Raia 10,000, wataalamu 140

Raia 10,000, wataalamu 140

Unadhani humu kila mtu ni mpumbavu kama ww? Hebu weka takwimu za nchi zote za mashariki ya kati ili kudhibitisha madai yake.
 
hiyo Africa yenu kuna mradi mmefanya kwa cash ?
Kumbe umekubali kwamba Israel inastawi Kwa Hisani ya USA .
Jana yenyewe Israel kakingiwa kifua na baba yake USA pale UN kuhusu kuondoka Gaza .
Kwa hiyo, tunahitimisha Kwa kusema kwamba "msimvimbishe sana kichwa Israel" .
 
Kama unadhani Kuna nchi inapata misaada Kama Israel basi unajidanganya
Issue siyo kupata misaada,issue ni matumizi sahihi ya huo msaada. Sehemu kubwa ya misaada inayokuja Africa huishia mifukoni mwa viongozi sababu ya Rushwa.
 
View attachment 2910857
View attachment 2910859

Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East

Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East
Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer, nk.

Ni taifa lenye uwiano mkubwa wa watalaam. Kwa mfano, kwenye idadi ya watu 10000, Israel ina watalaamu 140. Ina maana kwenye watu 10000, Utapata madaktari bingwa 140, ma engineer 140.

Tuache utani, hawa jamaa wamejizatiti.
Ni kweli ni wazungu waliohamia huko kutoka ulaya na Marekani. Unamfanishaje mwarabu na mzungu. Afrika kusini imeendelea Kwa sababu ya wazungu. Kwahiyo ni maendeleo yaliyohamishwa kutoka Kwa ndugu zao ulaya na marekani
 
Usije ukasema kuwa Israel wanaisadia Marekani Kwa teknolijia hapana, ni Marekani ndio wanao isaidia Israel, Marekani imekuwepo KABLA ya kuanzishwa taifa la israel
 
Issue siyo kupata misaada,issue ni matumizi sahihi ya huo msaada. Sehemu kubwa ya misaada inayokuja Africa huishia mifukoni mwa viongozi sababu ya Rushwa.
Na inayoenda gaza inaenda kutengeneza vilipuzi na nahandaki chini ya hospital
 
View attachment 2910857
View attachment 2910859

Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East

Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East
Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer, nk.

Ni taifa lenye uwiano mkubwa wa watalaam. Kwa mfano, kwenye idadi ya watu 10000, Israel ina watalaamu 140. Ina maana kwenye watu 10000, Utapata madaktari bingwa 140, ma engineer 140.

Tuache utani, hawa jamaa wamejizatiti.
Kuhusu utaalamu na teknolojia, bada ya vita vya Yom Kippur vya mwaka 1973 kati ya Israel na Waarabu, Marekani ilitoa msaada kwa Israel na kwa Waarabu wa silaha na wataalamu wa kufundisha kutumia hizo silaha. Maelezo ya Marekani yalikuwa kwamba kama kila upande ukijua mgomvi wake amejizatiti vyema kisilaha, wote watasita kuanzisha tena vita. (Uhalisia wa hoja hiyo uko nje ya mada hii).
Misri walipokea silaha, ndege za vita na wataalamu wa kuwafunza. Israel ikasema inahitaji hizo silaha na ndege tu. Haina haja na wataalamu. Na hivyo ndivyo ikawa.
 
Acha uongo 🤣🤣🤣 yaani wa Tanzania kwa uongo balaa unavyo hadithia utafikiri ulikuwepo
 
Kumbe umekubali kwamba Israel inastawi Kwa Hisani ya USA .
Jana yenyewe Israel kakingiwa kifua na baba yake USA pale UN kuhusu kuondoka Gaza .
Kwa hiyo, tunahitimisha Kwa kusema kwamba "msimvimbishe sana kichwa Israel" .
ni aibu kuiponda Israel inayotumia vzr mapato yake hlf upo kimya juu ya ccmu kugawana misaada na mikopo inayolenga kuijenga nchi
 
Ni kweli ni wazungu waliohamia huko kutoka ulaya na Marekani. Unamfanishaje mwarabu na mzungu. Afrika kusini imeendelea Kwa sababu ya wazungu. Kwahiyo ni maendeleo yaliyohamishwa kutoka Kwa ndugu zao ulaya na marekani
kwa kauli yako hii una comfirm kuwa mwafrika naaendeleo ni - n +
 
Acha uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani wa Tanzania kwa uongo balaa unavyo hadithia utafikiri ulikuwepo
usipende UBISHI wa kitoto , kitu hujui fuatilia ukishindwa kaa kimya , unasema UONGO ila huez toa UKWEL ,na ndio viongoz tunawapata kama jamii ya watu kama nyinyi kung'ang'ania mawazo yenu bila ushahidi bali hisia ndo inakuwa push factor baadae mnalaumu wazungu
 
Acha uongo 🤣🤣🤣 yaani wa Tanzania kwa uongo balaa unavyo hadithia utafikiri ulikuwepo
Kama huamini fanya hata ku-google basi. Hii siyo siri. Mashirika makuu ya habari yalitangaza na hata Serekali ya Marekani yenyewe ilitangaza.
 
Back
Top Bottom