Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Kwamba unsuccessfully fsnya hujui? Kwani watu kama Lipumba wanaibuliwa kwaalengo gani?Naunga mkono hoja. Wapinzani wetu wako bize na mambo mengine mpaka kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zitakapo tangazwa.
Pasco
Mkuu Matola, nakubaliana na wewe big money changes hands during elections na mimi nakiri my first 6 figure niliishia for the first time ile 1995, ila issue sio kuwa popo bali it's very hard to stand on the fence hivyo objectivity na impartiality vinakuwa compromised.Kwamba unsuccessfully fsnya hujui? Kwani watu kama Lipumba wanaibuliwa kwaalengo gani?
Lengo ni moja tu kuwahamisha wapinzani kwenye hoja za msingi na watumie muda mwingi kupambana na maadui wa ndani kwanza.
Na nyinyi wazee wa bahasha mkishashikishwa bahasha zenu mnageuka popo.
Sasa hivi sidhani kama mkesha wa mwaka mpya kama tutaenda pamoja kuchoma nyama Monduli.
Shida upinzani wanaungana mambo yasiyo kichwa ila ya maaana Kama hilo hawatakiACT wazalendo wameanza kazi hii kwa kutaka kufufuliwa kwa mchakato wa katiba mpya...ambayo ina kipengele cha tume huru ya uchaguzi.
Kwa kuwa chama chenyewe ni kidogo basi hata hoja zao hazina nguvu.
Upo sahihi, ila kwenye nchi changa kama Tz ambayo elimu ya uraia, demokrasia na uzalendo vipo chini ya asilimia zero nadhani hilo tusubiri kwanza kwa sababu:
1. Tz kuna mtu/kikundi kinaweza kununua chama fulani cha upinzani
2. Tz kuna watu/chama/kikundi kinaweza kuwanunulia watu viroba na kuwaambia wadeki barabara
3. Tz kuna mtu mwenye hela anaweza kununua ajenda za wapinzani kwa bil 10 na kuwabadilisha ajenda yao
Mkuu halafu kitu kimoja ambacho wanasiasa wetu, hata wa CCM wanajitoa ufahamu! Tume huru ya uchaguzi si kwa manufaa ya wapinzani tu ni kwa afya ya Taifa letu. Hivi Lowassa alipokuwa CCM tena akiwa waziri mkuu angepigania tume huru ya uchaguzi (katiba mpya) ungekuta analilia lia sasa? Sumaye? Kingunge je? Na wengine wengi waliotoka CCM je? Nadhani wanasiasa wetu wanaangamizwa kwa ubinafsi. Lakini kwa hakika kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu: upinzani unaposhindwa, wanaoathirika ni sisi raia wa kawaida (wapinzani + wana CCM). Mbowe hapotezi chochote kwani ubunge unamtosha.Haya wasisusie...ila ndo hivo daima wataendelea kuwa wasindikizaji wa CCM huko ikulu na bungeni.
Ukweli mchungu, UJINGA WA MTANZANIA NDIO NGAO YA CCM na UPINZANI USIOJIELEWA!..kususia uchaguzi ni sawa na kumuachia mkeo mgoni wako.
..Tanzania hatuna wapinzani,,,,,,nani Lowassa?Sumaye?Kingunge?mmh
...Kushinda kwa CCM kunachangiwa na "Ujinga" wetu pamoja tume isiyo huru,na pia wapinzani waliokosa misimamo................................
CCM inatumia ngao ya "UJINGA" kutawala nchi hii. Upinzani nao unaongoza bila mwelekeo kabisa, ndio maana wengi wa wanaojielewa hawaoni umuhimu wa hao wapinzani. Wengi hawana hata uwezo wa kupambana na ccm hata kidogo.Upo sahihi, ila kwenye nchi changa kama Tz ambayo elimu ya uraia, demokrasia na uzalendo vipo chini ya asilimia zero nadhani hilo tusubiri kwanza kwa sababu:
1. Tz kuna mtu/kikundi kinaweza kununua chama fulani cha upinzani
2. Tz kuna watu/chama/kikundi kinaweza kuwanunulia watu viroba na kuwaambia wadeki barabara
3. Tz kuna mtu mwenye hela anaweza kununua ajenda za wapinzani kwa bil 10 na kuwabadilisha ajenda yao
Wapinzani Wafanye,Yote Wasisusie Uchaguzi wa 2020!
Itaendelea Hivyo Mpaka Pale Upinzani Utakapoacha Kujificha Nyuma ya Ujinga wa Watanzania,na Kuutendea Haki Upinzani!Milele watakuwa wasindikizaji wa CCM ikulu.
Toka uchaguzi uishe umemsikia kiongozi gani wa upinzani akizungumzia mambo ya tume huru ya uchaguzi?Hoja hii ni nzito sana .
Sio lazima kubadili katiba, ni kupigania mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwepo kwa Tume huru yenye wajumbe wenye divedified compositions.
Wanatakiwa kupigania the level playing field,
Wenzetu Bunge likiishavunjwa mali zote za umma zinarudishwa na wagombea wote wanakiwa na equal status. Huku kwetu magari yanabadilishwa tuu number na kuwekwa za kiraia, rais anaendelea kugombea na presidential status, 2015 timu yote ya Ikulu including the press unit ilikuwa nyuma ya Magufuli na fedha za kampeni ni fedha za serikali! .
Mnagombea kisu cha makali kuwili, mwenzako ameshika mpini wewe unapewa kushika kwenye makali ukitegemea kushinda! .
Ni kweli Pasco.
Playing ground iliyokuwa sawa ni jambo ambalo limezungumzwa sana.
Watawala wanajua faida ya kuwa na uwanja usiokuwa sawa na wapinzani wanajua hasara yake.ila wananchi inaelekea hawajui faida wala hasara ya kuwa na uwanja usio sawa.
mambo yatabadilika wakati wananchi watakapogundua.
hivi kwa akili zenu ccm watakubali kuleta tume huru ya uchaguzi hizo ni ndoto labda kwa vurugu watu wauliwe ndio wanaweza kufahamuNaunga mkono hoja. Wapinzani wetu wako bize na mambo mengine mpaka kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zitakapo tangazwa.
Pasco
Kutoshiriki uchaguzi ni suicide kwa vyama vya upinzan. Huna wabunge, maana yake huna ruzuku. Utaendesha vipi chama? Tume huru ya uchaguzi itapatikana wananchi wakiamua na kuchoshwa kuibiwa kura. Seif kule kasusa na watu wanakulaga tu.