Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

It seems you have somesalt of mental health problem
Hapo nilipo bold nadhani umemaanisha some sort. Ama sivyo professor?
Elimu-dunia ni muhimu Sana ktk dunia ya leo
Na hiyo elimu-dunia mmeisoma nyinyi peke yenu sio?
Hata huyo Bakhressa uliyemtaja, biashara zake kwa sasa zinaendeshwa na kusimamiwa na watu wenye Elimu-dunia ya viwango vya juu, wala haziendeshwi na watu wenye Elimu ya madrasa tu
Na wanaosimamia ni nyinyi peke yenu, hakuna watoto wa madrasa kwa sababu watoto wa madrasa wote hatujasoma "Elimu-dunia" sio?
Aidha, hata huyo Bakhressa ana Elimu ya Darasa la nne, na Elimu hiyo ya Darasa la nne siyo Elimu ya madrasa Bali ni Elimu-dunia.

Sasa mbona mnawasakama kuwa hawapendi "Elimu-dunia"? Au mnataka wawe maprofesa kama nyinyi wote mlivyo maprofesa kisha mkafanikiwa wote magenius nyinyi?
 
Hizo "elimu zinazoeleweka" zimewasaidia nini nyinyi? Someni mje kuomba ajira kwa watoto wa madrasa, halafu mkikosa muwalaumu kwa "udini".
huo utakuwa utumwa, nisome halafu nikaombe kazi kwa mmadrasa? Kama yeye amefanikiwa na hana elimu ya kueleweka why mimi mwenye elimu inayoeleweka nisifanikiwe? Kwanza huwa sipendi kuomba ajira kwa wamadrasa, hata wao watahitaji huduma zangu, kwa hiyo wataleta hela kwangu licha ya kuwa ni matajiri
 
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni kawaida sana , formal schooling is not their priority! Badilikeni!

My take: Wapelekeni shule watoto. pamoja na "chuo" na formal schooling ni muhimu.
Watoto kupelekwa shule ni muhimu kweli ila kupewa elimu ya dini yao ni muhimu zaidi. Hapa simaanishi mzazi achague moja na aache jengine ila napingana na wewe kwa namna unavyotaka kudogosha elimu ya madrasa. Elimu sahihi ya shule inamuandaa mtoto kupambana na mazingira yake kama individual pamoja na kuchangia katika upana zaidi kwenye ujenzi wa jamii yake na taifa kiujumla, hili ni la msingi sana kwa kuwa Allah huleta rizki kupitia shughuli za mwanadamu (Asbaab). Hivyo ni muhimu katika dunia yetu ya sayansi na teknologia watoto kuandaliwa katika kwenda sambamba na shughuli za kidunia, kama ambavyo watu wa zamani walifunza watoto wao kufuga, kulima, na kufanya biashara kulingana na shughuli za jamii zao za wakati huo.

On the other side, elimu ya dini ni muhimu katika kumtengeneza mtoto kuwa na tabia njema kiujumla, lakini kubwa zaidi inamuandaa mtoto kuishi kulingana na vp muumba wake anataka aishi hapa duniani kwa maslahi yake ya hapa duniani na baada kufa kwake.

Sasa kama wewe unaamini katika life after death na kwamba Uislamu upo kweye right guidance, then swali ni je ipi katika elimu hizi mbili ina maslahi mapana na ya muda mrefu zaidi kwa mtoto?
 
Mtoa mada kaongea kimihemko bila kuangalia uhalisia.WADIGO WAMEANZA KUSOMA KITAMBO SANA KULIKO KABILA LAKO NI VILE TU NYERERE ALISET MIFUMO H MUWE WENGI HAPO KWENYE SERIKALI KWA KUPIGIANA MAPANDE YA UNDUGU UDINI NA UKANDA.!

ÀLAFU WADIGO NDIO WENYE AKILI ZA KUFIKIRIA MBALI KULIKO MAKABILA YOTE TZ KWA UJUMLA WAKE KAMA SIJAKOSEA.! KWANZA WADIGO WALISHASTUKA KITAMBO KAMA DUNIA NI YA KUPITA NA AKHERA NI YENYE KUBAKI MILELE KWA HIYO HATA UKICHUMA MALI KIASI GANI HATA UKIIBA KIASI GANI UTAZEEKA UTAZIACHA TU UTAKUFA.

KKUFUPI WADIGO SIO MALIMBUKENI YA MALI KAMA MTOA MADA UNAESEMA WATU WASOME WASIJE KUSEMA WANABAGULIWA KWENYE AJIRA ! UBAGUZI UTABAKI PALE PALE KWA SABABU WENZETU DUNIA NDIO KIPAUMBELE CHAO KWAHIYO LAZIMA WAIPAPATIKIE KWA PUPA.

ELIMU YA AKHERA NDIO ELIMU MAMA YA UTAMBUZI HUWEZI KUFANANISHA CIVICS AU KISWAHILI NA ELIMU AKHERA MZEEE
 
Hajakataa, ila anasisitiza kwamba elimu dunia nayo ina umuhimu kama hio elimu akhera (madrasa).
Wewe je parle, kabla ya kuandika comment yako hii ulijaribu kusoma kwanza comment za watu wengine waliochangia kabla au umekurupuka tu na kujibu?
 
Tanga tangu zamani Kuna UNIVERSITY mbili ZahRau na kingine maeneo ya Gatundu. Product hatujaziona maana Kama Ni masuala ya kukiuka maadili ya kitanzania wadigo ndio wanaongoza.
Madawa ya kulevya Ni wao
Umalaya
Usenge n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa unawashangaa wadigo hao wana act tu nenda zanzibar ukajionee kule madrassa na bahari (uvuvi )hayo ndio maisha waliyachagua asilimia 90 ya vijana wa kizanzibar ni vilaza wa elimu Dunia site (ujenzi)nyingi ma engineer na boss kwenye mahotel ni wa bara
 
Wakiwa wakubwa watalalamika hawapewi nafasi serikalini
Nani amwache professor na mbobevu amuchua mtu wa madrasa
Bahati mbaya kwa Tz huwezi kuwatofautisha profesa mfano Tulia na Tale, wote hovyo!
 
huo utakuwa utumwa, nisome halafu nikaombe kazi kwa mmadrasa? Kama yeye amefanikiwa na hana elimu ya kueleweka why mimi mwenye elimu inayoeleweka nisifanikiwe? Kwanza huwa sipendi kuomba ajira kwa wamadrasa, hata wao watahitaji huduma zangu, kwa hiyo wataleta hela kwangu licha ya kuwa ni matajiri
Haya kaa kwa kutulia na uache kiherehere
 
Mtoa mada kaongea kimihemko bila kuangalia uhalisia.WADIGO WAMEANZA KUSOMA KITAMBO SANA KULIKO KABILA LAKO NI VILE TU NYERERE ALISET MIFUMO H MUWE WENGI HAPO KWENYE SERIKALI KWA KUPIGIANA MAPANDE YA UNDUGU UDINI NA UKANDA.!

ÀLAFU WADIGO NDIO WENYE AKILI ZA KUFIKIRIA MBALI KULIKO MAKABILA YOTE TZ KWA UJUMLA WAKE KAMA SIJAKOSEA.! KWANZA WADIGO WALISHASTUKA KITAMBO KAMA DUNIA NI YA KUPITA NA AKHERA NI YENYE KUBAKI MILELE KWA HIYO HATA UKICHUMA MALI KIASI GANI HATA UKIIBA KIASI GANI UTAZEEKA UTAZIACHA TU UTAKUFA.

KKUFUPI WADIGO SIO MALIMBUKENI YA MALI KAMA MTOA MADA UNAESEMA WATU WASOME WASIJE KUSEMA WANABAGULIWA KWENYE AJIRA ! UBAGUZI UTABAKI PALE PALE KWA SABABU WENZETU DUNIA NDIO KIPAUMBELE CHAO KWAHIYO LAZIMA WAIPAPATIKIE KWA PUPA.

ELIMU YA AKHERA NDIO ELIMU MAMA YA UTAMBUZI HUWEZI KUFANANISHA CIVICS AU KISWAHILI NA ELIMU AKHERA MZEEE
Nimeishi na wadigo nakuunga mkono 100% , kama ingekuwa kuna kubadili makabila ningekuwa mdigo ...Advance wamesunbua sana wana akili halafu sio wajivuni , kweny vipaji ndio usiseme haswa mashairi.
 
Back
Top Bottom