Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.
Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .
Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.
Kongole kwenu wairan
View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e
Acha wewe. Drone, ndege, misile, nuclear, cars, michinery nk. Vyote wametengeneza awamu ya ayatoula khomein. Iran ingekuwa kama Saudia bila hao jamaa.maendeleo iran yalikuwepo kabla ya miayatoula, baada ya hayo miayatoula hamna kitu zaidi ya misikiti na kufadhili ugaid.
Mbona nyie mnasema kwamba wakristo wanauliwa huko ? sioni hoja zenu hao wakristo million moja wanaishije huko ?
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.
Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .
Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.
Kongole kwenu wairan
View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e
Mbona mnasema kwamba Iran mtu akibadili dini anauliwa ?
Haah mbona hamueleweki ?Mbona ukisoma biblia huwezi kuwa mkristo ?Siku hizi wamegundua ya kuwa uislam siyo dini bali ni ujanja wa waarabu wa kuendeleza desturi, tamaduni na ustaarabu wao kwa watu wengine. Yaani kama mkiwa mnasoma biblia na kuielewa, ni kama vile mayahudi yalivyokuwa akilazimisha watu wasio mayahudi kutahiri ili wawe wakristo. Wakati kutahiri hakuhusiani na dini bali desturi za kimayahudi na dini yao ya kiyahudi.
Wewe jamaa nimeanza kuamini kuwa huko chini kumekuachia.......baada ya kutoka jelaKama siyo propaganda hicho kichwa cha habari andika "wa Iran million 1 wamekua makafiri"
basi hujui historia ya Iran, wewe umeshughulika na neno Ayatollah tu. Kasome zaidi historia ya Iran kijana.maendeleo iran yalikuwepo kabla ya miayatoula, baada ya hayo miayatoula hamna kitu zaidi ya misikiti na kufadhili ugaid.
Kati ya wangapi?milion moja ni ndogo mkuu??
Wayahudi Wairan wapo pia.Mbona nyie mnasema kwamba wakristo wanauliwa huko ? sioni hoja zenu hao wakristo million moja wanaishije huko ?
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.
Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .
Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.
Kongole kwenu wairan
View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e
Wakristo iran wapo wengi tu , wanaishi tatizo lao hawataki zile haki wanazodai za kutembe a uchi ndio hatari na ubishi wa kufuata sheria .Wayahudi Wairan wapo pia.
Wairan na wayahudi ni race moja wanatokea kweny ukoo mmoja ..Wayahudi Wairan wapo pia.
sawa bitibasi hujui historia ya Iran, wewe umeshughulika na neno Ayatollah tu. Kasome zaidi historia ya Iran kijana.
Sasa ndio msiite watu magaidi na wao pia wananyumba zao na familia za kulinda it goes both ways.Kama jirani hatak aman, hamna namna nyingine ya kudeal naye, maana kuna siku ataniambia nimwachie nyumba yangu na mke wangu nisepe.