pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
..kutongozwa na akakubali maana yake kaitikia wito kaitikia heshima aliyopewa,maana kuna ambao hawatongozwi hawafuatwi kabisa..ila kukubali kufanya section B huko ni eneo huru la mtu...nimeipenda hiyo kutoka kwa mwaanume lakini kwa mwanamke napingana na wewe,kwa hiyo we unashauri mwanamke amkubali mwanaume yeyote anayemtongoza hata awe mlevi,playboy kisa tu kukataa ni upumbavu?au kwa maoni yako wewe mwanamke kutongozwa na kukataa ni upumbavu kwa manitki na vigezo vipi?
karibu mwaya
nilifungua hii hasa kutokana na thread yako moja hivi uliyoifungua hivi karibuni ilikuwa inahusiana na hii some how,hope comments za watu mbali mbali humu zitakupa relief na kukusaidia kwa kiasi kikubwa.
any way Leomimi if you dont mind me asking and if you are not embarrsed to answer are a womana or a man?
Pole best sikuwa hewani kama wiki na nusu hivi mimi ni ke.
Wewe nisakizie tu kwa mtoto wa kike yeyote kama vile La princesa alivyokisakizia kipopy chake nanii...ushuhudie mwenyewe.inakujaga yenyewe tu mkuu?how em tuelezee au utupe stori japo moja tu kutuonyesha jinsi ilivyokujaga tu na kujikuta Golgotha.
usijali Leomimi nafurahi kujua jinsia yako,sasa kuhusu topic yetu unaweza kujitoa kumwambia ukweli mwanaume unayempenda?umeshawahi?aliitikiaje?kama hujawahi kama unampenda sana mwanaume na unaona hana kabisa hata dalili za kukuaproach unafanyaje?
Wewe nisakizie tu kwa mtoto wa kike yeyote kama vile La princesa alivyokisakizia kipopy chake nanii...ushuhudie mwenyewe.
Hapo umemaliza kila kitu.usiseme ujawahi tongoza!! kupanga miadi na dinna ni utongozaji pia
sema ujawahi kumwambia mwanamke nakupenda sio kutongoza
Sio wewe tu mkuu unaugonjwa huu hata mimi sijawah kutongoza ...ila sijavunja bado amri ya 6!Kama kichwa cha habar kinavyojieleza,..kiukweli tokea baleh inikute,nmekua na mahusiano ya kimapenz na dada zetu hawa,ila mahusiano haya yote hua yanaanzaga tuu frm nowea,mwisho najikuta nimeclick na dem, etc,..ila sijawai tongoza,ile ya soundi za nakupenda,nataka uwe dem wangu etc,stuffs like that..hua baada ya kufahamiana ,dinner mbili 3,then tunavunja amri ya 6.sasa hali hii imenifanya niwe domo zege indirectly,maana kuna mdada nipo nae ila ame demand nimtongoze,meaning she wants to hear me sayin em words n nakupenda,.sasa ilikua mtihan,na sio kwamba simpend.