Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.

Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .

Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.

Kongole kwenu wairan

View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e

Kwani kusimama kwa serikali ya irani kunategemea dini au wahuni walitumia mwamvuli wa dini?
 
KAFIRI maana yake halisi hii hapa kwenye andiko:

Yuda 1:4
Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
Sasa si umeshamkana mola kwa kumuita yesu mungu kwahiyo jina kafiri liko sehemu sahihi
 
Sasa si umeshamkana mola kwa kumuita yesu mungu kwahiyo jina kafiri liko sehemu sahihi
Utaokoka ukifa chuki inaonekana iko deep

we kwako kweli iko mbali naww mfupi
 
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.

Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .

Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.

Kongole kwenu wairan

View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e

Hapa Rufiji, Kuwait fund wanaleta tende na Kujenga visima vya maji Safi. Takbiir
 
How do you peacefully coexist na mtu ambaye anajiona ndo ana haki na bora kuliko mtu mwingine yoyote chn ya jua, mtu ambaye hata akienda nchi za watu wenye tamaduni tofaut na yeye anataka watu waache tamaduni zao wafuate za kwake. how do yo coexist wth such a person?
Yes peaceful coexistence nor matter what or else choose violence which is bad choice.
 
Nchi yenye nguvu zaidi Middle East or Arab World ni Saudi Arabia, na pia ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi kuliko nchi nyingine yoyote ile ya ki-Arab hapa duniani. Aidha, Saudi Arabia ni rafiki mkubwa zaidi wa nchi ya Marekani.
Powerful ni relative term russia is military power vs china financial power ila usa has both.
 
Kafiri ni kwanyinyi mliofundishwa chuki
Kwa wakristu kafiri ni mtu ambae hana dini!
chuki inaua mkuu achana na hiyo chuki ya waarabu
FACT AND TRUTH, TRADE MARK YA QURAN ANAYO MWARABU, NA TRADE MARK YA BIBLIA ANAYO MZAYUNI, MNAGOMBANIA KITU GANI?
 
Kumbe iran ndo ina highest number of drugs addiction????
Kama vile Zanzibar walivojaan wa kina nani viileee.... 🤭🤭wenzie yule Askari ALIESHATAKIWA, akashinda... Na sheria ya Imani yao wameishika haswa.... 😁 😁 😁
 
Kuna mambo huyajui kuhusu Ayatollah;
1. Ana utajiri wa karibu sawa na bajeti ya miaka 30 ya tz
2. Ukoo wao ni dynasty yenye utajiri na ujuzi wa uongozi tangu enzi za akina AHASUERO (King Xerxes)
3. Ni rahisi kuletewa koromeo la shetani kuliko koromeo la Ayatollah
4. Haujaanza wewe kumtakia mabaya Ayatollah kuna wakati CIA walianza kuzisaka mali na uwekezaji wa huyu mwamba nje ya Irani ikiwamo ulaya na Marekani waliishia patupu pamoja na kwamba huyu jamaa anazo biashara za matrilioni hapo US sembuse wewe mwenye shida na ufukara wa kutisha ndio dua lako litamfikia kweli?
Ayatoallah ni little usitishie watu hapa mna tabia ya kuabudu watu kweli ndo maana Mohamad licha ya ushetani wake wote aloutenda bado mnamwona ni mtume wa Mungu!
 
Back
Top Bottom