel- aitokuja tokea kamwe.....Kuna msemo wa Waisrael .... Our Man at the White House..... Toka huyu jamaa Mordecai - Wikipedia. alivyowaokoa Mababu zao miaka hiyo mpaka leo Israel lazima wawe na Mordecai katika all powerfull Government/nationals ! Awafanyi tena kosa.
 
Huyu ndiye aliyekuwa akiota kwamba ataifuta Israel kwenye uso wa dunia?
Akishinda andaeni Jeneza lingine!
Kama wataendele kunua ndege, magari na mitambo kutoka USA na washirika wake wajiandae kuangamia vibaya sana
 
Wanakimbia nchi yao wakija ulaya wanafanya mambo makubwa sana. Wengi sana wamehamia ukristu kwa sababu wanaunganisha uislamu na uongozi wa kijinga wa Nchi yao.
Hebu toa takwimu tuone,Nina Imani majina unayo
 
Hao wenye mawazo ya kumuondoa wanaweza wakaondoka kabla ya yeye kuapishwa.
Netanyahu yuko mguu njiani mguu majanini na Trump ni kama mwehu wamarekani wenye akili hawatamsogeza tena ikulu.
Siyo Nyetanyahu huyu tunayemjua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…