Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

Teh! Teh! Teh!

Hakuna Mkristo wala muislamu alie huru......

Uhuru wao wa kweli ni mpaka siku yao ya Mwisho....

NB: Religion is your Freedom trap .
 
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.

Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .

Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.

Kongole kwenu wairan

View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e

Kutoka dini moja kwenda dini nyingine ni akili ile ile . Kwa nini wasiwe budha au dini nyingine.
Bado wamefungwa ktk dini za Abraham.
 
maendeleo iran yalikuwepo kabla ya miayatoula, baada ya hayo miayatoula hamna kitu zaidi ya misikiti na kufadhili ugaid.
Acha wewe. Drone, ndege, misile, nuclear, cars, michinery nk. Vyote wametengeneza awamu ya ayatoula khomein. Iran ingekuwa kama Saudia bila hao jamaa.
 
Iran inatakiwa kuachana na mfumo wa kuendesha nchi kidini. Nchi yenyewatu wenye IQ kubwa duniani inaendeshwa kidini ni kudumiza matumizi ya akili za watu.
 
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.

Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .

Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.

Kongole kwenu wairan

View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e

WaIran ni watu makini na waliwahi kuwa taifa lenye nguvu kuzidi hata marekani ilivyo leo. Sasa wameona kwamba kuendelea kushikilia desturi, mila, tamaduni na ustaarabu wa waarabu ni ujinga na siyo matumizi sahihi ya uwezo wa kufikiri. Baada ya hapo tegemea kuona mabadiliko makubwa ya kijamii na kitamaduni ya watu wa Irani. Pia mjue ya kuwa waIran na waarabu ni chui na paka. Hawaivi chungu kimoja ndiyo maana wanamkakati wa kuachana kabisa na desturi za kiarabu walizozificha kwenye kivuli cha dini ya kiislam.
 
Mbona mnasema kwamba Iran mtu akibadili dini anauliwa ?

Siku hizi wamegundua ya kuwa uislam siyo dini bali ni ujanja wa waarabu wa kuendeleza desturi, tamaduni na ustaarabu wao kwa watu wengine. Yaani kama mkiwa mnasoma biblia na kuielewa, ni kama vile mayahudi yalivyokuwa akilazimisha watu wasio mayahudi kutahiri ili wawe wakristo. Wakati kutahiri hakuhusiani na dini bali desturi za kimayahudi na dini yao ya kiyahudi.
 
Haah mbona hamueleweki ?Mbona ukisoma biblia huwezi kuwa mkristo ?
 
Kama siyo propaganda hicho kichwa cha habari andika "wa Iran million 1 wamekua makafiri"
Wewe jamaa nimeanza kuamini kuwa huko chini kumekuachia.......baada ya kutoka jela
 
Hii ndio sababu nawadharau sana wafuata dini kikondoo, hasa wa Kiafrikakama wewe. Dini haina faida yoyote wala mchango wowote kiakili, kiuchumi wala kimaendeleo. La sivyo China, Korea na Japan wangekuwa masikini wa kutupwa sababu hawaamini dini yoyote kati ya hizo mbili.

Ni kujitambua, kujiamini kwao na uthubutu wao ndio umewafikisha Asians walipo. Kitu ambacho ni highly admirable kwa wanaojitambua.

On another hand hii thread inasikitisha. It's despicable.
 
milion moja ni ndogo mkuu??
Kati ya wangapi?
Kwa mfano Iran ina idadi ya watu takriban 89.9 million. (Roughly 90 mil.) kwa mahesabu, milioni moja ni 1/90 = 0.01 i.e. only 1% . Idadi hiyo ni ndogo sana haileti athari itakayosababisha Jamii ishtuke. Jamii inaipuuzia. It is an Insignificant figure.
 
Wakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.

Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .

Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.

Kongole kwenu wairan

View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e

Ukisikia muislamu kawacha dini basi anakuwa ameingia kwenye mpira na ulevi na haingii Ukristo.
Wakristo wenyewe wanauwacha pembeni ukristo wao ama kuwa waislamu au mashetani wa mpira na muziki.
 
Wayahudi Wairan wapo pia.
Wakristo iran wapo wengi tu , wanaishi tatizo lao hawataki zile haki wanazodai za kutembe a uchi ndio hatari na ubishi wa kufuata sheria .

Habari hyo ni uongo maana mwandishi anachanganya video nyingine kutoka nchi kama syria ...PiA anonyesha msimamo wake wa kdinin.

Hivi media uya kweli inaweza kuwa na msimamo wa dini moja kweli ? 😀 😀 😀
Screenshot (248).png
 
Kama jirani hatak aman, hamna namna nyingine ya kudeal naye, maana kuna siku ataniambia nimwachie nyumba yangu na mke wangu nisepe.
Sasa ndio msiite watu magaidi na wao pia wananyumba zao na familia za kulinda it goes both ways.
 
Back
Top Bottom