Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Wewe Ni Ke au me??
Unapenda Me wauliwe Na Ke?

Issue hii hakuna ke aliemuua me. Na ndio maana hakuna kesi itakayo funguliwa itakayo mtuhumu Bibi kumuua bwana,ila Me ndio kashindwa kukubali matokeo pia kukosa ushauri ambao ungemfaa. Wanaume inatakiwa tudevelop Emotion Intelligence.

Emotional nmeshakubali kuwa nitaweza loose kitu chochote at anytime, yaweza kuwa mtu ama kitu.
 
Kma wewe sio KE basi Mungu alikosea kukuwekea kikojoleo sio chako
 
Wanawake wa Leo ni mafisi...kilichompata Dav wanaume wengi sana kinatupata....mali zinachukuliwa , unaachwa kuteseka hatimaye kifo
 
Inasikitisha sana.

Ila naamini Dav alikosa ushauri mzuri. Pengine angeweza bakiza sehemu kubwa sana ya mali zake upande wake na kiasi kidogo kwenda kwa mtalaka wake. Sababu kama ulivyoeleza sehemu kubwa ya mali zake alizipata kabla ya kuoana na huyo mwanamke.

Pia, hatuwezi jua Mapenzi yalimchota Dav kiasi gani, usikute aliharibu kwenye madocuments huko kuweka majina ya mkewe kisa mapenzi.

Nakumbuka Mimi kabla sijaoa watu wazima niliowashirikisha walinisisitiza sana nisije kujiona nimepata dhahabu au malaika hadi ikapelekea kufanya maamuzi ya kunigharimu hapo baadae. Wala huyo mke asije kuwa sababu ya kukaa mbali na ndugu zako. Mke anaweza kukutema muda wowote lakini ndugu zako wa damu na wazazi sio rahisi. Hivyo nisije ruhusu mke akaniweka mbali na wazazi na ndugu zangu wa karibu.

Mwingine alienda mbali zaidi akasema kwani unajua kabla yako wewe huyo mkeo ameshagongwa na wanaume wangapi?? Na una uhakika gani kwamba wewe ndio unamkaza vizuuuri kuliko hao wote waliokutangulia?? So usijione umepata dhahabu sana hadi ukajitenga na watu wako wa siku zote. Yeye ana sababu zake za kukubali kuolewa na wewe ambazo unaweza usizijue. Mwisho akasema nenda ujenge ndoa yako na jitahidi usiwe chanzo cha mgogoro kati yako na mkeo lakini usisahau kudumisha mahusioano na ndugu zako. Mwanamke anabadirika muda wowote, biblia yenyewe imeseza ishi nao kwa akili.

Mwingine mdada aliniambia, ni ngumu sana mdada kugomea ndoa kama anaona maisha unayo. So wewe mwanaume unayechagua ndio unatakiwa utulize sana akili.

Hivyo napata shida kutokuona role ya ndugu zake Dav katika story yako. Je alikaa mbali nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…