Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili ya jamaa hapo juu maendeleo ni kukaa uchi na kuruhusu ushoga.Kwa hio unalalamika saiv wanawake hawajiachii kama mwanzo kisa uislam ..ivo vichupi ndio maaendeleo ah sio ,we ni mshamba na mawazo mgando
Wanakimbia nchi yao wakija ulaya wanafanya mambo makubwa sana. Wengi sana wamehamia ukristu kwa sababu wanaunganisha uislamu na uongozi wa kijinga wa Nchi yao.Iran ni Waajemi, watu wenye akili sana sijui waliingiaje kwenye huu mkenge wa uislamu na kulichelewesha taifa. Uislamu ulipaswa ubaki kwa waarabu na pia baadhi ya waafrika maana ndio binadamu waliochelewa kwenye matumizi ya ubongo.
Hapana ninachoamini kuikumbatia dini na serikali kunaleta matatizo makubwa sana. Leo hii wangekuwa mbali sana kama wasingefungamana na Uislamu. Sina mawazo mgando nimejifunza mengi sana kwa kuishi katika nchi zilizoendelea.Kwa hio unalalamika saiv wanawake hawajiachii kama mwanzo kisa uislam ..ivo vichupi ndio maaendeleo ah sio ,we ni mshamba na mawazo mgando
Hao wenye mawazo ya kumuondoa wanaweza wakaondoka kabla ya yeye kuapishwa.Huyu ndiye aliyekuwa akiota kwamba ataifuta Israel kwenye uso wa dunia?
Akishinda andaeni Jeneza lingine!
Nyie waislam mkae mkitambua ISRAEL ni taifa la Mungu wa kweli. Na Hakuna wakuliondoa kwenye ile ardhi. Muamini hivyo na mtulie kwa amani, Vinginevyo mtajichosha bure na kupata hasara kila siku. Huyo Mahmoud Ahmadinejad hana chakufanya Israel yaani mnajilisha upepo tuYule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo.
Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka 2013,kiongozi huyo amewahi kutaka kugombea mwaka 2021 lakini kiongozi mkuu wa kidini wa nchi hiyo alimzuia wakati ambapo nchi hiyo ilikuwa chini ya vikwazo vya kiuchumi.Muda huo Iran ikitumia mbinu za kidemokrasia zaidi ili kupunguzo mbinyo huo wa kiuchumi. Kwa kumjua misimamo yake kiongozi huyo wa kidini akaamua kumuweka pembeni kugombea.
Iwapo Ebrahim Raisi aliyefariki kwa ajali ya ndege hivi karibuni aliweza kurusha makombora mpaka TelAviv,basi pindi Ahmednejada atashika uraisi na ikawa ni kipindi ambacho Netanyahu atakuwa hajaondoka madarakani basi mbabe huyo wa Israel na msema mbovu atakuwa amepatiwa dawa yake na lazima ataitema Palestina irudi kwa wenyewe.
Misiaada kwa wapiganaji wa Houth na kuisaidia Urusi havitakuwa ni vitu vya kificho tena
Moja ya matamko ya kimsimamo aliyoweza kutamka Ahmedinejadi mbele ya umoja wa mataifa ni kukanusha kuwepo mauwaji ya holocast kwa mayahudi kwa idadi ya mamilioni.Jambo ambalo liliwaudhi sana jamii hiyo na marafiki zao.
View attachment 3006937
We mbona muongo alisema Israel akigusa Iiran wakati wake.Kipindi Cha kuomba kura enzi hizo aliahidi kuifuta Israel,Dunia ilishangaa.Alipoingia madarakani mpaka anaondoka hakulitekeleza Hilo.
Abraham baba wa wayahudi alikua Muarabu una maoni gani? Naye hana akili?Iran ni Waajemi, watu wenye akili sana sijui waliingiaje kwenye huu mkenge wa uislamu na kulichelewesha taifa. Uislamu ulipaswa ubaki kwa waarabu na pia baadhi ya waafrika maana ndio binadamu waliochelewa kwenye matumizi ya ubongo.
Mbona Muhammed Ali aliwatoa? Kutoka watatoka tu siku USA ikiondoa mkono wake. Israel ya biblia sio hii ya sasa na Mungu ni wa wote sio Israel acheni kupotoshana.Nyie waislam mkae mkitambua ISRAEL ni taifa la Mungu wa kweli. Na Hakuna wakuliondoa kwenye ile ardhi. Muamini hivyo na mtulie kwa amani, Vinginevyo mtajichosha bure na kupata hasara kila siku. Huyo Mahmoud Ahmadinejad hana chakufanya Israel yaani mnajilisha upepo tu
Iphone, Computers,Madawa,Magari,hellcopters, ndege,Nguo,sofa na bidhaa zingine nyingiii ni from hao wawili🤣🤣Zalisheni kwanza vyakwenu na technologies ziwe zenu vyinginevyo- ni WanzunguKENI hawa .Wamewazunguka kila kona.Hicho ndicho kinachohofiwa,
Kama atazinduka basi bora aliache tupate mbabe upande wa waislamu kupambana na Trump na Netanyahu kwani waarabu wote ovyo kabisa.
USA ana ubavu wa kuitosa Israel- aitokuja tokea kamwe.....Kuna msemo wa Waisrael .... Our Man at the White House..... Toka huyu jamaa Mordecai - Wikipedia. alivyowaokoa Mababu zao miaka hiyo mpaka leo Israel lazima wawe na Mordecai katika all powerfull Government/nationals ! Awafanyi tena kosa.Mbona Muhammed Ali aliwatoa? Kutoka watatoka tu siku USA ikiondoa mkono wake. Israel ya biblia sio hii ya sasa na Mungu ni wa wote sio Israel acheni kupotoshana.
Kama wataendele kunua ndege, magari na mitambo kutoka USA na washirika wake wajiandae kuangamia vibaya sanaHuyu ndiye aliyekuwa akiota kwamba ataifuta Israel kwenye uso wa dunia?
Akishinda andaeni Jeneza lingine!
Hebu toa takwimu tuone,Nina Imani majina unayoWanakimbia nchi yao wakija ulaya wanafanya mambo makubwa sana. Wengi sana wamehamia ukristu kwa sababu wanaunganisha uislamu na uongozi wa kijinga wa Nchi yao.
Siyo Nyetanyahu huyu tunayemjua!Hao wenye mawazo ya kumuondoa wanaweza wakaondoka kabla ya yeye kuapishwa.
Netanyahu yuko mguu njiani mguu majanini na Trump ni kama mwehu wamarekani wenye akili hawatamsogeza tena ikulu.