Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Aaaa lazima jpo kidevuni kue kunachomachoma.[emoji23] [emoji23]Ndio. Ndevu niwe naziona tu barabarani lakini sio kulala nazo kitanda kimoja. Kwanza naona zitanikosesha Uhuru wa kufanya yanayopaswa kufanyika
Mkuu narudia you're very brilliant asee[emoji122] [emoji122] [emoji122] .... Hata huyu nilikuwa simpendi huwezi amini! But manjonjo nikazama balaaNimeanza kuangalia hpo kwenye (soul) nikafaham kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Sema unajua nin kila mtu na mtue mwanzo hua mgumu kila mkivibe kila kitu kinakua sawa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hata zikitolewa zote huwa kinachomachoma tuAaaa lazima jpo kidevuni kue kunachomachoma.[emoji23] [emoji23]
Unataka kidevu kiwe kma kiloparwa na kigae.[emoji23] [emoji23]
Za shingo lazima ndo ukubwa ulivowe acha tuuh kiongozi... vipi ww ujawahi pewa za shingo nin tupe uahuhuda basiii
Huku dar tunakata pochi tuTatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Ndugu yangu, mimi nipo tofauti kidogo, kuna baadhi ya mambo mwanamke akitaka kubadili juu ya muonekano wangu nitamsikiliza. Lakini kwa mengine " tafadhali asini' push sana" Binafsi napenda kuachia nywele na kuzigharamia nazigharamia.Katiku kitu sipendi kupangiwa nywele ila kuna sehem unabidi utoe.
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee[emoji3] [emoji3] [emoji3] hata zikitolewa zote huwa kinachomachoma tu
naona kama unatania wewe mchakazo gani huo unakupa nafasi usiku huu wa kuwa online...bado hamtumiani ipasavyo...saiv ulitakiwa uwe umebakiwa na nguvu za kupumua tuuh..nyie hampo kwenye right track...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....haaahaaa...tunachakazana daaadeki
Ahsante sana Mkuu.Mkuu narudia you're very brilliant asee[emoji122] [emoji122] [emoji122] .... Hata huyu nilikuwa simpendi huwezi amini! But manjonjo nikazama balaa
Hhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hujawahi kufundishwa kukipenda kitu usichokipenda.[emoji3] [emoji3] [emoji3] hata zikitolewa zote huwa kinachomachoma tu
[emoji23] [emoji23] kaenda msibani mkuunaona kama unatania wewe mchakazo gani huo unakupa nafasi usiku huu wa kuwa online...bado hamtumiani ipasavyo...saiv ulitakiwa uwe umebakiwa na nguvu za kupumua tuuh..nyie hampo kwenye right track...
Kwanini mkuu..kuna kitu utakuwa ulikuwa unakosea kwenye uhusiano wako[emoji23] [emoji23] [emoji15]Ahsante sana Mkuu.
Ujue sifa nazipende[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo ushaniandaliwa usingizi wangu.
Nimefurahi uwepo wako hpa[emoji4] [emoji4]
Ni kweli. Bahati mbaya ni kuwa siwezi tena kupewa darasa la namna hiyo, maana nishakamatikaHhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hujawahi kufundishwa kukipenda kitu usichokipenda.
Kila kitu kina raha yake.
Mimi si ustadhi/sheikh ni jamaa flani hivi mwenye mapigo ya kitofauti tofauti. Halafu ndevu zenyewe za kutisha bhasi! Nimeziachia kiaina tu zile za chini chini. Yeye anataka nipunguze kama zinaanza kuota.kwani we ni ostazi kaka au sheik..au una imani za kikalasinga?? siupunguze tuuh kama mtoto kakushauri...
Mim napenda sana kukaa na nywele na zikiwa katika hali nzuri.Ndugu yangu, mimi nipo tofauti kidogo, kuna baadhi ya mambo mwanamke akitaka kubadili juu ya muonekano wangu nitamsikiliza. Lakini kwa mengine " tafadhali asini' push sana" Binafsi napenda kuachia nywele na kuzigharamia nazigharamia.
Na kama kuna sehemu itabidi niziondoe nywele labda nibadili kazi niende jeshini. Na kitu cha namna hiyo, hakipo katika kichwa changu
Basi juu ya hili sina usemi...Ni kweli. Bahati mbaya ni kuwa siwezi tena kupewa darasa la namna hiyo, maana nishakamatika
[emoji23] [emoji23] kaenda msibani mkuu
Mkuu ukiandika xaxa sijui ximpendi kwenye chat zako hata kama demu kaishia la saba.....utapigwa chini trust me....wanawake wanapenda mtu makin japo most of them ni vichwa nyanya vilevile[emoji5]misheli xamahani kama kiswahili niko vibya ila umelewa maan usingereply
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]kumbee poleni kwa msiba jamanii..