Raia 10,000, wataalamu 140

Raia 10,000, wataalamu 140

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East

Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East
Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer, nk.

Ni taifa lenye uwiano mkubwa wa watalaam. Kwa mfano, kwenye idadi ya watu 10000, Israel ina watalaamu 140. Ina maana kwenye watu 10000, Utapata madaktari bingwa 140, ma engineer 140.

Tuache utani, hawa jamaa wamejizatiti.
Screenshot_20240221-091324.jpg
Screenshot_20240221-091400.jpg
 
View attachment 2910857
View attachment 2910859

Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East

Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East
Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer, nk.

Ni taifa lenye uwiano mkubwa wa watalaam. Kwa mfano, kwenye idadi ya watu 10000, Israel ina watalaamu 140. Ina maana kwenye watu 10000, Utapata madaktari bingwa 140, ma engineer 140.

Tuache utani, hawa jamaa wamejizatiti.
Weka statistics nauhakika hawafiki hata kwa Iran.
 
Hamas hawataki kujua hilo wao wanatembeza kichapo tu kwa mashoga...
 
Kiukweli wangekua weusi ningewapa kongole,lakini hao ni wazungu wanatumia rasilimali zote walizonazo kwa uweredi mkubwa.

nchi za waafrica hata tupewe misaada na nchi zote tajiri Dunia bado tutakwama.
 
Back
Top Bottom