Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,524
...Na rafiki mkubwa wa Raisi wa TZ..kwani Raila Odinga ni Mfalme wa Wajaluo, ..
Inaonekana huzijui siasa za Kenya kabisa kule hakuna chama dola kma hku huyo musyoka na odinga walikuwa serikali iliopita ilihali ruto akiwa mpinzani ghafla Leo musyoka mpinzani alafu ruto yupo chama tawala ssa usishangae 2020 ruto akawa mpinzani tena NASA alafu musyoka akawa mgombea urais wa Jubileee hivyo usikariri siasa za hapa au Uganda ukalinganisha na kenya wenzetu walishavuka kwenye uchama wanaangalia mtu basiMkuu, mimi sina maneno mengi. Ninachokisubiri mimi ni hiki.
Serikali ya JMT kupitia Ikulu kumpongeza Rais Uhuru Kenyata kwa kuchaguliwa tena kwa kishindo, na wakati huo huo kutakuwa na salamu za pongezi kutoka CHADEMA kumpongeza Rais Uhuru Kenyata kwa kuchaguliwa tena kwa kishindo, pengine na vijembe ndani yake kwa Raila Odinga na opposition side yote ya Kenya.
Waaaoooooo. What a coincidence 😀😀😀😀😀😀
Alikosea ila jubilee ina wabunge wengi kuliko NASA ingawa sio kwa gap kubwa kma hapa kwetu
Mkuu IEBC ilikuwa very clear kuwa uchaguzu wa marudio utafuata uamuzi wa kesi ya dhidi ya IEBC mwaka 2013 ilioamua kuwa uchaguzi ukirudiwa basi aliyepinga matokeo na aliyekuwa ameshinda ndio Watagombea na ikaenda mbali ikasema mmoja akijitoa uchaguzi utafutwa Ssa kwa maana hyo uchaguzi ulishafutika toka juzi odinga alipojitoa so hyo ndio janja yao mkilazimisha wataenda mahakamani na uchaguzi utafutwa tena hivyo hizo link hazina msaada wowote kwa ssa msubirie uchaguzi mpya ndani ya siku 90Pita na kwenye link hii, ni nyingine.
https://citizentv.co.ke/news/dida-and-japheth-kaluyu-to-join-repeat-poll-178103/
Embu acha upotoshaji mkuu wwe ndio huelewi kitu kuhusu kenya nakubali siasa ni za ukabila ila je ukabila unatosha kukupa wafuasi wengi!! kumbuka kuna makabila 42 ssa wajaluo ni 12% na wakikuyu ni 21% sasa hapo kivp Kenyatta au odinga watashinda???Siyo kweli hauzielewi Siasa za Kenya! Siasa za Kenya ni za Kikabila, yaani Kiongozi wa Chama Kenya ni Kiongozi au Mfalme wa Kabila fulani, hivyo basi yuko pale kwa ajili ya kuwakilisha Kabila lake maana yake ni kwamba hilo Kabila lote kwa ujumla wake liko nyuma yake akifanikiwa Kabila limefanikiwa akishindwa Kabila limeshindwa, ndo maana Raila Odinga ana backing ya Wajaluo 100% na wale wote wenye uhusiano na Wajaluo hivyo akishinda Mjaluo kashinda akishindwa hivyo hivyo, na hiyo ndiyo tofauti!
Sasa hiyo aina Siasa haijaanzia 2007 bali ni ya tangu Ukoloni, Muingereza alitengeneza hivyo aliita divide and rule ili awatawale wote. sasa Tanzania haikupitia hizo Siasa za divide and rule, hivyo huwezi kuleta Siasa za Kenya Tanzania hata ufanye nini kwa maana Watanzania labda ukiondoa Wachaga hawaoni kama kukiwa na Waziri wa kutoka kwao basi yeye anawawakilisha wao, ...
Hongera yako unayezijua siasa za nchi zote. Kumbe Kenya watakuwa na uchaguzi mwaka 2020!Inaonekana huzijui siasa za Kenya kabisa kule hakuna chama dola kma hku huyo musyoka na odinga walikuwa serikali iliopita ilihali ruto akiwa mpinzani ghafla Leo musyoka mpinzani alafu ruto yupo chama tawala ssa usishangae 2020 ruto akawa mpinzani tena NASA alafu musyoka akawa mgombea urais wa Jubileee hivyo usikariri siasa za hapa au Uganda ukalinganisha na kenya wenzetu walishavuka kwenye uchama wanaangalia mtu basi
Naona kama kitakamchotokea odinga ni kama kilichomtokea seif kule zanzibar kwa sheinMkuu IEBC ilikuwa very clear kuwa uchaguzu wa marudio utafuata uamuzi wa kesi ya dhidi ya IEBC mwaka 2013 ilioamua kuwa uchaguzi ukirudiwa basi aliyepinga matokeo na aliyekuwa ameshinda ndio Watagombea na ikaenda mbali ikasema mmoja akijitoa uchaguzi utafutwa Ssa kwa maana hyo uchaguzi ulishafutika toka juzi odinga alipojitoa so hyo ndio janja yao mkilazimisha wataenda mahakamani na uchaguzi utafutwa tena hivyo hizo link hazina msaada wowote kwa ssa msubirie uchaguzi mpya ndani ya siku 90
Mkuu, ukichomeka hoja hii wanasiasa wetu wa humu JF wanakataa. Wamemkana hadi Uhuru Kenyata eti hawamsapoti kwenye uchaguzi huu (kinyume na matamko ya Lowasa & Mbowe). Watanzania tunaweza sana siasa za "kula mingo".Naona kama kitakamchotokea odinga ni kama kilichomtokea seif kule zanzibar kwa shein
Kwa hiyo kwa akili yako chadema wasiposhiriki cuf lipumba haitashiriki? Vyama washirika wa ccm km cha mrema, cha cheyo, cha cck, cha yule mpare n.k hawatashiriki? Na wakishiriki si watakuwa wameuhalalisha huo uchaguzi? Fikra zako ni finyu sana! PambafHaya endeleeni kushiriki na halafu mkishindwa muanze kulia tume haiko huru.
Tatizo kuna baadhi ya wanasiasa wana mihemuko ya kisiasa kutikana na mtu fulani akisgaona upepo umemnyokea yaani baadhi hawana msimamo kwenye siasaMkuu, ukichomeka hoja hii wanasiasa wetu wa humu JF wanakataa. Wamemkana hadi Uhuru Kenyata eti hawamsapoti kwenye uchaguzi huu (kinyume na matamko ya Lowasa & Mbowe). Watanzania tunaweza sana siasa za "kula mingo".
Watu wengi hamjajua kwanini raila kafanya alichokifanya na hamjuhi hata katiba yao inasemaje pale mgombea anapojitoa.
Kifupi tu:-
1. Mgombea akijitoa huko kenya uchaguzi unasimmishwa na tume inatangaza upya wagombea.
2. raila alikuwa anamadai anataka yatekelezwe na Uhuru nadhani walikuwa wansingizia muda hautoshi na haupo.
3. So kitendo cha kujitoa ni msg kwa tume na serekali kuwa jipangeni sasa mfanye marekebisho na uchaguzi uitishwe upya.
All in all anacholingia Raila ni Katiba mpya ya kenya ambayo hakika imetoa uhuru mkubwa sana wa kidemokrasia kwa wapinzani. na nachofanya raila ni kuabuse huo uhuru, na hapa usifikiri NASA watakaa kimya kw avyovyote wana majority Bungeni so vipengele kama hivi hakika wataenda kuvibadilisha vyote, maana kwa sasa vinatumika vibaya.
Sasa washiriki wasishiriki kama kuibiwa kupo hamna faida yoyote. Afadhali ruzuku yao waitoe ifanye maendeleo mengine.Kwa hiyo kwa akili yako chadema wasiposhiriki cuf lipumba haitashiriki? Vyama washirika wa ccm km cha mrema, cha cheyo, cha cck, cha yule mpare n.k hawatashiriki? Na wakishiriki si watakuwa wameuhalalisha huo uchaguzi? Fikra zako ni finyu sana! Pambaf
Mkuu bado unasimamia hio kauli? Nimesikia uchaguzi unaendelea bila Raila....
Hivi hizi ID feki unaweza jua nani chadema au ccm?? Matamko ya kumuunga mkono Kenyatta yalitolewa na kamati kuu sasa ni lini kamati kuu imekana kumuunga mkono Kenyatta au cku hizi kamati kuu ya chadema ipo JF??Mkuu, ukichomeka hoja hii wanasiasa wetu wa humu JF wanakataa. Wamemkana hadi Uhuru Kenyata eti hawamsapoti kwenye uchaguzi huu (kinyume na matamko ya Lowasa & Mbowe). Watanzania tunaweza sana siasa za "kula mingo".
Jikite kwenye hoja sio typing errors kma hauna hoja ni heri ukae kimya kuliko kupotosha waTZ wasiozifaham siasa za kenyaHongera yako unayezijua siasa za nchi zote. Kumbe Kenya watakuwa na uchaguzi mwaka 2020!
Asante na kwaheri.
Povu la nini sasa wakati uliandika kwa kuchemka wewe mwenyewe! Aliyepotosha ni nani sasa kama sio wewe na hiyo 2020 ya Kenya? Au kuna mtu alikushikia keyboard? Makamanda wa kisasa (Lowasa Era) mbona mna mambo!Jikite kwenye hoja sio typing errors kma hauna hoja ni heri ukae kimya kuliko kupotosha waTZ wasiozifaham siasa za kenya
Hoja zikiisha unaanza kukimbilia mpka punctuation marks cjui unadivert mada ili iweje?? Next tym ukichangia mada za mambo usiojua chukua muda utafiti sio unakuja kishabiki unajidhalilisha tuPovu la nini sasa wakati uliandika kwa kuchemka wewe mwenyewe! Aliyepotosha ni nani sasa kama sio wewe na hiyo 2020 ya Kenya? Au kuna mtu alikushikia keyboard? Makamanda wa kisasa (Lowasa Era) mbona mna mambo!
Hata wale majaji waliteuliwa na Uhuru, Odinga atashindwa kwa ujinga wake wa kujifananisha na pombeKila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.
Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.
Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.
Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.
Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.
Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?
Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.
Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.
Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
SISI LENGO LETU NI RUZUKU MKUU HAYO YA ODINGA NI HUKO KENYAKila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.
Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.
Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.
Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.
Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.
Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?
Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.
Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.
Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.