Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Ndio. Ndevu niwe naziona tu barabarani lakini sio kulala nazo kitanda kimoja. Kwanza naona zitanikosesha Uhuru wa kufanya yanayopaswa kufanyika
Aaaa lazima jpo kidevuni kue kunachomachoma.[emoji23] [emoji23]
Unataka kidevu kiwe kma kiloparwa na kigae.[emoji23] [emoji23]
 
Nimeanza kuangalia hpo kwenye (soul) nikafaham kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Sema unajua nin kila mtu na mtue mwanzo hua mgumu kila mkivibe kila kitu kinakua sawa.
Mkuu narudia you're very brilliant asee[emoji122] [emoji122] [emoji122] .... Hata huyu nilikuwa simpendi huwezi amini! But manjonjo nikazama balaa
 
Tatizo baadhi ya mitongozo inaboa.
Imekaa kizamani zamani.
Unatongoza mdada wa miaka 20+ na mitongozo ya kijinga kama unarubuni mtoto wa la saba [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Silaha mnazotumia ni zile zile, hamna jipya.
Wengine mnatumia nguvu nyingi kama mnalima, hadi anayetongozwa anavuja jasho.
Ila kuna wanaume wanajua kutongoza bhanaa, hadi unasikia raha. (Wapo mikoani tuu)
Huku dar tunakata pochi tu
 
Katiku kitu sipendi kupangiwa nywele ila kuna sehem unabidi utoe.
Ndugu yangu, mimi nipo tofauti kidogo, kuna baadhi ya mambo mwanamke akitaka kubadili juu ya muonekano wangu nitamsikiliza. Lakini kwa mengine " tafadhali asini' push sana" Binafsi napenda kuachia nywele na kuzigharamia nazigharamia.

Na kama kuna sehemu itabidi niziondoe nywele labda nibadili kazi niende jeshini. Na kitu cha namna hiyo, hakipo katika kichwa changu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....haaahaaa...tunachakazana daaadeki
naona kama unatania wewe mchakazo gani huo unakupa nafasi usiku huu wa kuwa online...bado hamtumiani ipasavyo...saiv ulitakiwa uwe umebakiwa na nguvu za kupumua tuuh..nyie hampo kwenye right track...
 
Mkuu narudia you're very brilliant asee[emoji122] [emoji122] [emoji122] .... Hata huyu nilikuwa simpendi huwezi amini! But manjonjo nikazama balaa
Ahsante sana Mkuu.

Ujue sifa nazipende[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo ushaniandaliwa usingizi wangu.
Nimefurahi uwepo wako hpa[emoji4] [emoji4]
 
Ahsante sana Mkuu.

Ujue sifa nazipende[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo ushaniandaliwa usingizi wangu.
Nimefurahi uwepo wako hpa[emoji4] [emoji4]
Kwanini mkuu..kuna kitu utakuwa ulikuwa unakosea kwenye uhusiano wako[emoji23] [emoji23] [emoji15]
 
Hhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hujawahi kufundishwa kukipenda kitu usichokipenda.
Kila kitu kina raha yake.
Ni kweli. Bahati mbaya ni kuwa siwezi tena kupewa darasa la namna hiyo, maana nishakamatika
 
kwani we ni ostazi kaka au sheik..au una imani za kikalasinga?? siupunguze tuuh kama mtoto kakushauri...
Mimi si ustadhi/sheikh ni jamaa flani hivi mwenye mapigo ya kitofauti tofauti. Halafu ndevu zenyewe za kutisha bhasi! Nimeziachia kiaina tu zile za chini chini. Yeye anataka nipunguze kama zinaanza kuota.
 
Ndugu yangu, mimi nipo tofauti kidogo, kuna baadhi ya mambo mwanamke akitaka kubadili juu ya muonekano wangu nitamsikiliza. Lakini kwa mengine " tafadhali asini' push sana" Binafsi napenda kuachia nywele na kuzigharamia nazigharamia.

Na kama kuna sehemu itabidi niziondoe nywele labda nibadili kazi niende jeshini. Na kitu cha namna hiyo, hakipo katika kichwa changu
Mim napenda sana kukaa na nywele na zikiwa katika hali nzuri.
Imekua kwa watu wengi hawapendi kuniona na nywele ila siku nliokata kuna wengine wakaniambia ukieka nywele ndio unpendeza zaidi.
 
misheli xamahani kama kiswahili niko vibya ila umelewa maan usingereply
Mkuu ukiandika xaxa sijui ximpendi kwenye chat zako hata kama demu kaishia la saba.....utapigwa chini trust me....wanawake wanapenda mtu makin japo most of them ni vichwa nyanya vilevile[emoji5]

Be very careful...ni ushauri tu usinimaind
 
Back
Top Bottom