Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

Rai kwa vyama vya upinzani Tanzania: Daini Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2020!

sisi niwatanzania mkuu kenya kufanya nn tena mbna husemi tujifunze kwa mgabe kule zimbabwe au korea ya kaskazini
 
Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.

Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.

Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.

Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.

Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?

Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.

Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.

Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
Sasa Maalim Seif amuige vipi Raila Odinga wakati Odinga ndio amecopy kwa maalim?
 
Sina mengi wala nisiwachoshe akili, ni wazi kama kuna upinzani wa kweli nchi hii basi tuache yote lianzishwe vuguvugu la kudai katiba mpya sasa na tume huru ya uchaguzi au kinyume chake wote tutulie tuiache ccm itawale milele na tumechoka na kelele za debe tupo kwa kauli za kijinga eti 'tunalaani'

Na katika hili ni lazima ijulikane wazi sadaka ya damu za watu ni lazima ili kumlazimisha mtu jeuri kama huyu mungu wa Tanzania atake au asitake ni lazima atasalimu amri na kufuata matakwa ya umma.

Tumechoka na siasa za kulalamika wakati wenzenu tayari wameshapanga safu ya 2020 (Wakurugenzi)kama hali ni hii hii mimi sintojisumbuwa kupiga kura na viongozi wa upinzani wakae wakijuwa wataanguka vibaya kwa sababu watu wote tusiopenda upuuzi hatutokuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi wa maigizo.

Mimi siwezi kumpigia kura mgombea ambaye hana hata wakala wa kuhakikisha kura yangu inahesabiwa je kuna umuhimu wa kupiga kura.

Amueni sasa, lianze vuguvugu sasa au mkae kimya daima mle tu ruzuku mnayoipata ili kuwazuga wazungu kwamba Tanzania tuna mfumo wa vyama vingi.
 
Sina mengi wala nisiwachoshe akili, ni wazi kama kuna upinzani kweli nchi hii basi tuache yote lianzishwe vuguvugu la kudai katiba mpya sasa na tume huru ya uchaguzi au kinyume chake wote tutulie tuiache ccm itawale milele na tumechoka na kelele za debe tupo kwa kauli za kijinga eti 'tunalaani'

Na katika hili ni lazima ijulikane wazi sadaka ya damu za watu ni lazima ili kumlazimisha mtu jeuri kama huyu mungu wa Tanzania atake au asitake ni lazima atasilimu amri na kufata matakwa ya umma.

Tumechoka na siasa za kulalamika wakati wenzenu tayari wameshapanga safu ya 2020 kama hali ni hii hii mimi sintojisumbuwa kupiga kura na viongozi wa upinzani wakae wakijuwa wataanguka vibaya kwa sababu watu wote tusiopenda upuuzi hatutokuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi wa maigizo.

Mimi siwezi kumpigia kura mgombes ambaye hana hata wakala wa kuhakikisha kura yangu inahesabiwa je kuna umuhimu wa kupiga kura.

Amueni sasa, lianze vuguvugu sasa au mkae kimya daima mle tu ruzuku mnayoipata ili kuwazuga wazungu kwamba Tanzania tuna mfumo wa vyama vingi.

katika vitu ambavyo mnyampara hataki kuvisikia ni pamoja na katiba mpya
 
Tatizo Mr. Haambiliki hatoruhusu hili, watanzania tumeingia kwenye siasa kama za central Africa huku tunajiona.
 
Vuguvugu litaanzaje wakati aliyefanya figisu kuvuruga mchakati wa awali mnaye unafikiri atakubali nae ana maslahi huku anawazuga nyinyi!
 
Kwani mnapozungumzia "upinzani" huwa mna maanisha nini !? Siwaelewi.

Upinzani unajengwa na sisi wananchi wala sio bendera ama rangi za sare za vyama.Ka ma sisi wananchi hatuoni umuhimu wa kujiunga nao ama kusimama upande huo,hatutaki kuwa sehemu yake kamwe hakuna upinzani.

Tuache hii tabia ya kuamini kuna aliyepewa jukumu la kuupa nguvu upinzani na sisi kujiweka kando...
Kama kweli tunachukizwa na tunayotendewa na watawala,tuondoe woga,ubinafsi na unafiki...TUJIUNGE UPINZANI.
Vinginevyo kaa kimya,ufyate.
 
Sina mengi wala nisiwachoshe akili, ni wazi kama kuna upinzani kweli nchi hii basi tuache yote lianzishwe vuguvugu la kudai katiba mpya sasa na tume huru ya uchaguzi au kinyume chake wote tutulie tuiache ccm itawale milele na tumechoka na kelele za debe tupo kwa kauli za kijinga eti 'tunalaani'

Na katika hili ni lazima ijulikane wazi sadaka ya damu za watu ni lazima ili kumlazimisha mtu jeuri kama huyu mungu wa Tanzania atake au asitake ni lazima atasilimu amri na kufata matakwa ya umma.

Tumechoka na siasa za kulalamika wakati wenzenu tayari wameshapanga safu ya 2020 kama hali ni hii hii mimi sintojisumbuwa kupiga kura na viongozi wa upinzani wakae wakijuwa wataanguka vibaya kwa sababu watu wote tusiopenda upuuzi hatutokuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi wa maigizo.

Mimi siwezi kumpigia kura mgombes ambaye hana hata wakala wa kuhakikisha kura yangu inahesabiwa je kuna umuhimu wa kupiga kura.

Amueni sasa, lianze vuguvugu sasa au mkae kimya daima mle tu ruzuku mnayoipata ili kuwazuga wazungu kwamba Tanzania tuna mfumo wa vyama vingi.
Kweli Tupu.
 
CHADEMA ilijengwa na Dr. Slaa............Mbowe hajawahi kujenga chama hata siku moja.....Slaa alivyoondoka na chama kimekufa.........uchaguzi ujao 2020 ndio tunaizika CHADEMA rasmi
 
Wakutuongoza kudai katiba alikuwa pro lipumba, kwa kuwa anasubiria uteuzi na ametekwa na masisiemu ndio bhas tena, mwingine ni tundu lissu, huyu sasa sijui atapona lini!!? Kwa sasa hakuna wa kutuongoza kudai katiba mpwa, pia sizonje kasema katiba sio kipaombele chake!
 
Wamdai nani? Yaani tuwasaidienu kupata nguvu za kututoa? Hamuwezi kuwa serious, halafu kudai kwenyewe mnadai kiulauni kama mlenda au ndizi iliyoiva.
Mbaya zaidi viongozi weny wa upinzani mmeweka watu wenye hofu ya kupoteza vingi, umewahi kuona wapi uongozi wa aina ukafanikisha jambo? Unadhani Mugabe alikuwa ni Tajiri mpaka kufikia pale? Mandela? Nyerere? Hao wote hawakuwahi kuuza hata sindano lakini nyuma yao kulikua na matajiri na wafanya biashara wasioonekana.
Hiyo tabia ya siasa za kuhongwa na wanaotaka madaraka ndiyo zimepelekea watu wenye uwezo kifedha na wafanyabiashara ndiyo wajae kwenye uongozi wa kisiasa matokeo yake wanapohitaji kuongoza mabadiriko ya kweli wanajawa na hofu ya kupoteza vingi.
Mfano CHADEMA leo hii ingekuwa na vijana zero brain fulani na waliochoka kabisa kimaisha na wasio na cha kupoteza halafu mkawaweka hao kwenye uongozi, mngeona mtiti wake, kwa mseto huo nchi ingenyooka tu hii.
Hao vijana ndiyo wangekua wanaongoza vyama halafu serikalini ndiyo mnapeleka hao wasomi wenu. Nawaapieni mngeuona mziki wake.
Lakini kwa mtindo huu wa kuwakabidhi chama hao wafunga tai wenu wenye madili kibao mjini na biashara kadhaa, mtasubiri sana. Huu ni ushauri nimewapeni msingeupata popote pale. Tambueni kuwa nchi yetu bado ina jungle leaders, nchi yenye rais kama tuliye naye sasa anatakiwa kukabiliana na watu wehu siyo watu smart. Na yeyw kwa kuwaogopa wehu wenzake au waliomzidi na wasiohofia chochote ndiyo maana akaanza kwa kum neutraluze Prof. Lipumba kwanza
 
Hakuna Kifo kisichokuwa na Sababu hata M2 ajinyonge kwa mikono yake bado Postmortem itatumika
 
CHADEMA ilijengwa na Dr. Slaa............Mbowe hajawahi kujenga chama hata siku moja.....Slaa alivyoondoka na chama kimekufa.........uchaguzi ujao 2020 ndio tunaizika CHADEMA rasmi
Mimi siyo Chadema lakini huijui Chadema kaa kimya.

Tangu vikao vya kuianzisha Chadema kwa siri vikao vilikuwa vinafanyika Masaki kwa Mzee Kimesera na kina Mtei Mbowe alikuwa ndio karani wao, Dr Slaa alikuwa bado anakula sadaka za waumini kanisani na alikuwa na kadi ya ccm.

Ukitaka kujuwa chama kinajengwaje muulize Zitto Kabwe leo na ACT yake, maana hata Zitto alikuwa anaamini yeye ndio kaijenga Chadema na siyo Chadema imemjenga yeye.
 
hao wakina Mtei ni waanzilishi wa chama mkuu lakini alieipa CHADEMA nguvu ni dr. slaa baada ya kuibua hoja nyingi za madudu ya serikali...........hata TLP, NCCR zina waanzilishi wao lakini sio maarufu kama CHADEMA..........toka slaa aondoke na umaarufu wa chadema umeisha
h
 
Wamdai nani? Yaani tuwasaidienu kupata nguvu za kututoa? Hamuwezi kuwa serious, halafu kudai kwenyewe mnadai kiulauni kama mlenda au ndizi iliyoiva.
Mbaya zaidi viongozi weny wa upinzani mmeweka watu wenye hifu ya kupoteza vingi, umewahi kuona wapi uongozi wa aina ukafanikisha jambo? Unadhani Mugabe alikuwa ni Tajiri mpaka kufikia pale? Mandela? Nyerere? Hao wote hawakuwahi kuuza hata sundano lakini nyuma yao kulikua na matajiri na wafanya biashara wasioonekana.
Hiyo tabia ya siasa za kuhingwa na wanaotaka madaraka ndiyo zimepelekea watu wenye uwezo kifedha na wafanyabiashara ndiyo wajae kwenye uongozi wa kisiasa matokeo yake wanapohitaji kuongoza mabadiriko ya kweli wanajawa na hofu ya kupoteza vingi.
Mfano CHADEMA leo hii ingekuwa na vijana zero fulani fulani na waliochoka kabisa kimaisha na wasio na cha kupoteza halafu mkawaweka hao kwenye uongozi, mngeona mtiti wake, nchi ingenyooka tu hii.
Hao vijana ndiyo wangekua wanaingoza vyama halafu serikaluni ndiyo mnapeleka hao wasomi wenu. Nawaapienu mngeuona mziki wake.
Lakuni kwa mtindo huu wa kuwakabidhi chama hao wafunga tai wenu wenye madili kibao mjuni na biashara kadhaa, mtasubiri sana. Huu ni ushauri nimewapeni msingeupata popote pale.
Rubbish. Total nonsense.
 
Back
Top Bottom