Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Yeah sure, huenda kweliWewe ndo ulimsababisha akainywa in the first place
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah sure, huenda kweliWewe ndo ulimsababisha akainywa in the first place
Starting from scratch tena with No job ( income) sio kitu chepesi.Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7.
Yeah sure, huenda kweli
Nagundua pia km una ganzi moyoni.binadamu tunapitia mengi sana mkuu,huenda nilichoandika wengi wanapitia
Kuna mtu kaniuliza nimejibu tayari mkuuMbona kama unalifurahia hili jambo labda utusaidie chanzo kilikuwa ni nini
One day you will feel "something" InshaAllahNo,nishamwambia siwez mwambia tena jambo lolote la kumuumiza,acha awepo tu hata kama i feel nothing
Kati ya watu watakaokufa wanalia mojawapo mimi. Sitaki kupingana na mwenyez Mungu maana naamini ndo njia niliyopangiwa kuipitia hadi siku nazikwaNagundua pia km una ganzi moyoni.
AmenOne day you will feel "something" InshaAllah
Kuto kuoa kwake haimaanishi kwmb yy ni mpiga nyeto. Yy ni HIT AND RUN.Kwahiyo mkuu wewe utapiga nyeto all your life...!??
Wewe Ni Ke au me??
Unapenda Me wauliwe Na Ke?
Kma wewe sio KE basi Mungu alikosea kukuwekea kikojoleo sio chakoIssue hii hakuna ke aliemuua me. Na ndio maana hakuna kesi itakayo funguliwa itakayo mtuhumu Bibi kumuua bwana,ila Me ndio kashindwa kukubali matokeo pia kukosa ushauri ambao ungemfaa. Wanaume inatakiwa tudevelop Emotion Intelligence.
Emotional nmeshakubali kuwa nitaweza loose kitu chochote at anytime, yaweza kuwa mtu ama kitu.
Wanawake wa Leo ni mafisi...kilichompata Dav wanaume wengi sana kinatupata....mali zinachukuliwa , unaachwa kuteseka hatimaye kifoWajumbeeeeeee...
SIKIA hiiii......
Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro.
Kipindi hicho mi nilienda ofisini kwao kufanya field.
Kwasababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana.
Alikua mchapa kazi balaaa na mtafuta hela hasaaa.
Kitengo kiling'ara kwasababu yake.
Maisha yake binafsi yalikua mazuri huku akimiliki nyumba na gari (simply kijana mwenye chenji zake).
Field ikaisha na Mimi nikasepa.
Ila urafiki uliendeleaa then ukapotea ghafla.
Baada ya muda bila kuwasiliana siku moja (mwaka jana) ghafla nikamkuta njiani.
Alikua kachoka balaaa, halafu ANATAFUTA KAZI..!!!
Dah ikabidi nisimamishe tukituki yangu ya miguu 4 apande kwenda sehemu kuongea.
Alikua kama kachanganyikiwa.
Nikampa lunch then nikampeleka gheto.
Alikaa gheto kama wiki hivi, then akasepa Dar.
Alichonihadithia....
1. Mwaka ule wa field yangu (2012) alioa.
2. Mkewe alimkuta Dav ana nyumba, gari, mashamba na Mali kibaoo.
3. Baada ya ndoa, miaka iliyofata maisha nyumbani yalianza kuwa magumu, kampuni ilikua ya wazungu. Then mkataba uliisha, wazungu wakarudi kwao, Dav akakosa permanent income.
4. Mkewe akachepuka na kuhamia kwa jamaa mpya mazima.
5. Mkewe alipeleka kesi mahakamani kuomba talaka.
6. Huko nako Dav alichosikia, mkewe alitembeza mbunye na pesa mpaka talaka ikatolewa.
7. Ilibidi gari na mashamba yauzwe iliwagawane na ndoa ivunjwe..!!!
Nikashangaa....
""Mbona hizi Mali ulizipata kabla ya ndoa??""
Alinijibu "hata sijui nini kilifanyika, na vile kuokoa watoto wangu (wawili) ilibidi nikubali liuzwe gari na mashamba ndio tugawane halafu nyumba abaki nayo akae na watoto"
Mwana alikua kama kachanganyikiwa.
Tuliongee akasema anaenda Dar kutafuta ajira na anashukia kwa Steve (sio jina lake halisi).
By accident Steve namjua sanaa (classmate).
Then siku ilivyofika nikampeleka stend akapanda ndinga huyoo Dar.
Yote haya yalitokea February/2021.
Leo yaani alifajiri hii napata taarifa kuwa "Davi kafariki kwasababu ya ugonjwa wa akili"
Steve anasema......
1. Dav alikuwa mwana Sana, tulicheza na kukua wotee kitaa
2. Kwasababu tupo field moja ya Kazi then tuliunda kama team ya kusaidiana kimawazo ya fani yenu.
3. Kila jambo, liwe jipya au gumu tunashirikishana.
4. Ila tokea aoe na kuanza matatizo ya ndoa performance ilishuka.
5. Kazi zikaisha
6. Mali zake zikauzwa
7. Alivyofika Dar alikua kama chizi, kutwa kuwataja wanae, mara aropoke majina ya mkewe kwa hasira na vitu kama hivyo.
8. Tarehe 01/08 hali ilikua mbaya hasa, akakimbizwa hospital.
9. Na leo 07/08/2021 Dav KAFARIKI kwasababu ya matatizo ya akili.
Dah....
1. Watoto wawili hawana baba Tena.
2. Kuna wazazi wamepoteza mpendwa wao mtoto wa kiume PEKEE.
3. Kuna sisi tumepoteza role model wa Kazi na rafiki.
4. Tasinia yetu ya science imepoteza MTALAAMU.
5. Tanzania imepungukiwa na GDP
Yoteee haya eti kisa mbunye..!!!
1. We unadhani angeamua kuwa single kama Mimi ANGEKUFA na NDOA?
2. We unadhani angeamua kum-HIT AND RUN huyo mkewe YANGETOKEA HAYA?
3. We unadhani ...........
Alidhani kuoa ni kuzuri KUMBE KUMEMTAFUTIA KIFO MAPEMA AKIWA NA MIAKA 39 tuuu.
Tafuta hela kijana kuoa ni upuuzi kwa dunia ya sasa.
Hawataki penzi lako ila WANATAKA HIZO MALI ZAKO.
They are GOLD DIGGERS, they need kuchimba dhahabu yotee kutoka kwenye huo mgodi wako then wauache empty.
Leo nipo gheto kusikiliza nyimbo alizozipenda Dav tuu...
RIP BROTHER.
""If you think money can't buy happiness, nenda kaulize ajira mpya walimu wiki hii walivyolipwa HELA ZAO KUJIKIMU na Halmashauri zao WALIJISIKIAJE""
View attachment 1883485
View attachment 1883489
Tafuta HELA kijana.
#YNWA
Wale wakununua mbuzi kwenye gunia chukueni hiiAlikataa game before marriage,so after marriage nikajua kwann alikuwa ananigomea penz
Ushampiga kibuti MR? DUUUUH mali mligawana??Na wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez
Alikataa game before marriage,so after marriage nikajua kwann alikuwa ananigomea penz
Pamoja na kusoma huuu uzi bado msimamo wangu wa kuoa upo pale pale kila mtu apambane na mwanamke wake!!!Wajumbeeeeeee...