Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Aseee we ndo una stress mkuu....mi niko gado kinoma, halafu ni mkweli kuanzia jf mpaka kitaa mi sifake life.....BTW kusoma tu comments ndo ukajudge?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....inawezekana we ndo una bonge la msala kwenye life yako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli ktk maisha ups and downs zipo tu afu kwa sie wengine kuhangaikia au kuzamia mapenzini ni asilimia ndogo mno hazivuki hta 10%.
 
Ukitaka kujiepusha na adha ya kutongoza na kupigwa mbavu. Kihali halisi sisi hua tuna vibes na body language, ukimeet na mdada mkafahamiana kama amevutiwa na wewe hata kwa kiasi kidogo utaona she will be interested sasa usimtongoze sababu hujui kama amekufeel au ni swagire zake, so hapa unatumia law of unyambilisi unajifanya kama vile unajaa just take care of her, mpigie simu TID( three times a day wale wafamasia[emoji23]) hapo ataanza kukuZoea kama anakutaka lakini kama hana mpango nawe utaona you just need to be a a good observer, then ukienda nayo hivi utateleza kibingwa na utakua umekula mZigo at that time ndio unamchana kua unampenda sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] style itakuepusha kupigwa cha mbavu kila mara
 
Halafu mimi hua naona the act of kutongoza ni so challenging and interesting lakini demu akinikubalia tu nachukia naona kama ameua the whole point of the challenge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kile ambacho mwanaume anaongea wakati wa kutongoza kina mchango mdogo sana katika mwanaume kukubaliwa , jambo la msingi ni kwa jinsi gani mtu huyu anajieleza yani anaonekana anamaanisha au seriousness jinsi alivyo je anaweza kuwa muhuni , mbakaji , au mtu mwenye uchizi , je ni mtu mwenye kustaarabika , ana heshima anajiamini , na je ni mtu mwenye future inayoeleweka ,

Vitu hivi ndio huwa vya msingi sana katika kutongoza ambavyo vinaangaliwa hayo mambo ya kupangilia maneno ni kwa asilimia ndogo sana kwani ujizi wa maneno huvutia lakini haiwezi kuwa sababu ya kukosa au kukataliwa na mwanamke eti hujui kutongoza.

Kutongoza vizuri sio maneno bali ni moja ya kipimo cha life skills japokuwa sio sababu pekee kwani kama unaweza kutongoza vizuri na kujiamini huchukuliwa kama sifa ya mwanaume kuweza kupambana na mazingira na mitihani ya kimaisha , hapa namaanisha confidence sio mashairi maana hata utunge mashairi au uongee maneno matamu kama utashindwa kujiamini utaonekana fake .

Kwa kutambua hilo kutongoza vibaya haiwezi kuwa sababu ya mwanamke kukukataa kama utakuwa na kujiamini , haijalishi nini utaongea au shairi gani utaimba jambo la msingi ni kujiamini tu.

Wanawake wanao shame wanaume jinsi wanavyotongoza hao huwa bado ma teenagers , mwanamke mature jinsi ya kutongoza sio sababu pekee ya kuku judge wewe labda kuna sababu nyuma zinazo onekana , labda unaonekana muongo , mtu asiyeaminika au umekaa kama mwizi au muhuni hizi ndio hutumika kuku judge hasa katika kipindi unapomuomba binti kuongea nae huwa wana judge character sio maneno ya kutongoza , je jinsi unavyoongea au ulivyo una onesha unatabia gani ?, maana mwanamke anapata risk kubwa kujihusisha na mahusiano na mwanaume kibiologijia na kijamii na kihisia .

Jamii huamini mwanamke huwa malaya kama atakuwa na wanaume wengi, kibiolojia mwanamke anakabiliwa na ujauzito na kuchoka kwa mwili kama atataka kuwa na mwanaume anatakiwa kufanya chaguo zuri ilikuepuka kumpata mtu ambaye hatakuwa na future nae alafu akamzeesha , pia kuna maswala ya vibasaba mwanamke hujali aina ya watoto ambao anaweza kupata kutoka kwa mwanaume je atapata mbegu nzuri akiamua kuzaa na wew , pia kuna swala la ulinzi je ana hakika ya maisha akiamua kuwa na wewe hapa ndipo wanaume huchanganya na mwanamke kupenda pesa ni jambo pana sana kuelezea ,

Ukiangalia hapo utaona ni jinsi gani mwanamke anakuwa na mzigo huo wote wa maamuzi hivyo kutongoza nikimaanisha maneno ni asilimia ndogo sana ya kukubaliwa hama kukataliwa personality yako ndio inachangia zaidi.
 
ukiona unalazimika kujipendekeza ili kutongoza hapo ushafeli labda kama huyo huyo demu unataka kumuoa haraka.
Miaka hii hakuna kutongoza, vitu huwa vinakaa line automatic
 
Siku hzi nikuitana lodge ya nn kutongoza watu wazima, mtu anashangaa kaliwa.
Ndipo anze kusema ndo kwanza tumekutana juzi hata hujanitongoza umenila jaman..
Wanawake siku hizi tunatongoz Ki psychologia tu bx
 
Back
Top Bottom