Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
riziki sio ridhikiUkiona ndugu wanakuja kwako Jua mda ukifika wa mkate/ Ridhiki yetu ya Kila siku ujue inapatikana.
Ndugu aendi Sehemu ambazo atakaa na Njaa.
riziki sio ridhikiUkiona ndugu wanakuja kwako Jua mda ukifika wa mkate/ Ridhiki yetu ya Kila siku ujue inapatikana.
Ndugu aendi Sehemu ambazo atakaa na Njaa.
😄😄😄Ukitaka wakimbie wakuache na familia yako we nunua shamba kubwa kila wakiamka asubuhi waende shambani, ila ukiweka king'amuzi cha Azam Tv asubuhi wanakunywa chai na mkate jioni wali samaki alafu umeoa msambaa
jiandae kujaza ndugu wa mke wako nyumbani , ukirudi jioni malapa yamejaa mlangoni kama msikitini
Endelea kukaribisha ... utakuja kunikumbuka siku mojaHuu umasikin Mkuu
Kazi ya kukulipia ada ilikuwa ni ya Baba yako,ulitakiwa kushukuru angalau alikupa elfu30 kuishi na kula kwake ni msaada tosha.
Sijui niambie weweNuclear maana yake nini?
Au unashaurije😊We jamaa wewe😅😅😅
Kuwa na amani kaka yanguSorry dadangu
Nitakuja mpendwa wangu, niombee!Nakuomba uje nyumbani mdogo wangu
Hujanielewa😂Nitakuja mpendwa wangu, niombee!
Nyumbani wapi jamani😂😂 looh😁Hujanielewa😂
Ni mpaka pale ambapo, kila mtu atakuwa na mtazamo huo, kuwajibika na maisha yake, ndio hakutakuwa na kubebeshana majukumu. Ila jamii yetu bado uzembe uko kila sekta, sembuse katika familia? Mtu anaoa, kuolewa na kuzaa, kwa kufuata mkumbo, hajipangi wala kujiandaa na kujitoa kwa maisha hayo. Matokeo yake ni hali kiuchumi na kimahusiano kuwa mabaya na kupeleka wengine kubeba wajibu wao.Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.
Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,
Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg yao mwenye maisha ya uhakika wa mkate au kumbebesha majukumu ya watoto wao
Wapige mimba wataondoka tu.Ukitaka wakimbie wakuache na familia yako we nunua shamba kubwa kila wakiamka asubuhi waende shambani, ila ukiweka king'amuzi cha Azam Tv asubuhi wanakunywa chai na mkate jioni wali samaki alafu umeoa msambaa
jiandae kujaza ndugu wa mke wako nyumbani , ukirudi jioni malapa yamejaa mlangoni kama msikitini
Ni aibu sana unakuta mtu anazaa watoto anashindwa kuwahudumia anawasukumia kwa ndugu unakuta huyo mtu hana changamoto yeyote ya kiafya ni uzembe tuNi mpaka pale ambapo, kila mtu atakuwa na mtazamo huo, kuwajibika na maisha yake, ndio hakutakuwa na kubebeshana majukumu. Ila jamii yetu bado uzembe uko kila sekta, sembuse katika familia? Mtu anaoa, kuolewa na kuzaa, kwa kufuata mkumbo, hajipangi wala kujiandaa na kujitoa kwa maisha hayo. Matokeo yake ni hali kiuchumi na kimahusiano kuwa mabaya na kupeleka wengine kubeba wajibu wao.
Ukoo utakuwekea kikaoWapige mimba wataondoka tu.