Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #21
Pamoja sana unajitambuqKwakweli Bora nuclear Kila mtu na life lake tusipangiane💔
Pamoja sana unajitambuqKwakweli Bora nuclear Kila mtu na life lake tusipangiane💔
Bado haujitambuiUbinafsi.
Wanaokuja kusalimia na kuondokaHakika imejaa baraka tele nyumba yoyote isiyokauka wageni
Kwakweli ni shida kubwa ... unakuta ndg wanakusukumizia mizigo yakulea watoto wao wakati wao wapo hai kinachowashinda ni niniKwa kweli kibongobongo sio mchezo, utahudumia, utalea, utapeleka shule na kama una mazingira ya kuridhisha hapo nyumbani(nyumba kubwa, mahitaji yote yapo), utakaribisha watu kila siku.
Usipokuwa makini hutafanga yako. Utegemezi Afrika ni mkubwa sana, only 15% ndio wazalishaji, 85% ni tegemezi...takwimu mbaya sana.
Daah, Mzee wangu alikuwa akisikia tunaenda likizo kwa ndugu alikuwa anasema kakae japo wiki moja tu then urudi nyumbani, inatosha sana kuwajulia Hali kwa wiki moja tu.Kwa kweli kibongobongo sio mchezo, utahudumia, utalea, utapeleka shule na kama una mazingira ya kuridhisha hapo nyumbani(nyumba kubwa, mahitaji yote yapo), utakaribisha watu kila siku.
Usipokuwa makini hutafanga yako. Utegemezi Afrika ni mkubwa sana, only 15% ndio wazalishaji, 85% ni tegemezi...takwimu mbaya sana.
Mzee wako alikuwa anajitambuaDaah, Mzee wangu alikuwa akisikia tunaenda likizo kwa ndugu alikuwa anasema kakae japo wiki moja tu then urudi nyumbani, inatosha sana kuwajulia Hali kwa wiki moja tu.
Acha tu mkuu, ukikaza unaambiwa roho mbaya.Kwakweli ni shida kubwa ... unakuta ndg wanakusukumizia mizigo yakulea watoto wao wakati wao wapo hai kinachowashinda ni nini
Sasa hivi wazungu wanateua waziri wa upweke na msongo wa mawazoRaha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.
Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,
Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg yao mwenye maisha ya uhakika wa mkate au kumbebesha majukumu ya watoto wao
nimechekaaa sanaaaaa mkuuuu ,lkn mkuu sio wote wanaojazana hawajiweziii mkuuuRaha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.
Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,
Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg yao mwenye maisha ya uhakika wa mkate au kumbebesha majukumu ya watoto wao
Single parent family ni bora zaidi😁😁Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.
Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,
Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg yao mwenye maisha ya uhakika wa mkate au kumbebesha majukumu ya watoto wao
Hawaelewi ndoa nyingi zimevunjika chanzo kikiwq ni ndgAcha tu mkuu, ukikaza unaambiwa roho mbaya.
Halafu najiulizaga sijui kwanini kibongobongo ndugu wenye moyo wa kusaidia na kukaa karibu na ndugu wengine wanakuaga na kipato cha kawaida tu kama si kidogoNdugu mwenye uwezo huku Bongo ukienda kwake kukaa hata wiki utaonyeshwa vituko hadi utaondoka mwenyewe, sasa sijui ndugu gani unaowaongelea wewe
Ahahahha ndgu wa hovyoUkiona ndugu wanakuja kwako Jua mda ukifika wa mkate/ Ridhiki yetu ya Kila siku ujue inapatikana.
Ndugu aendi Sehemu ambazo atakaa na Njaa.
Tafakiri hapo...Halafu najiulizaga sijui kwanini kibongobongo ndugu wenye moyo wa kusaidia na kukaa karibu na ndugu wengine wanakuaga na kipato cha kawaida tu kama si kidogo
Wale ndugu wanaoonekana wabinafsi na hawataki kukaa karibu na ndugu wengine, ndo wanakuaga na kipato kikubwa Binti Sayuni03
Vipi kuhusu wahundi wanaokaa ukoo nzima hekalu moja, na wanaona mabinamu ili mali zisiende nje?Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.
Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,
Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg yao mwenye maisha ya uhakika wa mkate au kumbebesha majukumu ya watoto wao
Hawataki unafki si unajua wabongo tena ukiwa unahaso wanakufungia vioo, ukifanikiwa kila ndugu atakukimbilia ndiyo na wao sasa wanaamua kulipiza muda huo.Halafu najiulizaga sijui kwanini kibongobongo ndugu wenye moyo wa kusaidia na kukaa karibu na ndugu wengine wanakuaga na kipato cha kawaida tu kama si kidogo
Wale ndugu wanaoonekana wabinafsi na hawataki kukaa karibu na ndugu wengine, ndo wanakuaga na kipato kikubwa Binti Sayuni03
Ila kusema ukweli mimi naona kila mtu abaki nyumbani kwake tu huu upumbavu wa kueundikana kwa ndugu hapana kwakweli ndiyo mwisho wa siku watoto wa ndugu wanaanza kuwafanyia watoto wako tabia mbaya, Dunia imeharibika hiiHawataki unafki si unajua wabongo tena ukiwa unahaso wanakufungia vioo, ukifanikiwa kila ndugu atakukimbilia ndiyo na wao sasa wanaamua kulipiza muda huo.
Ila kusema ukweli mimi naona kila mtu abaki nyumbani kwake tu huu upumbavu wa kueundikana kwa ndugu hapana kwakweli ndiyo mwisho wa siku watoto wa ndugu wanaanza kuwafanyia watoto wako tabia mbaya, Dunia imeharibika hii