Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

Billgate katoswa uzeeni.Bas tu ni changamoto za hapa na pale
Bill gates alimshirikisha wife wake kwenye miradi yote na alichangia kweli kweli ndoa za wa zungu ni "bussiness oriented" wana changiana kweli kweli ila za kwetu ni "sex oriented" eti nioe Mlugulu wakutoka Moro amekulia milimani aanze kunitisha hata kuandika bussiness plan ajui wala aja wahi kuisikia eti anishide my emotional intelligences. Hapa hapana sio mimi.
 

Kama kuna mtu anaweza kukaa bila mke na akawa na Amani na nidhamu, na asiwe muhuni, namshauri asioe ! Wan awake ni shida sana!

ILA nakuambia wanaume at some stage hasa wakipita 40 kama hawajaoa, Wataoa tu, na most of them ndoa za huwa ngumu maana wamechelewa!

Hata wewe utakuja kuoa tu, take my words, kuoa is a nature call, at some stage kila Mwanadamu anaitaji huo utimilivu na inakuwa changamoto kama ujajipanga!

Cha muhimu tuombe Mungu, tusikilize watu waliotutangulia ili tuoe watu sahihi, nje hapo we know the obvious, maisha yanaweza kuwa magumu sana!
 
Wewe acha kufananisha wazigua na vitu ya ajabu
 
I swear to God hela niliyoitafuta mwenyewe haigawi tutarogana mpaka kuchr haki vile..
 
Kwahiyo mkuu wewe utapiga nyeto all your life...!??
Nani kakwambia usipooa lazima upige nyeto , madem wwnyewe wa hit and run wapo kibao tuu ni ww tu na mtonyo wako
 
Relax kamanda, mbona alikunywa mwenyewe afu mi ndo nikamwokoa. Nilimkamulia hadi maziwa yangu ya kifuani

Comments zako naona kama unafeel kama proud vile kwa lilitokea!!

Wale vijana wa kusoma seminary na wakirudi likizo wanafungiwa ndani, ndiyo mnaowafanyia hivyo!!

Ukutane na mijitu imeanza kunyanduana kindergarten, imetafuta yenyewe mpaka kufanikiwa, utatia akili!!
 

Huwa comment yangu kubwa ni:

Kuna wanawake wa kuoa, si kila mwanamke anafaa kuwa mke!! Kuna wanawake pita nao katika ujana, ukiamua kuoa shirikisha watu kitafuta mke hakuna ujuzi!! Jamii inayokuzunguka na jamii inayomzunguka mwanamke inaweza kukupa msaada mkubwa!!

Kuna jamaa aliwahi kunijibu, "mwanamke akiwa na tako mi naoa, mengine tutavumiliana!"

Kila la heri vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…