Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Hivi inakuwaje mtu mzima kabisa unakaa barabarani kutazama maiti ya mwenzako? Pumbavu zaoMlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa
Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
Wewe huijui ?Kazi gani ina laana?
Halafu mwana unacheka kabisa.Ahahahhahaha aisee hizo ngumi za sampuli hii unazikuta Ukraine, Gaza na maeneo kama Chechinia.
Ila maisha haya aisee! Sasa kwa ngumi hii sijui kama Jamaa atapona
Angalia tena. Huyu jamaa aliokota kitu akataka kutupia msafarahuyu afisa achukuliwe hatua kali
Mkuu Huwa inaniuma sana kuona maskini wanapitia maisha ya kunyanyaswa na kudharariwa Unafikri angekuwa Tajiri hapo angepigwa hiyo ngumi?Mkuu umeongea Kwa uchungu sana
Tii Sheria bila shuruti ukiambiwa msafara ukipita mwisho kujipanga line hii na polisi zingatiaHuyu Mlinzi ni Fala kama yalivyo mafala mengine tu, amepata wapi mafunzo huyu mwehu
Angalia taratibuHakuna mlinzi pale
Yule ni fala mmoja tu
Ova
Hana muda wa kijinga kama huo ana kazi nyingine nyingi za kusaidia WatanzaniaMama Samia atasema huyo siyo askari wa aliyeajiriwa na kufundishwa na Chama Cha Mapinduzi, askari wa CCM hawezi akakupiga ukaamka.
Anaprotekt maiti. Yeyote anayeikaribia ni thread.... Anamuata huyo.Mlinzi badala ya kulinda, yeye anashambulia? Kanuni za ulinzi jukumu la kwanza kabisa ni ku protect, lakini huyo ame attack first na ame attack pasipo sababu ya kufanya hivyo.
Kubali kuwa yule afande katumia nguvu nyingi sehemu sioTii Sheria bila shuruti ukiambiwa msafara ukipita mwisho kujipanga line hii na polisi zingatia
Afadhai wewe umeona. Tatizo frustrations za vijana wa JF zinawafanya kupapuka na kuanza kulaumu bila hata kuchunguza. Chunguza kwanza ndipo utaona huyo Mzee alitaka kufanya jambo baya.Anaprotekt maiti. Yeyote anayeikaribia ni thread.... Anamuata huyo.
Huyo mlevi wa chuga angeigusa hiyo gari huyo komando angepata kibano kikali kuliko alivyompa kichapo kinono.
Huwa mnawakebehi wakivunja tofali, Leo mmeona shoooo ya jwtz/tiss.
Hongera jwtz/tiss Kwa kulinda hadhi.
Wananchi endeleeni kutunidha misuri Kwa polisi, kmkm na migambo.
Msijaribu kumtunishia msuri jwtz, magereza na ju! Tiss wakiwa kwenye op zao ni wanyama kuliko nyati aliyejeruhiwa.
Narufia, msilete ujuaji Kwa vyombo vya Dola. Hawana huruma, hata wa depo wako akizingua unamkamua kende sembuse wewe mpiga kura?
Ametumia nguvu ilivyo sahihiKubali kuwa yule afande katumia nguvu nyingi sehemu sio
Achukuliwe hatua aiseeMlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa
Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
Unadhani huyu anaweza kuwa kamaliza form 6 na pass marks nzuri?Mkuu Taasisi gani hiyo inayochukua vijana wenye kiwango hicho cha ufaulu?
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliekua akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowasa
Sio Kwa Ngumi hii aisee halafu Huyu aliepigwa inaonekana kama amekata Moto
Halafu kuna wajinga wanasema tanzania ina upendo,ukileta fujo au kusababisha vurugu Lazima ukabiliwe vilivyo na kudhibitiwa kwa haraka sana π
watu wanaomboleza, wako na majonzi we umepiga visungura vyako kadhaa huko mtaani, unakuja kuleta mzaha kimbelembele na maigizo kwamba wewe ndie mwenye uchungu zadi, ndio hodari wa kulia machozi ya majonzi kuliko wahusika wenyewe π
waliopewa jukumu la kuhakikisha mwili wa mwendazake ENL unafika salama unapotakiwa kufika π
sasa wew unaleta kihedemswede na hayo ndio matokeo yake....
R I P Laigwanan comrade ENL