Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

Kususia uchaguzi nalo siyojibu la moja kwa moja la kukupatia haki,ninafuu ukashiriki uchaguzi ukapata mwanga ni kiasi gani unachokubarika kwa wananchi ili tume huru itakapopatikana iwe rahisi kushinda.
Haya endeleeni kushiriki na halafu mkishindwa muanze kulia tume haiko huru.
 
Cuf walijaribu kugoma kule zanzibar mafisi ccm walifanya kivyao namaanisha ya kwamba hata vyama vya upinzani vikigoma ccm na watanzania wale wa twaweza hawawez kuona utofaut uchaguz utakuwepo tu na tume itamtangaza raisi

Cha muhimu ni sisi watanzania wote tumkomalie magufuli suala la katiba mpya tusiviachie hilo suala vyama vya upinzani
tuamke wa tz kama kenya.
 
Upinzani, utawala na tunaojiita hatuna vyama wote njaa zinatukimbiza.

Hakuna ambaye yuko kwa ajili ya wengine, ni kujaza tumbo lake kwanza.
 
sijakushambulia, nasema unachokiandika siyo dhamira yako. Unawakejeli, upinzani. jamani hapo nimekushambulia. Sidhan kama unamaanisha kweli kuwa wasusie uchaguzi kama Raila
Hahahaaa.

Wewe, huijui dhamira yangu. Hivyo acha kuandika kama vile unaijua.

Mambo ya wapinzani kususia chaguzi zinazoendeshwa na NEC sijaanza kuyazungumzia leo.

Nimeanza kuyazungumzia tokea 2005 kule bcstimes.com, jamboforums.com, na mpaka leo hii JF.

Nimeshawakejeli CCM na nimeshawakejeli vyama vya upinzani.

Acha kuandika usivyovijua.

Dhamira yangu huna uwezo wa kuijua.
 
Ni hiyo niliyoiandika au unatafuta wajitambulishe kwako wakione cha mtema kuni! Wacha wadanganyike!
 
Hoja ile pale, CUF walishafanya hivyo, mpongeze Raila kwa kuiga CUF ya Tanzania, kisha tufunge thread
Kuna suala la utofauti wa Katiba pia kati ya Katiba ya Kenya na ya Tanzania..Katiba ya Kenya inasema hivi:

IMG_20171010_181909.jpg
 
Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.

Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.

Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.

Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.

Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?

Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.

Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.

Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
Kwa mara ya kwanza umenena fact!! Big up
 
Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.
Tatizo ruzuku baba!
Wakisusa watakula wapi?
Tanzania hakuna upinzani makini kwa sasa,tuna wasanii,wapiga dili na watafunaji ruzuku tu
 
Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.

Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.

Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.

Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.

Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?

Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.

Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.

Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
kufuata tu au kuiga tu anachofanya mwingine bila utafiti, ni kufuata mkumbo, (au kumfuata Kitila Mkumbo ukipenda), ni kuiga kunya kwa tembo. Kenya ni tofauti na Tanzania. wakenya ni watu tofauti na watanzania. mazingira ya kenya pia ni tofauti. kuna mambo ambayo unaweza kuyahamisha moja kwa moja, lakini siyo kila kitu. mengine inabidi uyarekebishe kwanza.

Kimsingi, upinzani upo kwa wananchi. wale wanaoitwa "wapinzani", kazi yao ni kuratibu huo upinzani. kama watanzania ni watazamaji tu, hawapo tayari kushiriki huo upinzani ki kweli kweli, huwezi kuchukua hatua kali za kimaamuzi. inabidi uende taratibu. unahitajika kusubiri "critical mass". Tukio kama la kushambuliwa Tundu Lissu lime "galvanise" watanzania na wanaelekea kwenye hiyo "critical mass". ili ukiwasha njiti ya kiberiti na kuirusha, moto unashika.

nakumbuka wakati CHADEMA wanaandaa maandamano ya UKUTA, ulitaka sana watekeleze yale maandamano hasa, to the destructive conclusion. walisoma mzingira, wakaona wana-deal na aina ya mtu ambaye haoni tabu kuteketeza wananchi wake mwenyewe. tumeshuhudia hilo kwenye massive bomoabomoa ya Kimara-mbezi-kiluvya, na mengine. walibadili mwelekeo ili waende sambamba na hali halisi. nakumbuka uliwatukana sana na tokea wakati huo huna time sana na upinzani wa Tz. mimi nawaelewa wapinzani. pamoja na kwamba wanayo mapungufu mengi, lakini naelewa kazi kubwa wanayofanya
 
Kuna suala la utofauti wa Katiba pia kati ya Katiba ya Kenya na ya Tanzania..Katiba ya Kenya inasema hivi:

View attachment 606316
Mkuu, ulimuelewa mleta thread? Anasema wapinzani wa Tanzania wasusie uchaguzi kwa Tume wasiokuwa na imani nayo. Mimi nimemwambia anachoshauri tayari kilishafanyika Tanzania, Raila amefanya kuiga tu
 
kufuata tu au kuiga tu anachofanya mwingine bila utafiti, ni kufuata mkumbo, (au kumfuata Kitila Mkumbo ukipenda), ni kuiga kunya kwa tembo. Kenya ni tofauti na Tanzania. wakenya ni watu tofauti na watanzania. mazingira ya kenya pia ni tofauti. kuna mambo ambayo unaweza kuyahamisha moja kwa moja, lakini siyo kila kitu. mengine inabidi uyarekebishe kwanza.

Kimsingi, upinzani upo kwa wananchi. wale wanaoitwa "wapinzani", kazi yao ni kuratibu huo upinzani. kama watanzania ni watazamaji tu, hawapo tayari kushiriki huo upinzani ki kweli kweli, huwezi kuchukua hatua kali za kimaamuzi. inabidi uende taratibu. unahitajika kusubiri "critical mass". Tukio kama la kushambuliwa Tundu Lissu lime "galvanise" watanzania na wanaelekea kwenye hiyo "critical mass". ili ukiwasha njiti ya kiberiti na kuirusha, moto unashika.

nakumbuka wakati CHADEMA wanaandaa maandamano ya UKUTA, ulitaka sana watekeleze yale maandamano hasa, to the destructive conclusion. walisoma mzingira, wakaona wana-deal na aina ya mtu ambaye haoni tabu kuteketeza wananchi wake mwenyewe. tumeshuhudia hilo kwenye massive bomoabomoa ya Kimara-mbezi-kiluvya, na mengine. walibadili mwelekeo ili waende sambamba na hali halisi. nakumbuka uliwatukana sana na tokea wakati huo huna time sana na upinzani wa Tz. mimi nawaelewa wapinzani. pamoja na kwamba wanayo mapungufu mengi, lakini naelewa kazi kubwa wanayofanya
Well, I have been calling for boycotting the NEC-run elections for more than 10 years.

But it's up to them or you.

If you're content with the current structure of the electoral commission, fine. Keep partaking in the elections.
 
and so has Mwanakijiji. Do you remember Dr. Chemponda? he came up with a fake "opposition party" to guarantee that even if the opposition boycotted an election, it was still "mutiparty" because Chemponda's participated. that approach was abandoned long time.
 
Okay.
 
yomboo

Uchaguzi wa Zanzibar unaulinganisha na uchaguzi wa Tanzania bara?

Kwanza ninachokisema au kukitaka mimi siyo kususia marudio ya uchaguzi.

Nataka chaguzi zote zinazoendeshwa na NEC inayoundwa na mwenyekiti wa CCM zisusiwe.

Mgongano na muingiliano wa kimaslahi uliopo hapo ni dhahiri na mkubwa mno kuupuuza.

Sasa ukishaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na NEC chini ya huu muundo ilionao maana yake ni kwamba unaikubali ilivyo. Maana yake ni kwamba una imani nayo.

Anyway....endeleeni tu kushiriki.
 
Back
Top Bottom