Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

Acha kuzaa zaa ovyo kama panya, yaani watoto wanne kwa wanawake wanne tofauti !!!
Wakuu habari,

Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida.

Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani.

Kwa sasa wao wana mahusiano mengine, lakini kutokana na watoto niliozaa nao imekuwa njia ya kutuweka karibu, na wakati mwingine wanalazimisha tukutane kwa gia ya mtoto amenikumbuka.

Nami najivunia kuzaa na hawa pisi kali, lasivyo nyakati hizi wangenikimbia kama nisingeliweka alama ya kuzaa nao watoto.

Nashauri kwa wanaume wanaotoka na pisi kali, msiishie kuwahonga tu; hakikisheni mnaweka alama za watoto.

Ata kama ulihonga gari, nyumba, cheo n.k yule mtoto atakuwa anakupunguzia machungu iwapo mama yake atakengeuka, kwa sababu mahusiano hayatabiriki.​
 
Unaweza kukuta huyu nae ni graduate, ndio hapo Mimi huwa nashangaa hii elimu ya Tanzania. Sasa huyu aliwezaje kutoboa? Hivi elimu yetu haiwezi kuchuja idiots na intellectuals?
Yaani unakuta Tu tumechanganyikana magreat thinkers na mastupids huwezi jua who is learned and who is not.😁😁
 
Ukutwe unawaponda single mother sasa, kam vile wewe sio single father.
 
Picha
 
Ni kweli kabisa... unapopata chance ya kuwa na pisi kali, kama yupo salama kiafya bora kumtundika mtoto chap.
 
Sina huo muda, nita google kuangalia chess match ya Magnus carlsen vs hikaru nakamura.
Uwezo wa Magnus Carlsen kwenye chess, mfano ukiubadilisha uwe uwezo wa mtu kwenye draft la kibongo, hawa akina Ronaldo, Sisco, nduli, noel, unawapa mikataba ya kuwaambia laki 3 Iko mezani, wao waweke elf 50, 50, mechi 24 oj na tege wapate sare 24, na huo mkataba utawashinda Intelligent businessman
 
Magnus carlsen ni namba chafu, hikaru, arijusi, nipo,

Hawa kina gukesh, prag, Hans wana mawenge japo wana jua.

Kuna Ile ili itwa boby Fischer, anand, kalipov huyu ali suluhu na Magnus kipindi chalii akiwa under 14
 
Unaweza kukuta huyu nae ni graduate, ndio hapo Mimi huwa nashangaa hii elimu ya Tanzania. Sasa huyu aliwezaje kutoboa? Hivi elimu yetu haiwezi kuchuja idiots na intellectuals?
Yaani unakuta Tu tumechanganyikana magreat thinkers na mastupids huwezi jua who is learned and who is not.😁😁
Elimu ya mkoloni haimfanyi mwafrika kujitegemea, ndio maana mpaka leo hatuwezi kutengeneza sindano rungu, kuchimba mafuta n.k
 
Ni sahihi!!
Jambo pekee mwananmme atajivunia ni watoto aliozaa Wala sio majumba,Mali,uaminifu kwenye ndoa n.k

Uzao ndio kila kitu!!

Wanaoponda ni zao la feminist kwenye akili zao!!

Kwasasa uzao ndio jambo la msingi!kuhusu hatma ya maisha yao no kuhudumia basics TU hatma inaamuliwa na Mungu!!juhudi pekee hazitoshi kwenye maisha Bali wakati na bahati huwapata wote!!

Kwamfano!kuna watu ni form four failure wanakula mafao ya ubunge halafunGraduate anakula vumbi au ninmwalimu wa.sekondari Aliechoka kusubiri ongezeko la mishahara Kila mwaka!!
 
usijivunie kuwa leta watu duniani bila hiali yao kwenye magonjwa,mateso ,vita n.k,hilo sio jambo la kujivunia mkuu.
 
Back
Top Bottom