Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

Ndio maana wajanja kina mbowe na maalim wataendelea kuwaadaa maisha yote.
braza kuna vitu watu hawasomi tu huu mchezo
mbowe sio mpinzani
zito sio mpinzani
maalim sio mpinzani
lipumba sio mpinzani
mbatia sio mpinzani
slaa sio mpinzani

Mpinzani wa Kweli alishapatikana.Mmoja tu Lissu
Mwenzake ni Lema
 
Na wewe unawaza kutumia nini?

Uchaguzi wa Zanzibar unaulinganisha na uchaguzi wa Tanzania bara?

Kwanza ninachokisema au kukitaka mimi siyo kususia marudio ya uchaguzi.

Nataka chaguzi zote zinazoendeshwa na NEC inayoundwa na mwenyekiti wa CCM zisusiwe.

Mgongano na muingiliano wa kimaslahi uliopo hapo ni dhahiri na mkubwa mno kuupuuza.

Sasa ukishaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na NEC chini ya huu muundo ilionao maana yake ni kwamba unaikubali ilivyo. Maana yake ni kwamba una imani nayo.

Anyway....endeleeni tu kushiriki.
Hoja yako ni nzuri, siyo mbaya. Tatizo ni kwamba, kama ukiacha kushiriki uchaguzi, unaondoka kwenye ramani ya siasa kabisa. lakini ukishiriki, kuna faida zake, mojawapo ni kuwepo kisiasa, kuwa tayari kushika madaraka hata kama kuna kila jitihada kuzuia. lakini katika siasa huwa kuna political storms ambazo zinawaeza kubadili mwelekeo haraka, hivyo lazima kuwa tayari. pia inakuwezesha kusoma vema zaidi mbinu za upande wa pili.lakini pia, upinzani umekuwa ukiongeza wabunge na madiwani uchaguzi hadi uchaguzi. na sasa hivi wanaendesha halmashauri kadhaa ambapo ccm ni "official opposition". ccm wameamua kutumia nguvu nyingi kudeal na situation hii, ambayo inaweza pia kuwagharimu.

huko nyuma, CHADEMA ilikuwa haishiriki katika uchaguzi wa Rais, ilikuwa inawaachia vyama vingine wagombee urais, wao wakabakia kwenye ubunge tu. mwaka 2005 ndio waliingia kinyang'anyiro kwa mara ya kwanza, kama sikosei. lakini tokea wameanza kushiriki uchaguzi wa Rais, chama hiki kimekua haraka sana, na kuongeza mitandao yake nchi nzima.
 
kufuata tu au kuiga tu anachofanya mwingine bila utafiti, ni kufuata mkumbo, (au kumfuata Kitila Mkumbo ukipenda), ni kuiga kunya kwa tembo. Kenya ni tofauti na Tanzania. wakenya ni watu tofauti na watanzania. mazingira ya kenya pia ni tofauti. kuna mambo ambayo unaweza kuyahamisha moja kwa moja, lakini siyo kila kitu. mengine inabidi uyarekebishe kwanza.

Kimsingi, upinzani upo kwa wananchi. wale wanaoitwa "wapinzani", kazi yao ni kuratibu huo upinzani. kama watanzania ni watazamaji tu, hawapo tayari kushiriki huo upinzani ki kweli kweli, huwezi kuchukua hatua kali za kimaamuzi. inabidi uende taratibu. unahitajika kusubiri "critical mass". Tukio kama la kushambuliwa Tundu Lissu lime "galvanise" watanzania na wanaelekea kwenye hiyo "critical mass". ili ukiwasha njiti ya kiberiti na kuirusha, moto unashika.

nakumbuka wakati CHADEMA wanaandaa maandamano ya UKUTA, ulitaka sana watekeleze yale maandamano hasa, to the destructive conclusion. walisoma mzingira, wakaona wana-deal na aina ya mtu ambaye haoni tabu kuteketeza wananchi wake mwenyewe. tumeshuhudia hilo kwenye massive bomoabomoa ya Kimara-mbezi-kiluvya, na mengine. walibadili mwelekeo ili waende sambamba na hali halisi. nakumbuka uliwatukana sana na tokea wakati huo huna time sana na upinzani wa Tz. mimi nawaelewa wapinzani. pamoja na kwamba wanayo mapungufu mengi, lakini naelewa kazi kubwa wanayofanya
brother umeongea bonge la Hoja braza. kunywa soda nitalipa
 
Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.

Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.

Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.

Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.

Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?

Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.

Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.

Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
1. Wapinzani wamedai sana, na wanaendelea kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Lakini wale wanaofaidika wamekuwa ndio kikwazo.
2. Kususia uchaguzi ni kama vile kususia dawa hali ya kuwa unaumwa. Fikiria michango ya upinzani bungeni na nje ya bunge. Halafu piga picha laiti wangesusia uchaguzi uliopita na hivyo kupelekea kutokuwepo bungeni kwa mtu kama Lissu, Zitto, Mbowe, Msigwa etc.
 
Hoja yako ni nzuri, siyo mbaya. Tatizo ni kwamba, kama ukiacha kushiriki uchaguzi, unaondoka kwenye ramani ya siasa kabisa. lakini ukishiriki, kuna faida zake, mojawapo ni kuwepo kisiasa, kuwa tayari kushika madaraka hata kama kuna kila jitihada kuzuia. lakini katika siasa huwa kuna political storms ambazo zinawaeza kubadili mwelekeo haraka, hivyo lazima kuwa tayari. pia inakuwezesha kusoma vema zaidi mbinu za upande wa pili.lakini pia, upinzani umekuwa ukiongeza wabunge na madiwani uchaguzi hadi uchaguzi. na sasa hivi wanaendesha halmashauri kadhaa ambapo ccm ni "official opposition". ccm wameamua kutumia nguvu nyingi kudeal na situation hii, ambayo inaweza pia kuwagharimu.

huko nyuma, CHADEMA ilikuwa haishiriki katika uchaguzi wa Rais, ilikuwa inawaachia vyama vingine wagombee urais, wao wakabakia kwenye ubunge tu. mwaka 2005 ndio waliingia kinyang'anyiro kwa mara ya kwanza, kama sikosei. lakini tokea wameanza kushiriki uchaguzi wa Rais, chama hiki kimekua haraka sana, na kuongeza mitandao yake nchi nzima.
Sidhani kama ukiacha kushiriki chaguzi kwa sababu za msingi utapotea kisiasa.

Mojawapo ya faida za kutokushiriki chaguzi ni kupunguza uhalali wa chama 'kilichoshinda'.

Ni rahisi sana kujenga hoja dhidi ya tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa chama tawala ambaye pia ndo rais.

Nani ambaye hataelewa ukimwambia kuwa huwezi kushiriki uchaguzi utaoendeshwa na tume ya uchaguzi ambayo imeundwa na Magufuli huku Magufuli mwenyewe akiwa ni mgombea pia?

Hivi unaamini kabisa mwaka 2020 Tundu Lissu anaweza kumshinda Magufuli na tume ya uchaguzi imtangaze yeye ndo mshindi? Abadani asilani katani!

Kwa jinsi hali ilivyo sasa, ikitokea kweli CCM ikashindwa basi tegemea bonge la zengwe toka kwa tume ya taifa ya uchaguzi. Ama watapika matokeo na kumtangaza Magu kuwa ndiye mshindi au watafuta kabisa matokeo kama walivyofanya kule Zanzibar!

Anywho, kama mnapenda kushiriki chaguzi ambazo matokeo yako pre-determined basi endeleeni kushiriki.
 
Mnadanganywa sana si Fisadi Lowasa wala yoyote mwenye uwezo wa kukinukisha Tanzania, wangekuwa na huwo uwezo wangeshautumia kuishinikiza Serikali, Lowasa hawezi kumuingiza mtu barabarani Tanzania nakuhakikishia hilo, angeshautumia!
Hivi umeelewa hoja yangu whether lowasa 2015 au slaa 2010 au lipumba na seif 2005 kma INGETOKEA (whether wanaweza au hawawezi) Ndio hapo tungeheshimiana hyo ndio hoja yangu na sababu lowasa au malim hakukinukisha Ndio maana upinzani TZ unaburuzwa wenzetu kenya huezi mpiga risasi kiongozi kma Orengo lazma wakinukishe na ndio maana upinzani wa kenya unaogopeka huwezi msikia kenyatta akisema SIJARIBIWI maana wanaweza andamana mpaka ikulu wa wamchane vipande

Hivyo napinga hoja kuwa wapinzani kenya wana ushawishi au ufuasu mkubwa kuliko TZ ila nasema wamefika hapo walipo sababu ya mauaji ya 2007 na vurugu za 2003 walipomkataa uhuru kenyatta kwa maandamano mazito
 
Sidhani kama ukiacha kushiriki chaguzi kwa sababu za msingi utapotea kisiasa.

Mojawapo ya faida za kutokushiriki chaguzi ni kupunguza uhalali wa chama 'kilichoshinda'.

Ni rahisi sana kujenga hoja dhidi ya tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa chama tawala ambaye pia ndo rais.

Nani ambaye hataelewa ukimwambia kuwa huwezi kushiriki uchaguzi utaoendeshwa na tume ya uchaguzi ambayo imeundwa na Magufuli huku Magufuli mwenyewe akiwa ni mgombea pia?

Hivi unaamini kabisa mwaka 2020 Tundu Lissu anaweza kumshinda Magufuli na tume ya uchaguzi imtangaze yeye ndo mshindi? Abadani asilani katani!

Kwa jinsi hali ilivyo sasa, ikitokea kweli CCM ikashindwa basi tegemea bonge la zengwe toka kwa tume ya taifa ya uchaguzi. Ama watapika matokeo na kumtangaza Magu kuwa ndiye mshindi au watafuta kabisa matokeo kama walivyofanya kule Zanzibar!

Anywho, kama mnapenda kushiriki chaguzi ambazo matokeo yako pre-determined basi endeleeni kushiriki.
Ni kweli unachosema, lakini ni ishu pia ya "Devil's alternative". Kama nilivyosema mwanzo, hata zile serious opposition zikisusa, kuna "sister parties" zitakazoshiriki, kwa hiyo bado watadai "uhalali" wa uchaguzi upo. usiposhiriki uchaguzi, maana yake hutakuwepo kabisa bungeni, na hapo watapata nafasi ya kuwapa ubunge wabunge aina ya CUF ya Lipumba, ambao hawatatoa changamoto yoyote Bungeni. lakini kwa kushiriki, opposition wameweza kujijenga vizuri kupitia mifumo hiyo hiyo ambayo ni unfair, hata kufikia serikali kupiga marufuku Bunge live.

Lakini pia tusiangalie Opposition kwa maana ya kushinda urais tu. kitendo cha kuwepo opposition katika ngazi mbalimbali kunalisaidia taifa. na nadhani hilo ni jambo jema sana
 
Kwanini maoni yangu useme ni ya waTanzania wote?
au unajaribu kujitoa ufahamu?
Nashangaa unavyokandia uamuzi wa odinfa anyway basi kwa faida ya kuniongeza uelewa je ungeshauri odinga afanyaje kwenye mazingira ambayo tume iliyosababisha madudu inaandaa uchaguzi kwenye mazingira yaleyale yaliyosababisha uchaguzi ufutwe na mahakama?

Ahsante
 
Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.

Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.

Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.

Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.

Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?

Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.

Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.

Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
unamshauri Dovutwa, Mrema, Lipumba, Cheyo au.... ??? hebu fikiria tens ushauri wako na mazingira ya siasa tuliyonayo weka chukizako pembeni kwa kile chama.....
 
mkuu wewe pia unashindwa kuelewa ugumu uliopo.Kwani hao wabunge wanapitishwa na nani? Si ni tume hio hio?
Hivi unajua majimboni nani ni kiongozi wa Tume? Kwa taarifa yako ni Mkurugenzi wa wilaya husika
unajua kuwa wakurugenzi wote wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye naye huwa ni mgombea wa Urais?
Tatizo hapo ni Tume ya Uchaguzi na si vinginevyo
Wenje na Kafulila wameporwa live na hakuna kilichoendelea
Kwa taarifa yako tume itaendelea kuhakikisha upinzani unakuwa na minority isiyo na uwezo wa kufanya maamuzi
Sijakuelewa hapo ama umeandika lugha siijui. Tume inaingiaje ktk uteuzi wenu wa wagombea ubunge? Hivi Lowasa alipitishwa name tume ama alipitishwa name wajuaji wachache wakiongozwa name Mbowe. Hata hili hutaki kulielewa hata shangazi hakugusa hata darasa atakucheka. Wewe unawezaje kumuweka Jimbo made mbune incumbent kama waziri Mwinyi Dr umushindanishe name Kingwendu Ngwendulile cv yake y'all uongo. Mnadhani watanzania wajinga? Wenzenu guess wanapeleka nondo mkitaka kushinda ama kuchukua majimbo kama hayo.
 
wewe hujielewi.kwaheri
 
hakujawahi tokea tume huru chini ya hili jua. hata huko marekani malalamiko yapo.
 
Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.

Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.

Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.

Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.

Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?

Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.

Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.

Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
Hawawezi kuukubali huu ushauri kwa sababu wanamuunga mkono Uhuru. Wanajitia kitanzi wenyewe.
 
Wala tatizo kuu la upinzani Tanzania sio tume. Tatizo la Msingi la upinzani Tanzania lipo ndani ya fikra zao. Hawajajua wanataka nini; hawana maono, hawana dira, hivyo wanaweza kuamua kwenda kokote wakati wowote kufanya chochote.Wanaweza kuanzia kokote, wakapita kokote na kuishia kokote kwa sababu yoyote ile. Kwa bahati mbaya hawajui kuwa wanatatizo hili, hivyo pamoja na kuwashauri sana, wanaonekana wala hawana mpango wa kulishughulikia lili na kubadilika.

Kimsingi kama hawatashughulika na tatizo hilo na kulimaliza, wataendelea kulaumu wanayedhani ni adui wa nje ila kimsingi adui mkubwa yu ndani yao wenyewe.

Tatizo kuu la upinzani Tanzania ni Watanzania kama wewe. Extraordinarily poorly informed. Hivi unafikiri kuna mtu mwenye akili na ambaye ni informed anaweza kuichagua CCM hata kama upinzani hawana dira na maono?
 
Nashangaa unavyokandia uamuzi wa odinfa anyway basi kwa faida ya kuniongeza uelewa je ungeshauri odinga afanyaje kwenye mazingira ambayo tume iliyosababisha madudu inaandaa uchaguzi kwenye mazingira yaleyale yaliyosababisha uchaguzi ufutwe na mahakama?

Ahsante

nadhani cha muhimu tufuate sheria inasemaje,
je tume ikikosea nini kinapaswa kufanyika?
Je amhakama ilipohukumu na kuagiza uchaguzi urudiwe, je iliagiza =tume hii au tume nyingine iiundwe?
mambo ya kujichukulia sheria mkononi kis atu kuna loppholes ndio haya yanayopelekea na wengine wajichukulie, nasikia tayari huko wanapitisha sheria ya kutokurudia uchaguzi, yani mtu akijitoa anayebaki ahapishwe, je na hili utamlaumu nani?

unapojifanya unajua Huu, kumbuke na wenzio wanaujua ulee!
 
Kwahyo kwa maoni hayo ulitaka odinga ashiriki sababu mahakama iliamuru hivyo ??? Ssa mabadiliko gani wamefanya mfano fomu hazikuwa na alama za kiusalama ili zisiwekwe karatasi bandia na mahakama ilitaka wasirudie kosa hilo ila IEBC wakarudi kwa kampuni ile ile na inarudia makosa yaleyale ssa Raila akishindwa sababu ya Kura bandia Si mtaona kma analialia tu? Hivyo kma ameshaona hayo yatatokea kivp ashiriki uchaguzi huo huo
 
Nashangaa unavyokandia uamuzi wa odinfa anyway basi kwa faida ya kuniongeza uelewa je ungeshauri odinga afanyaje kwenye mazingira ambayo tume iliyosababisha madudu inaandaa uchaguzi kwenye mazingira yaleyale yaliyosababisha uchaguzi ufutwe na mahakama?

Ahsante

NASA HAS ABUSED THE COURT PROCESS

The ongoing electoral saga in Kenya has embarked on new face after withdrawal of the NASA Coalition from the upcoming Presidential election. Several reasons for the decision have been issued by Mr. Odinga, a candidate from the coalition representing ODM, the basic being that the IEBC has failed to call a lawful election.

Mr. Odinga has indeed failed to honour the supreme court’s decision which lied on his favour. The court, after declaring the Presidential election held on August this year a nullity, urged IEBC to hold a fresh free and fair election. The IEBC heeded and arranged for a fresh election scheduled for 26th October this year.

NASA tosses allegation that there is no intention on the part of the IEBC to undertake any changes to its operations and personnel to ensure that the “illegalities and irregularities” that led to the invalidation of the August election do not happen again.

In that regard, it is over that NASA has made as self-interpretation of the Supreme Court majority judgment [petition No. 1/2017 –Raila Odinga & Another v IEBC & Others] and self-appointed (herself) a court executor. This is amounts to usurping the courts powers.

The supreme court findings are clear. It did not issue any order for amendment of Electoral laws or the Constitution. It did not even hold the IEBC officers guilty of any misconduct rendering their resignation or impeachment from office. It firmly held at para 386 of the majority judgment:

“Regarding prayer (l), we have shown that IEBC did not conduct the 8th August 2017 presidential election in conformity with the Constitution and electoral law. Irregularities and illegalities were also committed in a manner inconsistent with the requirement that the electoral system ought to be inter alia simple, verifiable, efficient, accurate and accountable. Although the petitioners claimed that various electoral offences were committed by the officials of the 1st respondent (IEBC) no evidence was placed before us to prove this allegation. What we saw in evidence, was a systemic institutional problem and we were unable to find specific finger prints of individuals who may have played a role in commission of illegalities. We are therefore unable to impute any criminal intent or culpability on either the 1st and 2nd respondent, or any other commissioner or member of the 1st respondent. We are similarly unable to find any evidence of misconduct on the part of the 3rd respondent. The prayer is therefore disallowed”.

Besides, NASA cannot now legally claim misconduct and intervention of JUBILEE into the IEBC in so far as the Supreme Court did not expressly hold so. The court addressed this issue in paras 228 to 333 of the majority judgment.

NASA, through Mr. Odinga maintains that the election must be conducted afresh with nomination of candidates. The basis of this argument emanates from the Supreme Court decision in Raila Odinga v IEBC & Others, El. Petition no 5/2013 where the court said at para 290:

“Suppose, however, that the candidates, or a candidate who took part in the original election, dies or abandons the electoral quest before the scheduled date: then the provisions of Article 138(1) (b) would become applicable, with fresh nominations ensuing”.

Article 138 (8) of the Constitution of Kenya, 2010 stipulates thus:

“A presidential election shall be cancelled and a new election held if—

(a) no person has been nominated as a candidate before the expiry of the period set for the delivery of nominations;

(b) a candidate for election as President or Deputy President dies on or before the scheduled election date; or

(c) a candidate who would have been entitled to be declared elected as President, dies before being declared elected as President".

Strictly construed, the Constitution gives no room for a fresh election if a candidate withdraws from the electoral quest. The 2013 Supreme Court opinion must have been misconstrued by the NASA coalition. There are a number of reasons to why the court’s opinion is not good law thus should not be followed, these are, to mention albeit a little:

1. The opinion did not form the ratio decidendi of the case.

2. The opinion was not the basis of the decision and was not an issue before the court.

3. The opinion was not followed or allowed or even considered by the majority decision in the recent celebrated case, which is the basis of the election re-run.

4. The opinion cannot override provisions of the Constitution

5. The opinion is qualified.

The 2013 Supreme Court opinion, on which the NASA rely, is qualified in the sense that it would apply only if an electoral candidate dies and leaves a vacancy which will amount the courts order of re-run of election a nugatory if such a vacancy is not replaced.

In our jurisprudence, judges make laws. However, such law-making should not defeat statute or result to conflicts with the Constitution. If that happens, the Constitution or any other statute prevails regardless the court’s dictum strength to the eyes of lawyers.

Njoki, SCJ, kept an eye on this and warned the court (Raila odinga case 2017). In his dissenting opinion, he followed the dictum enunciated in Olum vs. The Attorney-General of Uganda [2002] E.A. 508, thus:

“[T]he entire Constitution has to be read as an integrated whole and no particular provision destroying the other but each sustaining the other. Constitutional provisions must be construed as a whole in harmony with each other without insubordinating any one provision to the other”.

He further cited Re Kenya National Human Rights Commission, Supreme Court Advisory

Opinion Reference No. 1 of 2012, where the Kenyan supreme Court held as follows:

“It must mean interpreting the Constitution in context. It is the contextual analysis of a constitutional provision, reading it alongside and against other provisions, so as to maintain a rational explication of what the Constitution must be taken to mean in light of its history, of the issues in dispute, and of the prevailing circumstances. Such scheme of interpretation does not mean an unbridled extrapolation of discrete constitutional provisions into each other, so as to arrive at a desired result”.

WHAT IS THE MOTIVE OF NASA’S WITHDRAWAL FROM PROPOSED ELECTION

The NASA urges that their withdrawal from the scheduled election implies that the election headed on the 26th October stands cancelled, and the provisions of Article 138(1) (b) of the Constitution would become applicable, with fresh nominations ensuing. Without hesitation, this is an abuse of the court process and amounts to rape the Kenyan voters. Mr. Odinga and his colleagues might have thought and still think of rushing to court if it happens the election is held as scheduled. It seems now Mr. Odinga is using the court as a sword against his political rivals.

Justic J. B. Ojwang, had cast onto this in his dissenting opinion (Raila Odinga Case, 2017). He states at para 191:

“The foregoing principle was constantly reflected in the Supreme Court’s decisions rendered in 2013 and after – as is exemplified in George Mike Wanjohi v. Steven Kariuki and Two Others, Sup. Ct. Petition No. 2A of 2014, [2014], eKLR. In that case the Court thus pronounced itself [para.131]:

This Court should in principle, not substitute a sitting [elected representative] with another, without allowing the people to execute their political rights, as enshrined under the Constitution. To do otherwise would be to undermine the values and principles of democratic governance that bind us, in the execution of our judicial authority. It would also lead to an upset in the composition of the elected [office-holders] who bear the people’s sovereignty, and would stand out as a clear disregard of the founding provisions of the Constitution”

Mr. Odinga and the NASA at large are illegally trying to assume the powers of the voters of Kenya, and unlawfully trying to run the business of the IEBC, abusing and usurping the powers and jurisdiction of the Supreme Court.
 
Kwahyo kwa maoni hayo ulitaka odinga ashiriki sababu mahakama iliamuru hivyo ??? Ssa mabadiliko gani wamefanya mfano fomu hazikuwa na alama za kiusalama ili zisiwekwe karatasi bandia na mahakama ilitaka wasirudie kosa hilo ila IEBC wakarudi kwa kampuni ile ile na inarudia makosa yaleyale ssa Raila akishindwa sababu ya Kura bandia Si mtaona kma analialia tu? Hivyo kma ameshaona hayo yatatokea kivp ashiriki uchaguzi huo huo

Okay!

Endelea kumuona shujaa kwa kujitoa, ila kwangu amefanya kosa, na so far Kenyatta amekuwampole sana juu yake, naogopa pale atakapo anza kujibu mapigo sijuhi itakuwaje.
na kitendo cha kuanza kutumia majority yake Bungeni hakika ni kujibu mapigo.
je raila anao huwe uwezo zaid ya kufanya vurugu ?
 
Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.

Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo.
Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
Mkuu, CHADEMA hawawezi kufanya hayo kwa sababu wanamuunga mkono Rais Uhuru Kenyata na mambo yake yote. Tunasubiri Tume ya Kenya (IEBC) imtangaze Rais Uhuru kwamba ni mshindi halafu CHADEMA watampongeza mshirika wao huyo wa Kenya.
Wakati huo huo wamemsahau Maalim Seif mshirika wao wa UKAWA aliyesusia uchaguzi kule Zenji kwa sababu kadhaa ikiwa ni pamoja na hii ya NEC kutokuwa huru. Nafikiri wakishamaliza kumpongeza Uhuru Kenyata, watampongeza pia Rais Shein.

Full mixture.
 
Back
Top Bottom