Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa

Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.

Hivi inakuwaje mtu mzima kabisa unakaa barabarani kutazama maiti ya mwenzako? Pumbavu zao
 
Ahahahhahaha aisee hizo ngumi za sampuli hii unazikuta Ukraine, Gaza na maeneo kama Chechinia.

Ila maisha haya aisee! Sasa kwa ngumi hii sijui kama Jamaa atapona
Halafu mwana unacheka kabisa.
Mtanzania mwenzako anataka kuuwawa na Mtanzania mwenzako unachekea?
Kuwa na roho ya Musa ya kuchukua uonevu hata kama hutendewi wewe
 
Mkuu umeongea Kwa uchungu sana
Mkuu Huwa inaniuma sana kuona maskini wanapitia maisha ya kunyanyaswa na kudharariwa Unafikri angekuwa Tajiri hapo angepigwa hiyo ngumi?

Angeambiwa tu, Mkuu sogea pembeni msafara upite!
Ndo tunavyoishi kwenye hizi nchi Maskini..

Yaani Mtu Anataka Kuua kwa ajili ya kumlinda marehemu..
Kuna vitu huwa vinafikirisha Sana..


Ndiyo maana mimi Huwa nasema siku zite kabla ya kufanya kitu chochote jiweke kwanza kwenye Viatu vya unayetka kumfanyia ukiona viatu vyake havikutoshi ni bora usifanye hilo jambo..

Dunia Imechafuka sana siku hizi na ndo maana watu wanazidi kufa na kupata Ajali bila kujua sababu hasa ni nini kumbe wengine wanasayansi wanaenda kuchanganya chemical za kutosha..

Na wengine wanatandikwa na karma..
Ni vyema kufanya Mema pale unapopata nafasi ya kufanya si vyema kuumiza Binadamu mwenzako kwa sababu tu unaona unayo nafasi ya kufanya hivyo..

And yes Nimeumia sana, Japo.simjui huyo jamaa ila moyo umeniuma sana
 
Acheni kupayuka tu ona hii
Screen Shot 2024-02-15 at 17.13.12.png
 
Mlinzi badala ya kulinda, yeye anashambulia? Kanuni za ulinzi jukumu la kwanza kabisa ni ku protect, lakini huyo ame attack first na ame attack pasipo sababu ya kufanya hivyo.
Anaprotekt maiti. Yeyote anayeikaribia ni thread.... Anamuata huyo.

Huyo mlevi wa chuga angeigusa hiyo gari huyo komando angepata kibano kikali kuliko alivyompa kichapo kinono.

Huwa mnawakebehi wakivunja tofali, Leo mmeona shoooo ya jwtz/tiss.

Hongera jwtz/tiss Kwa kulinda hadhi.

Wananchi endeleeni kutunidha misuri Kwa polisi, kmkm na migambo.

Msijaribu kumtunishia msuri jwtz, magereza na ju! Tiss wakiwa kwenye op zao ni wanyama kuliko nyati aliyejeruhiwa.


Narufia, msilete ujuaji Kwa vyombo vya Dola. Hawana huruma, hata wa depo wako akizingua unamkamua kende sembuse wewe mpiga kura?
 
Msimlaum mlinzi jamani,hiyo ni picha inayodhihirisha akili za wananchi wa Tanzania ambao ndo wanachama wa Ccm 90% hawanaga akili timamu.
Ndo maana,ccm inateua watendaji wa kumsaidia Rais afu baadae anakuja Mwenezi wa chama na kuwauliza matatizo Yao anayatatua kiasi ila hawahoji Nini kazi ya Serikali.
 
Anaprotekt maiti. Yeyote anayeikaribia ni thread.... Anamuata huyo.

Huyo mlevi wa chuga angeigusa hiyo gari huyo komando angepata kibano kikali kuliko alivyompa kichapo kinono.

Huwa mnawakebehi wakivunja tofali, Leo mmeona shoooo ya jwtz/tiss.

Hongera jwtz/tiss Kwa kulinda hadhi.

Wananchi endeleeni kutunidha misuri Kwa polisi, kmkm na migambo.

Msijaribu kumtunishia msuri jwtz, magereza na ju! Tiss wakiwa kwenye op zao ni wanyama kuliko nyati aliyejeruhiwa.


Narufia, msilete ujuaji Kwa vyombo vya Dola. Hawana huruma, hata wa depo wako akizingua unamkamua kende sembuse wewe mpiga kura?
Afadhai wewe umeona. Tatizo frustrations za vijana wa JF zinawafanya kupapuka na kuanza kulaumu bila hata kuchunguza. Chunguza kwanza ndipo utaona huyo Mzee alitaka kufanya jambo baya.
 
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliekua akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowasa

Sio Kwa Ngumi hii aisee halafu Huyu aliepigwa inaonekana kama amekata Moto

ukileta fujo au kusababisha vurugu Lazima ukabiliwe vilivyo na kudhibitiwa kwa haraka sana 🐒

watu wanaomboleza, wako na majonzi we umepiga visungura vyako kadhaa huko mtaani, unakuja kuleta mzaha kimbelembele na maigizo kwamba wewe ndie mwenye uchungu zadi, ndio hodari wa kulia machozi ya majonzi kuliko wahusika wenyewe 🐒

waliopewa jukumu la kuhakikisha mwili wa mwendazake ENL unafika salama unapotakiwa kufika 🐒
sasa wew unaleta kihedemswede na hayo ndio matokeo yake....

R I P Laigwanan comrade ENL
Halafu kuna wajinga wanasema tanzania ina upendo,
 
Back
Top Bottom