Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #81
T*MBA then SEPA.Kwahyo usipooa utarudi utajizuia vipi na nyege?
Au utatafunwa wewe?
It's done.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
T*MBA then SEPA.Kwahyo usipooa utarudi utajizuia vipi na nyege?
Au utatafunwa wewe?
Na hapendi kuchangamana na watu,akija home toka huko anakoishi anaweza lala kuanzia asubuhi mpaka jioni...yeye mwamshe kuoga,chakula basssHuyo Jamaa anahitaji emotional assistance & counselling ya sisi wanaume wenzake asije akajifanyia kitu kibaya au kukuua kabisa.
Kama mke anakupa stress na huwezi handle emotion za mama watoto wako utakufa tu hata usipooa ukazaa na malaya wa mtaani. Tena wale wanakuua hawapitii mahakamani.No one will live forever.
Stress za kujitakia ni HATARI KWA AFYA YAKO.
VIFO VYA KUFOSIWA SI AFYA.
#YNWA
Bill gates alimshirikisha wife wake kwenye miradi yote na alichangia kweli kweli ndoa za wa zungu ni "bussiness oriented" wana changiana kweli kweli ila za kwetu ni "sex oriented" eti nioe Mlugulu wakutoka Moro amekulia milimani aanze kunitisha hata kuandika bussiness plan ajui wala aja wahi kuisikia eti anishide my emotional intelligences. Hapa hapana sio mimi.Billgate katoswa uzeeni.Bas tu ni changamoto za hapa na pale
Halafu watoto wako utawazaa na malaya ili ukifikia ule umri wa stroke wakuue.T*MBA then SEPA.
It's done.
#YNWA
SWADAKTA KABISA KIONGOZIVijana wanapaswa kutambua Kuna wanawake wa kuwa "mke" wengine wapo kwa ajili ya starehe tu ni rahisi Sana kuwatambua ukitumia akili kuliko hisia.
Wajumbeeeeeee...
SIKIA hiiii......
Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mi nilienda ofisini kwao kufanya field.
Kwasababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.
Alikua mchapa kazi balaaa na mtafuta hela hasaaa.
Kitengo kiling'ara kwasababu yake.
Maisha yake binafsi yalikua mazuri huku akimiliki nyumba na gari (simply kijana mwenye chenji zake).
Field ikaisha na Mimi nikasepa.
Ila urafiki uliendeleaa then ukapotea ghafla.
Baada ya muda bila kuwasiliana siku moja (mwaka jana) ghafla nikamkuta njiani.
Alikua kachoka balaaa, halafu ANATAFUTA KAZI..!!!
Dah ikabidi nisimamishe tukituki yangu ya miguu 4 apande kwenda sehemu kuongea.
Alikua kama kachanganyikiwa.
Nikampa lunch then nikampeleka gheto.
Alikaa gheto kama wiki hivi, then akasepa Dar.
Alichonihadithia....
1. Mwaka ule wa field yangu (2012) alioa.
2. Mkewe alimkuta Dav ana nyumba, gari, mashamba na Mali kibaoo.
3. Baada ya ndoa, miaka iliyofata maisha nyumbani yalianza kuwa magumu, kampuni ilikua ya wazungu. Then mkataba uliisha, wazungu wakarudi kwao, Dav akakosa permanent income.
4. Mkewe akachepuka na kuhamia kwa jamaa mpya mazima.
5. Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!
Nikashangaa....
""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""
Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"
Mwana alikua kama kachanganyikiwa.
Tuliongee akasema anaenda Dar kutafuta ajira na anashukia kwa Steve (sio jina lake halisi).
By accident Steve namjua sanaa (classmate).
Then siku ilivyofika nikampeleka stend akapanda ndinga huyoo Dar.
Yote haya yalitokea February/2021.
Leo yaani alifajiri hii napata taarifa kuwa "Davi kafariki kwasababu ya ugonjwa wa akili"
Steve anasema......
1. Dav alikuwa mwana Sana, tulicheza na kukua wotee kitaa
2. Kwasababu tupo field moja ya Kazi then tuliunda kama team ya kusaidiana kimawazo ya fani yenu.
3. Kila jambo, liwe jipya au gumu tunashirikishana.
4. Ila tokea aoe na kuanza matatizo ya ndoa performance ilishuka.
5. Kazi zikaisha
6. Mali zake zikauzwa
7. Alivyofika Dar alikua kama chizi, kutwa kuwataja wanae, mara aropoke majina ya mkewe kwa hasira na vitu kama hivyo.
8. Tarehe 01/08 hali ilikua mbaya hasa, akakimbizwa hospital.
9. Na leo 07/08/2021 Dav KAFARIKI kwasababu ya matatizo ya akili.
Dah....
1. Watoto wawili hawana baba Tena.
2. Kuna wazazi wamepoteza mpendwa wao mtoto wa kiume PEKEE.
3. Kuna sisi tumepoteza role model wa Kazi na rafiki.
4. Tasinia yetu ya science imepoteza MTALAAMU.
5. Tanzania imepungukiwa na GDP
Yoteee haya eti kisa mbunye..!!!
1. We unadhani angeamua kuwa single kama Mimi ANGEKUFA na NDOA?
2. We unadhani angeamua kum-HIT AND RUN huyo mkewe YANGETOKEA HAYA?
3. We unadhani ...........
Alidhani kuoa ni kuzuri KUMBE KUMEMTAFUTIA KIFO MAPEMA AKIWA NA MIAKA 39 tuuu.
Tafuta hela kijana kuoa ni upuuzi kwa dunia ya sasa.
Hawataki penzi lako ila WANATAKA HIZO MALI ZAKO.
They are GOLD DIGGERS, they need kuchimba dhahabu yotee kutoka kwenye huo mgodi wako then wauache empty.
Leo nipo gheto kusikiliza nyimbo alizozipenda Dav tuu...
RIP BROTHER.
""If you think money can't buy happiness, nenda kaulize ajira mpya walimu wiki hii walivyolipwa HELA ZAO KUJIKIMU na Halmashauri zao WALIJISIKIAJE""
View attachment 1883485
View attachment 1883489
Tafuta HELA kijana.
#YNWA
Wewe acha kufananisha wazigua na vitu ya ajabuBill gates alimishirikisha wife wake kwenye miradi yote na alichangia kweli kweli ndoa za wazungu ni "bussiness oriented" wana changia kwelikweli ila za kwetu ni "sex oriented" eti nioe Lizigua limekulia milimani lianze kunitisha hata kuandika bussiness plan alijui wala alijawahi kusikia eti lishide my emotional intelligences. Hapa hapana.
Una umri gani mkuu?Ipo siku Tutasoma story za maisha yenu magumu mtakayopitia kwenye hizo NDOA ZENU.
Mi niwatakie tu MATESO YALIYOPUNGUA MAKALI.
Kuingia kwenye ndoa ni kuingia kwenye mateso MAKUU.
Niwatakie VIFO VYA KUJITAKIA VYEMA.
#RIP TZ CITIZEN IN ADVANCE.
#YNWA
Siko ivo mkuuShe look so comfortable...i think she is cold hearted woman, who enjoys other people pain.
I swear to God hela niliyoitafuta mwenyewe haigawi tutarogana mpaka kuchr haki vile..Wajumbeeeeeee...
SIKIA hiiii......
Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mi nilienda ofisini kwao kufanya field.
Kwasababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.
Alikua mchapa kazi balaaa na mtafuta hela hasaaa.
Kitengo kiling'ara kwasababu yake.
Maisha yake binafsi yalikua mazuri huku akimiliki nyumba na gari (simply kijana mwenye chenji zake).
Field ikaisha na Mimi nikasepa.
Ila urafiki uliendeleaa then ukapotea ghafla.
Baada ya muda bila kuwasiliana siku moja (mwaka jana) ghafla nikamkuta njiani.
Alikua kachoka balaaa, halafu ANATAFUTA KAZI..!!!
Dah ikabidi nisimamishe tukituki yangu ya miguu 4 apande kwenda sehemu kuongea.
Alikua kama kachanganyikiwa.
Nikampa lunch then nikampeleka gheto.
Alikaa gheto kama wiki hivi, then akasepa Dar.
Alichonihadithia....
1. Mwaka ule wa field yangu (2012) alioa.
2. Mkewe alimkuta Dav ana nyumba, gari, mashamba na Mali kibaoo.
3. Baada ya ndoa, miaka iliyofata maisha nyumbani yalianza kuwa magumu, kampuni ilikua ya wazungu. Then mkataba uliisha, wazungu wakarudi kwao, Dav akakosa permanent income.
4. Mkewe akachepuka na kuhamia kwa jamaa mpya mazima.
5. Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!
Nikashangaa....
""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""
Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"
Mwana alikua kama kachanganyikiwa.
Tuliongee akasema anaenda Dar kutafuta ajira na anashukia kwa Steve (sio jina lake halisi).
By accident Steve namjua sanaa (classmate).
Then siku ilivyofika nikampeleka stend akapanda ndinga huyoo Dar.
Yote haya yalitokea February/2021.
Leo yaani alifajiri hii napata taarifa kuwa "Davi kafariki kwasababu ya ugonjwa wa akili"
Steve anasema......
1. Dav alikuwa mwana Sana, tulicheza na kukua wotee kitaa
2. Kwasababu tupo field moja ya Kazi then tuliunda kama team ya kusaidiana kimawazo ya fani yenu.
3. Kila jambo, liwe jipya au gumu tunashirikishana.
4. Ila tokea aoe na kuanza matatizo ya ndoa performance ilishuka.
5. Kazi zikaisha
6. Mali zake zikauzwa
7. Alivyofika Dar alikua kama chizi, kutwa kuwataja wanae, mara aropoke majina ya mkewe kwa hasira na vitu kama hivyo.
8. Tarehe 01/08 hali ilikua mbaya hasa, akakimbizwa hospital.
9. Na leo 07/08/2021 Dav KAFARIKI kwasababu ya matatizo ya akili.
Dah....
1. Watoto wawili hawana baba Tena.
2. Kuna wazazi wamepoteza mpendwa wao mtoto wa kiume PEKEE.
3. Kuna sisi tumepoteza role model wa Kazi na rafiki.
4. Tasinia yetu ya science imepoteza MTALAAMU.
5. Tanzania imepungukiwa na GDP
Yoteee haya eti kisa mbunye..!!!
1. We unadhani angeamua kuwa single kama Mimi ANGEKUFA na NDOA?
2. We unadhani angeamua kum-HIT AND RUN huyo mkewe YANGETOKEA HAYA?
3. We unadhani ...........
Alidhani kuoa ni kuzuri KUMBE KUMEMTAFUTIA KIFO MAPEMA AKIWA NA MIAKA 39 tuuu.
Tafuta hela kijana kuoa ni upuuzi kwa dunia ya sasa.
Hawataki penzi lako ila WANATAKA HIZO MALI ZAKO.
They are GOLD DIGGERS, they need kuchimba dhahabu yotee kutoka kwenye huo mgodi wako then wauache empty.
Leo nipo gheto kusikiliza nyimbo alizozipenda Dav tuu...
RIP BROTHER.
""If you think money can't buy happiness, nenda kaulize ajira mpya walimu wiki hii walivyolipwa HELA ZAO KUJIKIMU na Halmashauri zao WALIJISIKIAJE""
View attachment 1883485
View attachment 1883489
Tafuta HELA kijana.
#YNWA
No noo,unakosea mkuu.kumwita wizard mtu ingali hujui anapitia nn.unakosea.But it is okay huenda ulivyoandika ivo moyo wako umepata ahueniShe might be a wizard
They are like this
Usiwe mkabila ni mfuano tu, inamanisha mtanzania yoyote si manishi Wazingua tu.Wewe acha kufananisha wazigua na vitu ya ajabu
Nani kakwambia usipooa lazima upige nyeto , madem wwnyewe wa hit and run wapo kibao tuu ni ww tu na mtonyo wakoKwahiyo mkuu wewe utapiga nyeto all your life...!??
Sasa ndy heshima nzr kwa mtu mzima,T*MBA then SEPA.
It's done.
#YNWA
Relax kamanda, mbona alikunywa mwenyewe afu mi ndo nikamwokoa. Nilimkamulia hadi maziwa yangu ya kifuani
Wajumbeeeeeee...
SIKIA hiiii......
Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mi nilienda ofisini kwao kufanya field.
Kwasababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.
Alikua mchapa kazi balaaa na mtafuta hela hasaaa.
Kitengo kiling'ara kwasababu yake.
Maisha yake binafsi yalikua mazuri huku akimiliki nyumba na gari (simply kijana mwenye chenji zake).
Field ikaisha na Mimi nikasepa.
Ila urafiki uliendeleaa then ukapotea ghafla.
Baada ya muda bila kuwasiliana siku moja (mwaka jana) ghafla nikamkuta njiani.
Alikua kachoka balaaa, halafu ANATAFUTA KAZI..!!!
Dah ikabidi nisimamishe tukituki yangu ya miguu 4 apande kwenda sehemu kuongea.
Alikua kama kachanganyikiwa.
Nikampa lunch then nikampeleka gheto.
Alikaa gheto kama wiki hivi, then akasepa Dar.
Alichonihadithia....
1. Mwaka ule wa field yangu (2012) alioa.
2. Mkewe alimkuta Dav ana nyumba, gari, mashamba na Mali kibaoo.
3. Baada ya ndoa, miaka iliyofata maisha nyumbani yalianza kuwa magumu, kampuni ilikua ya wazungu. Then mkataba uliisha, wazungu wakarudi kwao, Dav akakosa permanent income.
4. Mkewe akachepuka na kuhamia kwa jamaa mpya mazima.
5. Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!
Nikashangaa....
""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""
Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"
Mwana alikua kama kachanganyikiwa.
Tuliongee akasema anaenda Dar kutafuta ajira na anashukia kwa Steve (sio jina lake halisi).
By accident Steve namjua sanaa (classmate).
Then siku ilivyofika nikampeleka stend akapanda ndinga huyoo Dar.
Yote haya yalitokea February/2021.
Leo yaani alifajiri hii napata taarifa kuwa "Davi kafariki kwasababu ya ugonjwa wa akili"
Steve anasema......
1. Dav alikuwa mwana Sana, tulicheza na kukua wotee kitaa
2. Kwasababu tupo field moja ya Kazi then tuliunda kama team ya kusaidiana kimawazo ya fani yenu.
3. Kila jambo, liwe jipya au gumu tunashirikishana.
4. Ila tokea aoe na kuanza matatizo ya ndoa performance ilishuka.
5. Kazi zikaisha
6. Mali zake zikauzwa
7. Alivyofika Dar alikua kama chizi, kutwa kuwataja wanae, mara aropoke majina ya mkewe kwa hasira na vitu kama hivyo.
8. Tarehe 01/08 hali ilikua mbaya hasa, akakimbizwa hospital.
9. Na leo 07/08/2021 Dav KAFARIKI kwasababu ya matatizo ya akili.
Dah....
1. Watoto wawili hawana baba Tena.
2. Kuna wazazi wamepoteza mpendwa wao mtoto wa kiume PEKEE.
3. Kuna sisi tumepoteza role model wa Kazi na rafiki.
4. Tasinia yetu ya science imepoteza MTALAAMU.
5. Tanzania imepungukiwa na GDP
Yoteee haya eti kisa mbunye..!!!
1. We unadhani angeamua kuwa single kama Mimi ANGEKUFA na NDOA?
2. We unadhani angeamua kum-HIT AND RUN huyo mkewe YANGETOKEA HAYA?
3. We unadhani ...........
Alidhani kuoa ni kuzuri KUMBE KUMEMTAFUTIA KIFO MAPEMA AKIWA NA MIAKA 39 tuuu.
Tafuta hela kijana kuoa ni upuuzi kwa dunia ya sasa.
Hawataki penzi lako ila WANATAKA HIZO MALI ZAKO.
They are GOLD DIGGERS, they need kuchimba dhahabu yotee kutoka kwenye huo mgodi wako then wauache empty.
Leo nipo gheto kusikiliza nyimbo alizozipenda Dav tuu...
RIP BROTHER.
""If you think money can't buy happiness, nenda kaulize ajira mpya walimu wiki hii walivyolipwa HELA ZAO KUJIKIMU na Halmashauri zao WALIJISIKIAJE""
View attachment 1883485
View attachment 1883489
Tafuta HELA kijana.
#YNWA
Kosea Kuoa Au Kuolewa Mtaachanaukikosea kuoa inakula kwakoo