Hehehe haswaaGenge la Kijani Mudawote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe haswaaGenge la Kijani Mudawote
2020 oktoba ulisema hayo?Maombi yangu ni kuwa msianze kuchinjana baada ya matokeo kutangazwa. Uhai wa mwanadamu una thamani machoni pa Mungu. Mungu awasaidie mmalize kwa amani.
Kwani sisi huwa tunachinjana kila baada ya uchaguzi?2020 oktoba ulisema hayo?
2020 oktoba zanzibar na baraKwani sisi huwa tunachinjana kila baada ya uchaguzi?
Isolated events, siyo mass murder kama za kenya 🇰🇪.2020 oktoba zanzibar na bara
Huku NEC inajua mshindi wa 2025 ni nani inasubiri tu kumtangazaKuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,
Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha wamenyane kidume apatikane kwenye sanduku la kura.
Sijasikia vitisho vya ajabu ajabu. Ruto alianza kufanya mikutano yake nchi nzima mwaka Jana. Na Sasa Jumanne kura zitapigwa, hakuna mwenye uhakika na ushindi, wote wanapresha.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya bwana chebukati anasubiriwa amtangaze hakuna ajuaye mshindi atakuwa nani.
Tubadilike
Akina Saanane na Azory wako wapi.Kwani sisi huwa tunachinjana kila baada ya uchaguzi?
Una uhakika Kenya Wana tume huru ya uchaguzi?🤔Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,
Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha wamenyane kidume apatikane kwenye sanduku la kura.
Sijasikia vitisho vya ajabu ajabu. Ruto alianza kufanya mikutano yake nchi nzima mwaka Jana. Na Sasa Jumanne kura zitapigwa, hakuna mwenye uhakika na ushindi, wote wanapresha.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya bwana chebukati anasubiriwa amtangaze hakuna ajuaye mshindi atakuwa nani.
Tubadilike
Mass mada kule zanzibarIsolated events, siyo mass murder kama za kenya 🇰🇪.
Uchaguzi wa mwaka gani huo?Akina Saanane na Azory wako wapi.
2015.Uchaguzi wa mwaka gani huo?
Kwa hiyo Tanzania ndiyo ina tume huru ya uchaguzi..! 🤣 🤣 🤣Una uhakika Kenya Wana tume huru ya uchaguzi?🤔
Kwani Tanzania kuna uchaguzi. Uliona wapi chama kinachoshiriki kwenye uchaguzi eti ndicho kina andaa na kusimamia utaratibu wote katika huo uchaguzi halafu eti unakuta RPC ana orodha ya watakaoshinda ubunge/udiwani kwenye mkoa hata kabla ya tarehe ya uchaguzi.Kwani sisi huwa tunachinjana kila baada ya uchaguzi?
Kama hatuna uchaguzi basi hoja yako inakosa mashiko. Inabidi uanzishe hoja ya kutaka tuanze kufanya uchaguzi kwanza, then yatokanayo na huo uchagzi ndo yatafuata.Kwani Tanzania kuna uchaguzi. Uliona wapi chama kinachoshiriki kwenye uchaguzi eti ndicho kina andaa na kusimamia utaratibu wote katika huo uchaguzi halafu eti unakuta RPC ana orodha ya watakaoshinda ubunge/udiwani kwenye mkoa hata kabla ya tarehe ya uchaguzi.
Tanzania inapofika kwenye maswala ya uchaguzi muwe na aibu na mkae kimya kabisa kwani kwenye nchi yenu waga hamna uchaguzi ni uhuni tu mnafanya. Bure kabisa.
Naona unaburudisha genge tu!2015.
mkuu kwa hapa bongo kama samia akionyesha upande wake kwa wagombea ni kibega tayari na kelele mngetoa sana,ila ni kenya na kusifu mnasifu.Kumbuka akiwa madarakani uchaguzi uliopita ilibidi urudiwe .tume ya uchaguzi Kenya ilimtoa jasho uhuru alishindwa Cha kuwafanya