Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

Ukimpatia tiba nisogezee na mimi huku maana ndo zangu hizo,
 
subiri akikua ataachaaa....angekuwa mdokozi si ungemsema sanaaa.....mind your own business
 
He is free man, he do not pretend life, most of us tend to pretend life.
Western education has totaly distorted our mind, behavior, and sicialization.
We are no longer what we were supposed to be ! We are pretender who act the life but we do not live our life and we are not happy.
Fck! western education.
Eti wazungu wameunda kumbi za dusco ukalipie hela ukacheze ila harusini, ngomani, nyumbani usicheze ni marufuku sio wehu huo?
Eti ukichukua mpira ukachezacheza peke yako nyumbani unakuwa haupo sawa mpaka uende uwanjani uliobuniwa na wazungu ndio upo sawa.
Wazungu walituletea mambo ya kijinga sana, mtu akijikomboa kutoja ujinga wa fikra za western basi unamuita mwehu.
Kwa nini watu mliosoma hamchezi ngoma za Gobohono,Mang'oma, mdundiko, sindimba nk mnayo sababu ya kitocheza ?
Furaha yenu mnaipata wapi ?
Je huyo jamaa akikwambia na wewe unaeshangilia Ronaldo kufunga gori kupitua luninga kuwa wewe ni mwehu utakataa kwa vigezo gani?
Nani mwehu kati ya wewe unaeshangilia kivuli cha mchezaji na yeye anaecheza mziki live yeye mwenyewe ?
 
Kama na kanisani anacheza hata kupita watu maalum like u said 😂😂 baai jua huyo mzima kabisaa.Kama anamfurahia na Mungu wake namna hiyo nakuambia huyo mzima vinginevyo wangemkamata wamkemee pepo.
 
Huyo Jamaa yako hana stress za maisha.. Na ukimchunguza utabaini ni mtu mwenye furaha muda mwingi na hana makasiriko wala visirani na mtu
 
Hilo tatizo kitaalamu linaitwa danciphology

Huu ugonjwa huwapata hasa wale watu ambao kila wafanyalo linaenda sawa yaan akipiga dili tu kesho pesa zko mezan akil zao xinakuwa nyeupe na kurud utoto huwez kymkuta anawaza kitu zaid kalala anafanya kaz au anacheza

TIBA
Mkope mamillion kisha usimlipe au fanya kitu kitachompa stress aone dunia chungu hii
 
Akicheza hadi kuvua nguo na kuacha kishundu patupu njoo uniambie nitampa dawa ila kwa sasa ni kawaida tu mwache afurahie maisha yake.
 
N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza.

ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu.

nimekutana nae tena naona tabia yae hajabadilika.

kikweli kucheza kwake hakuwadhuru watu lakini kiheshima inakuwa kama haiendani na umri wake

yaani yeye mkiwa kwenye graduation za wadogo zenu au ndugu akisikia muziki atacheza bila aibu, kanisani akienda nako anacheza sana muziki kuzidi hata wale watu maalum, kukiwa na sherehe atacheza sana, n.k.

kuna yale magari ya matangazo huwa anafungwa spika. we! we! we! yani likipita ni bora umwachie nafasi yake atangulie maana watu wanaweza kudhani wewe na yeye kazi yenu ni wacheza mziki.

hii inaingia hadi ofisini ana mazoea sana ya kucheza. akiamka kidogo tu kujinyoosha lazima acheze cheze, akiinga kwenye gari yake muziki ni lazima, n.k.

Mkiongea kuhusu miradi , yeye anakwambia ana sav pesa au anaweza kuomba mkopo afungue shule ya kucheza, ni mzima kweli huyu?? utapata wapi wateja wa kucheza??

hata watu ofisini wanamjua kwa "yule anaependa kucheza" kama jina limewatoka.

ni kucheza, kucheza, kucheza, dancing/

je kuna watu kama huyu au hii ni special case
Ana kipaji cha kucheza huyo, aendelezwe kufuata mkondo huo.
 
Muache aendelee kufurahi na aishi maisha yake kwa amani kama anavyopenda yeye na sio wewe, mbona kama unateseka na furaha yake???
 
Hataki kujipa stress yoyote na maisha
 
Mwenzako hiyo ndo furaha yake,mbona hamna shida kabisa hapo
 
N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza.

ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu.

nimekutana nae tena naona tabia yae hajabadilika.

kikweli kucheza kwake hakuwadhuru watu lakini kiheshima inakuwa kama haiendani na umri wake

yaani yeye mkiwa kwenye graduation za wadogo zenu au ndugu akisikia muziki atacheza bila aibu, kanisani akienda nako anacheza sana muziki kuzidi hata wale watu maalum, kukiwa na sherehe atacheza sana, n.k.

kuna yale magari ya matangazo huwa anafungwa spika. we! we! we! yani likipita ni bora umwachie nafasi yake atangulie maana watu wanaweza kudhani wewe na yeye kazi yenu ni wacheza mziki.

hii inaingia hadi ofisini ana mazoea sana ya kucheza. akiamka kidogo tu kujinyoosha lazima acheze cheze, akiinga kwenye gari yake muziki ni lazima, n.k.

Mkiongea kuhusu miradi , yeye anakwambia ana sav pesa au anaweza kuomba mkopo afungue shule ya kucheza, ni mzima kweli huyu?? utapata wapi wateja wa kucheza??

hata watu ofisini wanamjua kwa "yule anaependa kucheza" kama jina limewatoka.

ni kucheza, kucheza, kucheza, dancing/

je kuna watu kama huyu au hii ni special case
Safi sana acha apate burudani maisha yenyewe mafupi live every moment
 
Inaonyesha hata kwenye mazishi anakata mauno ya hatari, bileku mpasi cha mtoto[emoji23][emoji23]
 
N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza.

ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu.

nimekutana nae tena naona tabia yae hajabadilika.

kikweli kucheza kwake hakuwadhuru watu lakini kiheshima inakuwa kama haiendani na umri wake

yaani yeye mkiwa kwenye graduation za wadogo zenu au ndugu akisikia muziki atacheza bila aibu, kanisani akienda nako anacheza sana muziki kuzidi hata wale watu maalum, kukiwa na sherehe atacheza sana, n.k.

kuna yale magari ya matangazo huwa anafungwa spika. we! we! we! yani likipita ni bora umwachie nafasi yake atangulie maana watu wanaweza kudhani wewe na yeye kazi yenu ni wacheza mziki.

hii inaingia hadi ofisini ana mazoea sana ya kucheza. akiamka kidogo tu kujinyoosha lazima acheze cheze, akiinga kwenye gari yake muziki ni lazima, n.k.

Mkiongea kuhusu miradi , yeye anakwambia ana sav pesa au anaweza kuomba mkopo afungue shule ya kucheza, ni mzima kweli huyu?? utapata wapi wateja wa kucheza??

hata watu ofisini wanamjua kwa "yule anaependa kucheza" kama jina limewatoka.

ni kucheza, kucheza, kucheza, dancing/

je kuna watu kama huyu au hii ni special case
yuko sawa kupitiliza huyo . wewe wa 31yrs unayeishi kama una 70yrs ndio mwenye matatizo! kawaone wataalam wakusaidie kabla uzee wa akili haujaingia mwilini
 
Back
Top Bottom