Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

👍
 
R.I.P Dave......Mapitio uliyoyapita Ni magumu mno.
Hauna kazi....
Mke asiye mwaminifu
Mke asiyejali na asiye na upendo!
Mke asiyejiheshimu...

Zaidi unafikiria watoto uliowapenda wakiwa hawana uhakika na maisha yao ya kesho chini ya Mama mdangaji........to painful.

rip mwamba.
 
Hivi huyu mwana mke wakunifanya nijue sija muona hapa Tz hawa hawa wa kwetu hapa, I bet hapa tz no woman can beat my "emotional intelligence" may be nje ya nchi hi.
 
Pamoja na kusoma huuu uzi bado msimamo wangu wa kuoa upo pale pale kila mtu apambane na mwanamke wake!!!
Ulishaambiwa, wanawake ni viumbe dhaifu Ila ishi nao Kwa akili.

Tafakari hili Kwa kina badala la kuilaumu ndoa.

Kila mtu atakufa hatuwezi kukwepa wajibu wa kuoa.me nitaoa lazima tu then naendelea na maisha sidhani Kama nitafikia level ya dav

Ndoa tamu wewe, yakitokea ya kutokea unamshukuru Mungu unaendelea mbele

Mkuu kuoa ni lazima vinginevyo utakuwa mtu mzima hovyooo..


Kuwa na family hakukwepeki mkuu.

Ipo siku Tutasoma story za maisha yenu magumu mtakayopitia kwenye hizo NDOA ZENU.

Mi niwatakie tu MATESO YALIYOPUNGUA MAKALI.

Kuingia kwenye ndoa ni kuingia kwenye mateso MAKUU.

Niwatakie VIFO VYA KUJITAKIA VYEMA.

#RIP TZ CITIZEN IN ADVANCE.

#YNWA
 
Mkuu

Kwa heshima na taadhima ujue kabisa utakufa na utaiacha ndoa inasonga mbele.

Ama nasema uongo ndugu zangu?
 
Alijikuta mahaba Niue, akabadilisha documents zotee sababu ya mbunye tu so called NDOA.

Angekua kauzu kama Mimi muda huu angekua kwenye gari yake anaenda kula bata mjini.

F*ck so called NDOA.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…