Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Mimi mwenyewe naona hiloKwa stayle hiyo utatongoza hata majini mkuu
mambo mengine tuwe tunayaacha humu humu zibaki kama story za kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwenyewe naona hiloKwa stayle hiyo utatongoza hata majini mkuu
Wewe hiyo tabia ya kutongoza tongoza sio nzuri unawe mtongoza hata dada yako ! kuwa makiniHabari wana jamii.
Kuna hii tabia ya vijana wa kiume kuogopa kutongoza hasa kwa kuhofia kua watakataliwa. Kwanza ni kosa kuhofu au kua na mawazo ya kukataliwa au kushindwa katika maisha.
Jambo la pili na kubwa zaidi ni kwamba kutongoza ni sehemu ya kutimiza majukumu yako kama mwanaume. Huna haja ya kuhofu kutimiza majukumu yako hata kama utakosea.
Ukizaliwa tu mwanaume, kutongoza ni sehemu ya majukumu yako makuu kwenye Job Discription(JD) yako.
Tongoza kila mwanamke unaedhani au kuona unaweza kutongoza, tongoza kadri uwezavyo au upendavyo, usihofu kukataliwa, hofu kutokutongoza ila sio kukataliwa. Jisikie mwenye hatia kutokutimiza wajibu wako kuliko kujisikia hofu ya kukataliwa katika kutimiza wajibu wako.
Jifunze hata kwa ndege na wanyama, jogoo hutongoza kila tetea anaemuona bila kujali atafanikiwa au la, akifanikiwa hewala, akikosa alikua anafanya mazoezi ya kukimbia na kuweka mwili sawa.
Lakini pia usiogope kutongoza mwanamke mzuri kwa kuhofu kua lazima atakua na mume/mpenzi, wewe tongoza, sio kila mwanamke mzuri basi ana mume, wengi hua ni vacancy, ukijaribu unaweza kufill hiyo nafasi. Tongoza mahala popote u apojisikia au kuona kuna mtu unaweza kumtongoza na muda wowote.
Ni ushauri tu na kukumbushana majukumu.
DaahMkuu nashukuru kwa somo lako!
Nchi ya viwanda hii, kila kitu taalumaKwahiyo kutongoza nako mpaka wakasomee digiriii??duuhh
Na kwelii...Nchi ya viwanda hii, kila kitu taaluma
Ukichungulia unatongozwa. Nimeanza nawe pm.Ngoja nami nichungulie
seat ina abiria tayari .....Ukichungulia unatongozwa. Nimeanza nawe pm.
Kwel kabsa na stock yang ya kutosha sasa hivi fresh tuMwanaume Kutongoza idadi nyingi ya wanawake hiyo inamsaidia yeye kuwa na akiba tosha za wanawake
Pia inampa ujasili ktk mahamuz yake kwa wanawake zake
Kutongoza na ku do havina mwalimu unajikuta tu umepatia siku zinaendaKwahiyo kutongoza nako mpaka wakasomee digiriii??duuhh