Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

Je unajua kama rafiki ni zaidi ya ndugu,je unajua kama mtakua mmesalitiana na kujiuza wenyewe?,unajua rafiki wanajua ubora na udhaifu wa rafiki kuliko ndugu jamaa na wana family?,unajua kama rafiki ni ndugu wa hiyali na halombwi wala halombi?
So unatushaurije mkuu
 
Una umri gani?
 
Huo urafiki wa kuitana kum*a na mkund*u umevuka mipaka kabisa.

Hata kama ni urafiki wa kushibana, inapaswa kuwa na mstari ambao haupaswi kuvukwa.

Tena urafiki na mwanamke. Unapaswa kuweka boundaries za utani.
Tabia zetu zinafanana sana ndo maana ni marafiki
 
Hata ukioa bikra akiamua kuliwa huwezi kuzuia
Hata ukioa bikra akiamua kuliwa huwezi kuzuia
Ndiyo—inawezekana mnakuwa mmefanya maamuzi sahihi** kama mnaelewana, mnaaminiana, na mnapanga maisha (fedha, mipango ya ndoa/ watoto, na mawasiliano).
Kama bado mna migogoro ya msingi au hamjapanga mustakabali**, basi bado mna hitaji kutafakari zaidi.
 
Mstari unaotenganisha urafiki na undugu ni mwembamba sana yaani hadi utumie miwani ndio utauwona (yawezekana wewe uyo she ndio rafiki yako ila yeye wewe si rafiki yake alikua anakuwinda tu kukusogeza)
 
Late 20’s ila usinijaji kulingana na umri wangu utakuwa umeenda OP sana
No kwa sababu hapa ni anonymous, Unapo omba Ushauri ainisha umri wako Ili hata sisi washauri tujue tunashauri mtu wa aina age gani!!

By the way kitendo Cha rafiki yako kukuita Mkuu*** ni wazi kabsa mnaishi kisela mno..

Kwa kitendo hicho huyo rafiki yako anakosa ile haiba ya kike, aibu, upole, na utii.

Mwanamke akikosa hivyo, hafai kwenye ndoa, atakuchukulia kama rafiki na heshima yake kwako ni ya kirafiki.

Hatakupa heshima kama Mme wake wa ndoa.

Kwahiyo kijana kua makini, kwenye uchaguzi wa kuoa hawitaji kujichukulia tu hovyo kwa sababu tu mmezoeana!!! Utaacha ndala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…