Rafiki yangu ni mtu wa sifa ananikwaza sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure

Mimi sipendi kukaa na watu wengi nikikaa watu wasizid 4 wakizid nasepa ila huyu jamaa mswahili anaweza akaja getho kwako na watu kama ukooo chumba kinajaa hata sehemu ya kupita upati

Kingine nisichokipenda kwake ni muongeaji sana amezi mate kabisa juzi kanikwaza kabisa kulikuwa na part sehemu mm nilienda kwa kuchelewa nilipofika akaniona kwa mbali kaenda mpokonya mc maik ananza kunisifia mbele za watu kuna ile kitu anakufanyia na akijua upendi unakosa cha kumfanyaa bas tu ila ni mshikaji

Nimejarobu kumkwepa ila kakwepeki unaweza mjibu majibj ya short au ya kejer ili kijana akaushe ila wapi akomi sijui njia ya kumkwepa sipendi sifa ase
 
Anakusifia -
Haumpendi
Anaongea Sana

Usimchukie maana sio MTU mbaya Ila hulka yake ndo haujaipenda.

Unbidi kuwa na marafiki mbalimbali wacheshi , wakimya , waongeaji hii itakusaidia kujua mambo mengi pasipo kutumia nguvu.✊🏿
 
Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure

Mimi sipendi kukaa na watu wengi nikikaa watu wasizid 4 wakizid nasepa ila huyu jamaa mswahili anaweza akaja getho kwako na watu kama ukooo chumba kinajaa hata sehemu ya kupita upati

Kingine nisichokipenda kwake ni muongeaji sana amezi mate kabisa juzi kanikwaza kabisa kulikuwa na part sehemu mm nilienda kwa kuchelewa nilipofika akaniona kwa mbali kaenda mpokonya mc maik ananza kunisifia mbele za watu kuna ile kitu anakufanyia na akijua upendi unakosa cha kumfanyaa bas tu ila ni mshikaji

Nimejarobu kumkwepa ila kakwepeki unaweza mjibu majibj ya short au ya kejer ili kijana akaushe ila wapi akomi sijui njia ya kumkwepa sipendi sifa ase
Ni muhaya nn huyo jamaa
 
Kama hukubaliani na jambo ni Bora ukawa muwazi Kwa huyo jamaa,Kwa sababu Hali hiyo haiwezikubadilika mpaka pale utakaonyesha Nia ya wazi ya mabadiliko.
 
Binafsi hakuna mtu anayeweza kunizoea KIPUMBAVU hivyo.
Ukitaka kuzidisha mazoea naweka uso wa Julius Ceasar,utakimbia au ukae kimya.
Mwisho;sehemu ninapokaa mtu haingii kimandazi mandazi.
Kuna ile mtu anakwambia nakuja unajua anakuja yeye af kumbe ana watu wengi af kuna namn unashindwa mzuia
 
Back
Top Bottom