Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Utafiti mmoja niliowahi kuusoma unaeleza kwamba wanaume waoga wa kutongoza hutokea kuwa na hisia za kikatili hasa ukatili wa kijinsia?hisia za kukataliwa na kujihisi kupuuzwa na jamii,wengi huwa hawafanikiwa kimaisha!na huwa ni watu wanaotumia nguvu nyingi kujihami na adui ambaye Hamjui au hayupo!