Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
mkuu unawivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan ndo hapo sasa.Muache anafurahia maisha na namna yake as long as hadhuru mtu.
Watu wanashangaza kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe ni hovyo kabisa. Mwenzio kufurahia maisha unakereka. Stress zako sio zake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mwenyewe ninayo hiyo tabia....mziki wa saloon ukikolea huwa namuomba kinyozi asitishe kwanza ili nilisakate rhumba[emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama na kanisani anacheza hata kupita watu maalum like u said [emoji23][emoji23] baai jua huyo mzima kabisaa.Kama anamfurahia na Mungu wake namna hiyo nakuambia huyo mzima vinginevyo wangemkamata wamkemee pepo.
Yaan ajabu kwa kweli.Muache aendelee kufurahi na aishi maisha yake kwa amani kama anavyopenda yeye na sio wewe, mbona kama unateseka na furaha yake???
DahHilo tatizo kitaalamu linaitwa danciphology
Huu ugonjwa huwapata hasa wale watu ambao kila wafanyalo linaenda sawa yaan akipiga dili tu kesho pesa zko mezan akil zao xinakuwa nyeupe na kurud utoto huwez kymkuta anawaza kitu zaid kalala anafanya kaz au anacheza
TIBA
Mkope mamillion kisha usimlipe au fanya kitu kitachompa stress aone dunia chungu hii