Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

Mbele za watu unasema kabisa una urafiki na mtoto wa kike!!!
Basi sawa...
 
Hapo wote mnaonekana mko katika retirement phase, mmesagula sagula huko mmeishia kupata masalo sasa hamna jinsi bebaneni tuu mkaozee mbele ya safari
 
Tabia zetu zinafanana sana ndo maana ni marafiki
mkuu kumuoa unavunja urafiki mnakuwa mke na mme inavyoonekana unampenda oaneni ila muishi kama marafiki siyo wapenz one day utakumbuka zone ya urafiki na huwezi ipata kwake kikubwa fata moyo wako
 
Kama umemuelewa chukua mali hiyo.
 

Mahusiano ya hivi huwa najiuliza yanaishia wapi?

Wewe ni mdau wa kubet, bet hapo kwa huyo bidada kumuoa tuone kama utatoboa
 
Kama mmeweza kumshinda SHETANI muda wote huu ina maana HAMNA CHEMISTRY, kitu ambacho kitafanya ndoa yenu isiwe na mwisho mwema na hivyo kuharibu urafiki wenu!
😇
👿
... Mwanaume na mwanamke toka lini wakawa marafiki?
WE MUOE TU! ... YAKIONGOKA WALI, YAKIFUBAA MCHUZI!
 
Mahusiano ya hivi huwa najiuliza yanaishia wapi?

Wewe ni mdau wa kubet, bet hapo kwa huyo bidada kumuoa tuone kama utatoboa
Kwan tutakuwa wakwanza kuachana 😁
 
Kwan nini maana ya urafiki mkuu? Nishakula madem kibao tuliokua na mazoea kupitiliza kasoro huyo rafiki yangu.!! Mfano huyu hapa wa juzi tu

 

Huyo Mwanamke ana kazi??? Kama Hana kazi anataka akufanye wewe kupe
 
Sawa. Na siku ukichapiwa na vidume mtaani usije ukaumia maana hizo Pesa unazompa anawapelekea vidume wenzio mtaani ili wamkune vizuri
Haha naumiaje tena mzee wkt uchi ni wake anapanga mwenyewe matumizi yake.
 

Mmelala sana pamoja - huku mkishinda shetani?????
Huyo ukimuoa mtaishi tu vizuri (mapenzi ya kawaida na sio yale ya kujitia kitanzi) na sio rahisi ndoa kuvunjika kwani kila mmoja anauwezo wa kumsamehe mwenzake pale anapokosea...
 
Ishu siyo uchi, ishu ni hela unazompa nae anawapa vidume wenzio mtaani tena wasimamia kucha wenye Matango Makubwa kuliko wewe kibamia anayekulia hela zako
Kama unateswa na mapenzi pole mkuu wengine imebaki historia tu kuwa tumewahi teswa na mapenzi. Nipo upande wa pili wa watesaji tangu muda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…