Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.

Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .

Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.

Kongole kwenu wairan

View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e

@Accumen mjingamimi adriz Ritz na FaizaFoxy watabisha
 
chuki ipi? linganisha maendeleo ya iran kabla ya mapinduzi na baada ya mapinduzi yaliyomfanya ayatoula mungu mtu pale iran.
Nchi ya watu mil 88 na pia ndiyo center ya ushia ulimwenguni vile ilivyo Saudia kwa masunni basi ndivyo ilivyo iran kwa mashia pamoja na iraq ni ngumu kuangusha iran kwa kuwa fighters watatoka maeneo mbalimbali ya washia kwenda kuwatetea kama vile ulaya wanavoenda kutetea israel ndio hawa wengine wataenda kuitetea na bahati mbaya wale wanaoitetea iran wanakuwa wanaitetea kwa misingi ya dini that is the worst war . Pale middle east kitu kinahitajika ni peaceful coexistent kati ya israel na iran wanahitaji dialogue hakuna wa kumshinda mwenzake kama ni nguvu iran is powerful kuliko israel ila kama ni marafiki wenye nguvu basi israel anao marafiki wenye nguvu sana kuliko iran sasa hapo suluhu ni dialogue tu ila hakuna mbabe .
 
uko sahihii
 
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.

Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .

Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.

Kongole kwenu wairan

View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e

Habari za Iran unazitoa CBN NEWS😃
Endelea kujiliwaza wewe na mapunguani wenzako.
 
Nchi ya watu mil 88 na pia ndiyo center ya ushia ulimwenguni vile ilivyo Saudia kwa masunni basi ndivyo ilivyo iran kwa mashia pamoja na iraq ni ngumu kuangusha iran kwa kuwa fighters watatoka maeneo mbalimbali ya washia kwenda kuwatetea kama vile ulaya wanavoenda kutetea israel ndio hawa wengine wataenda kuitetea na bahati mbaya wale wanaoitetea iran wanakuwa wanaitetea kwa misingi ya dini that is the worst war . Pale middle east kitu kinahitajika ni peaceful coexistent kati ya israel na iran wanahitaji dialogue hakuna wa kumshinda mwenzake kama ni nguvu iran is powerful kuliko israel ila kama ni marafiki wenye nguvu
How do you peacefully coexist na mtu ambaye anajiona ndo ana haki na bora kuliko mtu mwingine yoyote chn ya jua, mtu ambaye hata akienda nchi za watu wenye tamaduni tofaut na yeye anataka watu waache tamaduni zao wafuate za kwake. how do yo coexist wth such a person?
 
Nchi ya watu mil 88 na pia ndiyo center ya ushia ulimwenguni vile ilivyo Saudia kwa masunni basi ndivyo ilivyo iran kwa mashia pamoja na iraq ni ngumu kuangusha iran kwa kuwa fighters watatoka maeneo mbalimbali ya washia kwenda kuwatetea kama vile ulaya wanavoenda kutetea israel ndio hawa wengine wataenda kuitetea na bahati mbaya wale wanaoitetea iran wanakuwa wanaitetea kwa misingi ya dini that is the worst war . Pale middle east kitu kinahitajika ni peaceful coexistent kati ya israel na iran wanahitaji dialogue hakuna wa kumshinda mwenzake kama ni nguvu iran is powerful kuliko israel ila kama ni marafiki wenye nguvu basi israel anao marafiki wenye nguvu sana kuliko iran sasa hapo suluhu ni dialogue tu ila hakuna mbabe .
Nchi yenye nguvu zaidi Middle East or Arab World ni Saudi Arabia, na pia ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi kuliko nchi nyingine yoyote ile ya ki-Arab hapa duniani. Aidha, Saudi Arabia ni rafiki mkubwa zaidi wa nchi ya Marekani.
 
Kama siyo propaganda hicho kichwa cha habari andika "wa Iran million 1 wamekua makafiri"
KAFIRI maana yake halisi hii hapa kwenye andiko:

Yuda 1:4
Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
 
Naona inaeleweka
 
siku nikisikia kichwa cha ayatoula kimeliwa itakuwa poa sana, badala ya kuwaza maendeleo ya nchi anawaza kujenga misikiti na kufadhili ugaid, bure kabisa.
Kuna mambo huyajui kuhusu Ayatollah;
1. Ana utajiri wa karibu sawa na bajeti ya miaka 30 ya tz
2. Ukoo wao ni dynasty yenye utajiri na ujuzi wa uongozi tangu enzi za akina AHASUERO (King Xerxes)
3. Ni rahisi kuletewa koromeo la shetani kuliko koromeo la Ayatollah
4. Haujaanza wewe kumtakia mabaya Ayatollah kuna wakati CIA walianza kuzisaka mali na uwekezaji wa huyu mwamba nje ya Irani ikiwamo ulaya na Marekani waliishia patupu pamoja na kwamba huyu jamaa anazo biashara za matrilioni hapo US sembuse wewe mwenye shida na ufukara wa kutisha ndio dua lako litamfikia kweli?
 
maajabu mengine ya musa haya, kwa hyo kumbe ayatoula ni ukoo au familia fulani, ama kwel jf viazi haviishi.
 
Back
Top Bottom