Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Jamaa bora tu angeenda Mwanza kwenye maandamano kuna usalama
 
Ngumi ya komando
Ngumi Iko vizuri kuanzia sipdi ya kupiga timely,Shabaha ya kupiga panapostahili na kuleta matokeo stahiki at the right time na bila ku disrupt mwendelezo wa kazi yake ya kusindikiza msafara akiwa mbele na position yake ya mbele alibaki nayo pale pale bila kuhitaji mtu atoke nyuma kuja ku take over position yake aliyokuwa nayo.Ni study case nzuri sana Kwa walinzi wa misafara .Hiyo clip itumike Hadi vyuo vya kijeshi vinavyofunza Escort

Yuko fit.mwepesi kupiga na ku maintain position yake bila ku loose position yake at the same time in very short time spidi ya mwewe.na kuendelea na majukumu yake ya msafara same position kituo kile kile Cha kazi kwenye msafara
 

Aliyepigwa anakiburi
 
Kazi za ulinzi ni miongongoni mwa kazi za ovyo kuwahi kutokea duniani?
Ukiwa mlinzi unakuwa mtu wa stress na msongo wa mawazo na ukizingatia siku izi watu wanaingia sehemu kutafuta pesa , mwingine amesoma ualimu, hafu unamkimbiza barabarani namna ya ukuruti, kwa Nini asikushushie ngumi.
 
Hao mazuzu utakuta wakistaafu wanapata mafao kiduchu halafu wanaanza kulalama na wenzao hawana hata habari nao,hao askari wengi ni kama hawajielewi wakiwa kazini wanafikiri wapo kundi moja na hao watawala kumbe wanatumika tu kama tambala la deki.
 
Sasa huyo boda nadhani alikuwa anampenda sana Magu akamue afe naye
 
Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa lowasa msije mkapigwa ngumi za uso au Risasi. Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio walio mpenda.
Japo picha kama video hakuna
 
Mwombolezaji wa watu tangu jana hajala kwa huzuni sasa yamemkuta ya kumkuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…