Raia amshauri Rais Samia asiongeze mishahara

Raia amshauri Rais Samia asiongeze mishahara

Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa.

Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa.

Huyu ametumwa namuona kama Yule muuza jogoo wa pale kulwa na Yule muuza mahindi wa pale Dumila

View attachment 2977748
Niujinga kulialia kuongeezwa mishahaara, kazi ni utumwa.

Wafanyakazi mnashindwa hata na wauza madafu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande fulani, mimi kama mwananchi wa kawaida na mtu ambaye huduma nyingi huwa nazipata kutoka kwenye maofis ya umma, ukweli kabisa wafanya kazi wanapohitaji kuongezewa mshahara, walau nao wawe wameweza kuishawishi serikali kwa kutendea haki taaluma zao

Sasa huko maofisini, huduma zinazotolewa na wafanyakazi ni za hovyo, rushwa, manyanyaso, utadaije kuongezewa mshahara kwa namna hiyo?

Ila kama ni majanga, hayajawahi kuisha
Ndiyo sio watumishi tu,wabongokaribia wote tunamiyeyusho yetu kwenye kazi ila watumishi WANASTRESS pia.

Wanaona wenzao wengine hawawazi shida ndogondogo wanapokuwa kazini kutokana na mshahara angalau,allowances,nyumba na magari vyote serikali inawapa lakini wao ni mshahara angalau,kidogo yupo na allowances afu wengine ni mshahara tu.

Ukigeuka huku unasikia ripoti ya C.A.G,afu mshahara wako mchumba tu ukilinganisha na walio kwenye ripoti ya c.a.g
 
Kwani Rais anaendeleza ubabe wa Rais wa awamu ya 5 kuhusu nyongeza ya mishahara Kwa watumishi wa umma?
 
Back
Top Bottom