Raha ya familia ni kuishi Nuclear family sio kujaza watu

Waafrica sisi ustaarabu ni sifuri, hatuna na hatujui ustaarabu kabisa kiasi kwamba kuishi kwa watu unaenda tu kuwa kero.

Kwa nlivyowahi kushuhudia familia yenye mchanganyiko wa watu kibao ndani yake kunakuaga na tabia za kipuuzi nyingi sana ikiwemo kupandana pandana kama mambuzi

Kuvizia hausi gelo, naogopa kuviziwa watoto wangu, sipendi misongamano na watu njoo salimia siku mbili nenda kwenu.

Ndugu wengi ni wapuuzi sana zingatia neno wapuuzi
 
Haujakosea
 
Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.

Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,

Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg yao mwenye maisha ya uhakika wa mkate au kumbebesha majukumu ya watoto wao
Wasambaa...
 
Umenichekesha sana😁😁aisee hapo utakuwa umewapatia mno

Mimi pia nakumbuka niliwahi kukaa kwa mama angu mkubwa ikatokea akauza hapo nyumba anayokaa kama millioni 30 na upuuzi na mimi ndiyo nilikuwa nimemaliza shule sasa natakiwa kwenda chuo, mzee hana hela wakati huo, nikajua mamkubwa angejiongeza anilipie holaa kaenda kujenga huko morogoro ndani ndani shughuli ya maana unayoweza kufanya huko ni kilimo tu.
Aisee niliambulia tu elf30 ila nikajisemea zangu tu ipo siku tutakutana sisi ni pipo.
Mungu si Athumani nikapata kibarua changu kule watoto wake wakaanza kurudi mjini maisha ya kijijini hawayawezi. Mara naanza kusumbuliwa na watoto wake mara nikopeshe elf30 mara nikopeshe elf50. Mimi nawaambia tu sina mpaka leo hii kila mtu na maisha yake walitumia pesa zimeisha wapo tu wanataabika na mji na mimi sitaki mazoea aisee, ubaya ubwela.
Kazi ya kukulipia ada ilikuwa ni ya Baba yako,ulitakiwa kushukuru angalau alikupa elfu30 kuishi na kula kwake ni msaada tosha.
 
Kama anakuja kukaa tu hapana, ila kama ana sababu maalum inayomleta sawa.
Hiyo mimi nilishakataa na msimamo wangu umekuwa wazi. Kuwe na specific issue ya muda mfupi. Ugonjwa(hospitali ipo mkoani kwangu), wanafunzi wamekuja tuition, upo safari. Ila kuweka kambi hapana. Kama ni msaada nitakusaidia huko huko ulipo
 
Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.

Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,

Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg yao mwenye maisha ya uhakika wa mkate au kumbebesha majukumu ya watoto wao
Huu umasikin Mkuu
 
Ukitaka wakimbie wakuache na familia yako we nunua shamba kubwa kila wakiamka asubuhi waende shambani, ila ukiweka king'amuzi cha Azam Tv asubuhi wanakunywa chai na mkate jioni wali samaki alafu umeoa msambaa

jiandae kujaza ndugu wa mke wako nyumbani , ukirudi jioni malapa yamejaa mlangoni kama msikitini
😂😂 Mbona wasambaa
 
We jamaa wewe😅😅😅
 
Back
Top Bottom