Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

Kama na kanisani anacheza hata kupita watu maalum like u said [emoji23][emoji23] baai jua huyo mzima kabisaa.Kama anamfurahia na Mungu wake namna hiyo nakuambia huyo mzima vinginevyo wangemkamata wamkemee pepo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mtu na kitu anachopenda.

Ukipenda pombe lazima umshangae mnywa Kahawa.
 
Bora huyo...kina Muhammad waliporukwa akili walianza kuchinja watu Na kubaka vitoto
 
Yaan watu wanashangaza, sasa mtu yuko buzzy na maisha yake tena anayafurahia, af pia ni dancer,
Lakini mtu mwingne anakerekwa na kuhemkwa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Inashangaza kwa kweli.
 
Ebu muache ndugu yako aenjoy maisha kwani ww unateseka na nini maana nakumbuka huu uzi ulishauleta hapa kipindi cha ujaridhika leo umeuleta tena
 
Yani ukisoma huu uzi lazima akili za kucheza zikujie,
Basi wote hatuna akili!?
 
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…