Kupitia kutongoza wanawake mbali-mbali weusi/weupe,warefu/wafupi,umbile/kimo cha wastani na wembamba/wanene nimejikuta nimetambua/ nimefahamu/kujua kwa undani "saikolojia ya mwanamke" mtoto,msichana na mama wa makamo/watu wazima.
Hapo juu wanaingia matajiri na masikini ma bachela na wake za watu bila kuwasahau wake za watu!
Hasara ya kutokutongoza:-
1.wasiwasi muda wote.
2.kumbabaikia mwanamke/urimbukeni.
3.Udumavu wa akili.
ONYO:-lengo kuu hapa ili kuwatambua wanawake kiundani (kisaikolojia) na si kuwachakachua.
----Hapa pia itakusaidia kuwatambua wanawake wanaolichukia umbile lako hivyo kuwakwepa ili usitukanwe/kudhalilishwa mbele ya kadamnasi Siku za usoni!