Na wangu alitaka kujiua kwa bahati nzuri maziwa na majirani walikuwa karibu.Nilimchana live,usilete nuksi mjini,ufe kwa ajili yangu,mimi nisiyenduguyo,huwez fikiria tabu alizopata mother wako mpaka umefika hapa?
Huwez waza maumivu atakayopata mama ako ukifa? Embu itazame sura yangu vizuri je hujutii kutaka kujiua sababu yangu ambaye siingii hata mara moja kwa warembo utakaowaacha duniani na wenye kiu kweli ya ndoa?
NAONA ALINIELEWA MAANA NAONA HATA KUPIGAPIGA SIMU KUWAJULIA HALI WATOTO KAPUNGUZA.Ndo nitajua sijui safari hii,sijui nilianzajeanzaje kumsanua...nadhani kabla ya kumchana alikuwa ananiona mimi tu dunian sasa sijui huko anafanyaje eti?