Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Jitahidi sana watoto wako Uwafundishe Tabia njema kabla Dunia haijaamua kuwafundishaRaha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako.
Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake ,
Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi
Kwa ndg yao mwenye maisha ya uhakika wa mkate au kumbebesha majukumu ya watoto wao
Ugeni kwenye nyumba ni jambo ukiliona inabidi ulifurahie ndugu sio kulichukia ukiona mtu anakuja kwako na kula au kulala siku kdhaa usimfukuze ndo Baraka zenyewe hizo
Huwezi jua wakati mgeni anakuja kwako na kutaka kukaa wakati wewe unataka kutoka wakati labda ungetoka TU nje ungepata ajali lakini Mungu anakuepusha kwa kukuletea mgeni.
Wapende sana wageni wako wala usiwachukie hujio wao kwako.