Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

Ni sahihi!!
Jambo pekee mwananmme atajivunia ni watoto aliozaa Wala sio majumba,Mali,uaminifu kwenye ndoa n.k

Uzao ndio kila kitu!!

Wanaoponda ni zao la feminist kwenye akili zao!!

Kwasasa uzao ndio jambo la msingi!kuhusu hatma ya maisha yao no kuhudumia basics TU hatma inaamuliwa na Mungu!!juhudi pekee hazitoshi kwenye maisha Bali wakati na bahati huwapata wote!!

Kwamfano!kuna watu ni form four failure wanakula mafao ya ubunge halafunGraduate anakula vumbi au ninmwalimu wa.sekondari Aliechoka kusubiri ongezeko la mishahara Kila mwaka!!
Wengi watajifunza kupitia hii hoja
 
Bila shaka hawa ndio wale type ya Hemed PhD au wakina Calisah. Wamezaa na wanawake wengi halafu wanajisifia wana mbegu nzuri, pili misalaba yao ya malezi hawataki kubeba.

Ila si shangai na wanawake wanawapenda sana wanaume wa type hii na majamaa hawapaishi,wakiweka imo nyavuni halafu wanatambaa.
 
Back
Top Bottom