Kwa upande fulani, mimi kama mwananchi wa kawaida na mtu ambaye huduma nyingi huwa nazipata kutoka kwenye maofis ya umma, ukweli kabisa wafanya kazi wanapohitaji kuongezewa mshahara, walau nao wawe wameweza kuishawishi serikali kwa kutendea haki taaluma zao
Sasa huko maofisini, huduma zinazotolewa na wafanyakazi ni za hovyo, rushwa, manyanyaso, utadaije kuongezewa mshahara kwa namna hiyo?
Ila kama ni majanga, hayajawahi kuisha