Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure
Mimi sipendi kukaa na watu wengi nikikaa watu wasizid 4 wakizid nasepa ila huyu jamaa mswahili anaweza akaja getho kwako na watu kama ukooo chumba kinajaa hata sehemu ya kupita upati
Kingine nisichokipenda kwake ni muongeaji sana amezi mate kabisa juzi kanikwaza kabisa kulikuwa na part sehemu mm nilienda kwa kuchelewa nilipofika akaniona kwa mbali kaenda mpokonya mc maik ananza kunisifia mbele za watu kuna ile kitu anakufanyia na akijua upendi unakosa cha kumfanyaa bas tu ila ni mshikaji
Nimejarobu kumkwepa ila kakwepeki unaweza mjibu majibj ya short au ya kejer ili kijana akaushe ila wapi akomi sijui njia ya kumkwepa sipendi sifa ase