Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

raha ya mwanamke bhana ajue jue vitu bhana mpate hata cha kubishana kuna mwana ana demu anaijua hadi team ya maccabi tel aviv alafu wanapeana tips😂
 
Nimependa hapo feminine habits yaan wanawake SIO kwamba hawajui vitu ila ukiwa naye kwenye mahusiano halafu mjuaji jua hayupo really kwako she is a cheater more than you think , they act childish when they really like a man but they act knows too much when they are not more into new
 
Bro huko mpakani mwa Syria huko umesikia yanayojiri?
Oyaaaa, mbona hamjanishtua sasa nimwage madini ya Aleppo?

Bashar amesema atayanyoosha magaidi yote pamoja na wafuasi wao, na hivi ndio karudi kutoka Moscow hebu tuone karudi na madini gani kutoka kwa Putin na kama yatabadili upepo kwenye uwanja wa vita.
 
Umewahi kumla!
 
Unakuwa Na Mwanamke Anajua Vita Vya Ukraine na Mipaka Yake yote na Silaha za Nyuklia alizosalimisha kwa Umoja wa Mataifa.
 
Kila kitu kwa kiasi.Hata mwanaume ukiwa mjuaji wa kila kitu unapoteza marafiki wa kweli..mwenye hekima hata kama anajua akiona hakina madhara sana anakubaliana na upande wa pili.
 
Umewahi kumla!
Kuna siku aliniomba nimsindikize ilikuwa giza kufika chocho akanikumbatia mara nikaona anavua chupi,ghafra kuna mtu akawa anakuja tukaondoka kitambo so baadaye nikasafiri kurudi alifurahi sasa kila tukipanga anatingwa ,tukapoteana tena mpaka mwezi uliopita nilimuona akanikumbatia na busu juu mbele za watu ,yaan kifupi akiona tu anatepeta balaa hata leo ila mda mbovu coz biz na kazi akiniona tu huwa ananiambia mimi ningekuwa mme wake angenenepa hata kama hakuna chakula na kajazia kinoma yaani namba nane hii hapa mtamu kweli ila sijui kinatokeaga nini mpaka kumaliza inakuwa hivyo,mbaya zaidi kimya kimya nimemtafuna mdogo wake bila yeye kujua
 
Kuna mwanamke mtaani kwetu anajua magari na anaweza kuelezea ubora wa injini za magari zaidi ya 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…